Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na kuyaishi maono yake ya kuwa na Tanzania moja isiyogawanywa kwa misingi ya kisiasa
Kabla ya kuanza kuzungumza Rais Samia aliwapa nafasi wawakilishi wa vyama vya siasa waliopo kuzungumza ambapo kwanza alimakaribisha Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na kisha Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba
Baada ya kumaliza kuzungumza Rais Samia akaweka utani kidogo kuwa Mbowe anapendeza sana na vazi la Kanzu, hakika hii ndio Tanzania tunayoitaka ya kuishi, kula, kucheka na hata kutaniana pamoja bila kujali utofauti wa vyama vya siasa

Tuwe kwenye vyama tofauti, dini tofauti, makabila tofauti, maeneo tofauti, UKWELI HAUBADILIKI, sisi sote tu wanadamu tulio sawa. Na kama Mungu wetu angetaka watu wa imani fulani wasiwepo, watu wa kabila fulani wasiwepo, watu wa chama fulani wasiwepo, asingeshindwa kuhakikisha hawapo.
Maadam tupo, basi Mungu ametutaka sisi sote tuwepo. Kubaguana, kuchukiana na kuendeana uovu ni ujinga wetu ulio kinyume na mpango wa Mungu.
Heri yao wanaoishi kwa kadiri ya mpango wa Mungu ambao, ni kuwa wamoja kama alivyo Mwana, Roho na Mungu Baba; kuwa na upendo kama Mungu wetu alivyoupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee ili kusiwepo na atakayepotea.
Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na kuyaishi maono yake ya kuwa na Tanzania moja isiyogawanywa kwa misingi ya kisiasa
Kabla ya kuanza kuzungumza Rais Samia aliwapa nafasi wawakilishi wa vyama vya siasa waliopo kuzungumza ambapo kwanza alimakaribisha Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na kisha Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba
Baada ya kumaliza kuzungumza Rais Samia akaweka utani kidogo kuwa Mbowe anapendeza sana na vazi la Kanzu, hakika hii ndio Tanzania tunayoitaka ya kuishi, kula, kucheka na hata kutaniana pamoja bila kujali utofauti wa vyama vya siasa
Why wewe usilete upinzani huo unaousema?,why umtegemee Mr. Mbowe akupiganie wewe?,acha uoga wa kizuzu pigana mwenyewe kudai haki yako kama unaona unaonewa
Alipoharibifu shamba lake kama adhabu kwa kuwatetea watanzania, wewe ulifanya nini?
Mbowe alipowekwa mahabusu mara kadhaa kwa sababu ya kutetea haki za watanzania, wewe ulifanya nini?
Mbowe alipobambikiwa kodi kwenye biashara zake, na kisha kufungiwa bank accounts zake kwa vile tu anawapigania watanzania, wewe ulifanya nini?
Kama unadhani kazi aliyoifanya Mbowe ni nyepesi, jaribu, halafu upitie japo 10% ya yale aliyopitia, ndiyo utajua uzito wa kazi aliyoifanya.
Wapo watu waliowahi kujitoa sana nchi hii, lakini bahati mbaya walijitoa kwaajili ya watu wasiojielewa, na hivyo kufanya jitihada zao zote kuonekana si kitu.
Msikiti Mfalme Mohammed VI
Dar es Salaam, Tanzania
LEO ULINZI TOFAUTI, HATUKUONA WAZI MABUNDUKI YA KIVITA YA KIKOSI CHA WALINZI WA USALAMA WALIOVAA KIJESHI
Rais Samia Suluhu Hassan leo alihudhuria swala ya Idd El Fitr kitaifa ilifanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohammed VI uliopo mjini Dar es Salaam ule ulinzi wa mabunduki ya kivita kuwatisha wananchi haukuwepo bali ulinzi wa kujificha ulikuwa mkali ukichukua nafasi yake .