Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

Bado hujasema 😂😂😂🤣
Ile minyuzi yako ya mapambio yalikuwa yanamsifia nani??
Mtumishi na kwaresima hii unaongea uongo 😜
😀 apa sasa labda ndio nimecheka...

mapambio?
mapambio gani tena mimi niliimba wap mtumishi....

kwaeresma tutang"ang"ana nayo kwa makini sana na kwa Neema na baraka za Mungu ndio tumalize tukiwa wamoja kana tulivyo anza...

nawatakia kila lililo jema na hata ndugu zetu amabao wameanza lifunga jana....
 
😂😂😂 Ila mtumishi mkavu wewe!!
Wewe na mwenzio Luka si ndio kila kukicha mnamsifia mama kizimkazi humu??
 
kwani mtumish ulitamani niwe na unyevu unyevu au nimelowana...

address and face me plz, but with issues, mengine na wengine utawoanea bure tu....

lakini pia mtu kiongozi ama hata kama si kiongozi akifanya vema, nadhani ni vizuri kumpongeza na kumsifia ili afanye vizuri zaid...

ni nin mbaya apo....
 
hiyo si kweli, nakataa...
hakuna mtanzania mjinga tena Tanzania, elimu ni bure lakin ni bora pia, inatolewa maeneo yote nchini....

dosari na kasoro kwenye uchaguzi ni jambo la kawaida sana duniani kote wanakofanya uchaguzi...

Tanzania itaendele kuendesha uchaguzi huru, wazi na wa haki kupitia tume huru ya uchaguzi, licha ya wanaoshindwa uchaguzi kulalamikia rafu na wizi bila uthibitisho...

Nitoe rai kwa waTanzania wenxangu kujitokeza kwa wingi sana na kushiriki vema kampeni na hatimae uchaguzi ambao unategemwe kuwa bora zaid ya chaguzi zote zilizowahi fanyika Tanzania...
"wenxangu"

Kwa uandishi huu[emoji3516][emoji3516] bado unasafari ndefu
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.

Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi aliyowateua siku chache zilizopita Ikulu jijini Dar es Salaam.

Hivi wakuu wa mikoa wana kazi gani?
 
Msimwamini Kizimkazi!
 
QEENS OF SAMIA
 
Huku mtaani maisha ni tight Raia hawataki hata kusikia hizo habari.

Yeye aendelee tu na hao chawa wanaomdanganya.
 
Back
Top Bottom