Rais Samia awainua Mbowe na Lipumba kwenye baraza la Eid, amsifia Mbowe kupendeza kwa kanzu

Rais Samia awainua Mbowe na Lipumba kwenye baraza la Eid, amsifia Mbowe kupendeza kwa kanzu

Kwa kweli Kama mwana CDM Sina imani na Mbowe kabisa. Anajichoresha Sana kwa CCM. Ataje siku ya kuondoka madarakani kabisa. Mbowe must go, mbowe

Ukielewa maana ya maridhiano utamuelewa na Mbowe.
 
Kumsifia mtu kupendeza sio wajibu wake kama Rais wetu.

Afanye kazi yake na sio kutuhamisha akili kwa petty issues.
 
Ukute hata Mwigulu, Nape na Makamba walikuwepo kwenye Hilo baraza na waislam wakawachekea chekea.
 
Mbowe anaonewa sana. Wanajipigia tu sasa, wako naye kila kona.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Asali tamu
Haya nyie kwenu mabaya ndo maana mnachafua watu kwa kuwaita walamba asali. Watu walipokua wanasingiziwa kesi, kuuwawa, kupigwa na kupotezwa na kina here James ilikuwa sawa kabisa kwenu
Ndo maana mungu akaingilia kati sasa huuu ndiyo utanzania tuutakao
Kalambe na wewe
 
Binafsi sifurahishwi na siasa za hivi..
Yaani tumekoea mpinzani mkorofi wa kuwabana ccm kuhusu wizi uliosemwa na CAG..yaani Ni masikitiko tunakoelekea
Mbona na wewe unaweza kuwabana hao CCM na tukakuunga mkono? Tuongoze tukufuate!
 
Back
Top Bottom