Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

Hahahaha
Anayewaamini wanasiasa anyooshe mkono juu
 
Mwashamba!
 
uskue na wasiwasi mh.Rais, comrade Dr SSH,
tutaendelea kuchapa kazi kwa bidii zaidi na daima siku zote usawa, haki na uadilifu ndio dira na uelekeo wetu katika kuwatumikia na kuwahudumia waTanzania wote πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…