Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
haya katamka nani?Awamu ya Sitta ni Awamu Mpya. Kwa nini ifanane na Awamu ya zamani.?
Tusitazame mbele kwa hofu. Tusitazame nyuma kwa huzuni.
Mbona mama anaonekana ni mtu wa mitandao sana?
Nani anjiweka mbali na mitandao Dunia ya sasa? Kwan aliyesema kigogo atafutwe na akipatikana kunazawadi nono wao walimjulia wapi kigogo?Mbona mama anaonekana ni mtu wa mitandao sana?
"Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia.
Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli.
Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka kuona mambo mapya. Awamu ya Sitta ni Awamu Mpya. Kwa nini ifanane na Awamu ya zamani.?
Rais Samia amesema,"
Tusitazame mbele kwa hofu. "Tusitazame nyuma kwa huzuni. Tujali ya sasa"
That seems like good advice.
Hata jiwe alikuwa mtu wa mitandao sana, ila kwa fake Id, kuna siku kanijia juu sana na mimi nikawa namlambisha tu mchanga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro ... uliongea na Magu kwenye mtandao?
Alikuwa hata hajuwi kutumia mitandao mkuu... alikuwa tu anashauliwa kufunga na kuifungua.
Alifundishwa emails tu na little bit of google...
Seems like kila mtu anamuongelea Magu wake... [emoji1787][emoji1787]
Msigwa ndio alikuwa anamsaidia kulogInn na kulogOut. Kisha akamuelekeza kureply,kitu ambacho alikuwa hawezi ni kuUpload pictures na kuweka emoj.
Ndiyo na Hapana."Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli.
Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka kuona mambo mapya. Awamu ya Sita ni Awamu Mpya. Kwa nini ifanane na Awamu ya zamani?
Rais Samia amesema,"
Tusitazame mbele kwa hofu. "Tusitazame nyuma kwa huzuni. Tujali ya sasa".
That seems like good advice.
Mbona mama anaonekana ni mtu wa mitandao sana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msigwa ndio alikuwa anamsaidia kulogInn na kulogOut. Kisha akamuelekeza kureply,kitu ambacho alikuwa hawezi ni kuUpload pictures na kuweka emoj.
[emoji28] Hahaaa Jiwe alikuapo hata humu JF na TweeterHata jiwe alikuwa mtu wa mitandao sana, ila kwa fake Id, kuna siku kanijia juu sana na mimi nikawa namlambisha tu mchanga.
Sio JF wala twitter...
Tech ya vijana hii mkuu..
He was outdated kwenye media.
Sio yeye ni wanawake wote duniani,toka ianze mitandano unajua ni vyakula vingai vimeungua kama haitoshi ,kwa wanaotumia gesi huwashwa moto mdogomdooogoo,watu wanachati kama ni chai ya watu sita usishangae inachemka mpaka inabakia kikombe kimoja.Mbona mama anaonekana ni mtu wa mitandao sana?
Prof Mark Mwandosya ana umri mkubwa kuliko yeye, lakini anatumia mitandao kila siku.
Hata jiwe alikuwa mtu wa mitandao sana, ila kwa fake Id, kuna siku kanijia juu sana na mimi nikawa namlambisha tu mchanga.