Rais Samia awaasa viongozi wa dini, "Simameni tuwapige vita wazandiki katika mitandao ya kijamii"

Rais Samia awaasa viongozi wa dini, "Simameni tuwapige vita wazandiki katika mitandao ya kijamii"

Hivi wale ndugu zake Prof Mwandosya waliokuwa wanakufa kwa Covid wakati wa Magufuli wameisha? Maana naona tangu JPM afariki na ndugu zake nao wamekoma kufa kwa Corona.
Mwandosya mnafiki sana
 
"Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli.

Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka kuona mambo mapya. Awamu ya Sita ni Awamu Mpya. Kwa nini ifanane na Awamu ya zamani?

Rais Samia amesema,"

Tusitazame mbele kwa hofu. "Tusitazame nyuma kwa huzuni. Tujali ya sasa".

That seems like good advice.
Hao ni akina Salary Slip , Retired , brazaj na michadema yote
 
Kwanini hajasema huko mitaani watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao wanaongea? asilimia kubwa mambo ya mitandaoni huishiaga mitandaoni tu.
 
Back
Top Bottom