Rais Samia awaasa viongozi wa dini, "Simameni tuwapige vita wazandiki katika mitandao ya kijamii"

Rais Samia awaasa viongozi wa dini, "Simameni tuwapige vita wazandiki katika mitandao ya kijamii"

Prof Mark Mwandosya ana umri mkubwa kuliko yeye, lakini anatumia mitandao kila siku.

Hivi wale ndugu zake Prof Mwandosya waliokuwa wanakufa kwa Covid wakati wa Magufuli wameisha? Maana naona tangu JPM afariki na ndugu zake nao wamekoma kufa kwa Corona.
 
Haroun Al Rashid was the 5th and famous caliph of Persia. He was a wise and just ruler .He is said to have occasionally disguised himself at night and gone through the streets and bazaars, listening to the talk of those whom he met and asking them questions. In this way he learned whether the people were contented and happy.
Modern day rulers need not disguise themselves and walk the streets -sentiments ,thoughts of the subjects is all over the internet -tweeter,facebook , JamiiForum,JamiiForums.com, etc etc. All they need is touch screen and internet connectivity.
 
"Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli.

Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka kuona mambo mapya. Awamu ya Sita ni Awamu Mpya. Kwa nini ifanane na Awamu ya zamani?

Rais Samia amesema,"

Tusitazame mbele kwa hofu. "Tusitazame nyuma kwa huzuni. Tujali ya sasa".

That seems like good advice.
Nadhani Rais alikuwa akiongelea dhana ya consistency na sustainability ya mambo yaliyofanyika awamu ya tano na alikuwa sahihi kabisa. Awamu hii ina jukumu la msingi la kumalizia miradi kwa mujibu wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kuibua mipya kulingana na Dira ya maendeleo ya 2025. Aidha,Maboresho ya mbinu za utekelezaji hayakwepeki ili kufikia malengo kulingana na mazingira ya sasa na mahitaji.Falsafa aliyotumia kuelezea dhana hii ni kuwa yeye ni Magufuli na Magufuli ni yeye. Ndivyo nilivyomwelewa mama. Tusipotoshe.
 
Hivi wale ndugu zake Prof Mwandosya waliokuwa wanakufa kwa Covid wakati wa Magufuli wameisha? Maana naona tangu JPM afariki na ndugu zake nao wamekoma kufa kwa Corona.

Wameisha.
 
Hata jiwe alikuwa mtu wa mitandao sana, ila kwa fake Id, kuna siku kanijia juu sana na mimi nikawa namlambisha tu mchanga.
Acha kujipa ujiko wewe! Magufuli hakuwa na muda wa kujibishana na mataahira wa mitandaoni
 
Acha kujipa ujiko wewe! Magufuli hakuwa na muda wa kujibishana na mataahira wa mitandaoni

Kujibishana na Magu ilikuwa ujiko? Labda kwako ww uliyekuwa unamsujidia ndio unadhani ni ujiko. Ninavyodharau majizi ya kura, nitaonaje ujiko kujibizana nayo?
 
Kujibishana na Magu ilikuwa ujiko? Labda kwako ww uliyekuwa unamsujidia ndio unadhani ni ujiko. Ninavyodharau majizi ya kura, nitaonaje ujiko kujibizana nayo?
Magufuli hakuwa na muda wa jujibishana na wajinga huku mitandaoni.

Eti majizi ya kura! Nenda sasa kashiriki uchaguzi mdogo kule muhambwe ili ushinde maana jizi la kura limeondoka
 
Hata jiwe alikuwa mtu wa mitandao sana, ila kwa fake Id, kuna siku kanijia juu sana na mimi nikawa namlambisha tu mchanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msigwa ndio alikuwa anamsaidia kulogInn na kulogOut. Kisha akamuelekeza kureply,kitu ambacho alikuwa hawezi ni kuUpload pictures na kuweka emoj.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona mama anaonekana ni mtu wa mitandao sana?
Kama unataka kuwa kiongozi mzuri, ni kazima ujitahidi sana kujua fikra za watu kuhusiana na uongozi wako. Na njia mojawapobya kujua hilo ni kuoitia mitandao huru.
 
haya katamka nani?
Haya nimetamka Mimi. Kwamba hii ni Awamu ya Sitta
Ni Awamu mpya,ambayo lazima ianzishwe kwa nguvu kubwa,siyo kwa Ikulu tu lakini kwa wananchi wote.
Kikwete alianza kwa kusema,Ari mpya....."
Magufuli akasema"Sasa ni kazi tu."
Na Sasa, The new government must come up with a slogan that will make the adrenalin flow.
 
Hivi wale ndugu zake Prof Mwandosya waliokuwa wanakufa kwa Covid wakati wa Magufuli wameisha? Maana naona tangu JPM afariki na ndugu zake nao wamekoma kufa kwa Corona.
Walitaka kupata huruma kwa watanzania kushinda hisia zao na mtazamo wao,lakini aliekuwa wanamchukia katangulia mbele ya haki,kwa hisia zao it's over,labda watofautiane kimtazamo na kimaslahi na aliepo kwa sasa!ndo wataendelea kufa!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro ... uliongea na Magu kwenye mtandao?

Alikuwa hata hajuwi kutumia mitandao mkuu... alikuwa tu anashauliwa kufunga na kuifungua.

Alifundishwa emails tu na little bit of google...

Seems like kila mtu anamuongelea Magu wake... [emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom