Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya.

Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi aliyowateua siku chache zilizopita Ikulu jijini Dar es Salaam.

CARLO MWILAPWA naye siyo kundi lake?
 
Sasa mbona kila kukicha machawa yanaongezeka tu richa ya kuyakana, au anawakana kwenye mwanga na anayashika mkono gizani!?
 
Kabisa wanajua sisi ni wajinga, km wao wanajiamini waweke uchaguzi wa huru na haki aone wananchi tutakavyomshangaza
hiyo si kweli, nakataa...
hakuna mtanzania mjinga tena Tanzania, elimu ni bure lakin ni bora pia, inatolewa maeneo yote nchini....

dosari na kasoro kwenye uchaguzi ni jambo la kawaida sana duniani kote wanakofanya uchaguzi...

Tanzania itaendele kuendesha uchaguzi huru, wazi na wa haki kupitia tume huru ya uchaguzi, licha ya wanaoshindwa uchaguzi kulalamikia rafu na wizi bila uthibitisho...

Nitoe rai kwa waTanzania wenxangu kujitokeza kwa wingi sana na kushiriki vema kampeni na hatimae uchaguzi ambao unategemwe kuwa bora zaid ya chaguzi zote zilizowahi fanyika Tanzania...
 
Nyie machawa mnaomsifia 🤣🤣🤣🤣
Mwambie na kaka Luka
nyie ndio nan mtumishi Lamomy

mim ni Tlaatlaa bana na daima nitakua hivyo na si vinginevyo katika kuwatumikia wanainch na waTanzania wote kwa haki na usawa mahali popote ninapopata fursa ya kufanya hivyo....

hayo mengine ni maoni na mitazamo ya watu, ambayo kwakweli mimi sihusiki kabisa....
 
kwahiyo anataka kutuambia hata samia queens walijipendekza tuu??
Anazuga,manake mratibu wa samia queens ni katibu mkuu wa umoja wa wanawake wa ccm,joketi👌ambaye nafasi hiyo alimpatia yeye,ili aoganaizi wasanii wakike kumpigia kampeni.
 
nyie ndio nan mtumishi Lamomy

mim ni Tlaatlaa bana na daima nitakua hivyo na si vinginevyo katika kuwatumikia wanainch na waTanzania wote kwa haki na usawa mahali popote ninapopata fursa ya kufanya hivyo....

hayo mengine ni maoni na mitazamo ya watu, ambayo kwakweli mimi sihusiki kabisa....
Mshaanza kukataa 🤣🤣🤣🤣
 
hiyo si kweli, nakataa...
hakuna mtanzania mjinga tena Tanzania, elimu ni bure lakin ni bora pia, inatolewa maeneo yote nchini....

dosari na kasoro kwenye uchaguzi ni jambo la kawaida sana duniani kote wanakofanya uchaguzi...

Tanzania itaendele kuendesha uchaguzi huru, wazi na wa haki kupitia tume huru ya uchaguzi, licha ya wanaoshindwa uchaguzi kulalamikia rafu na wizi bila uthibitisho...

Nitoe rai kwa waTanzania wenxangu kujitokeza kwa wingi sana na kushiriki vema kampeni na hatimae uchaguzi ambao unategemwe kuwa bora zaid ya chaguzi zote zilizowahi fanyika Tanzania...
Najua unakoment huku unacheka hiki ulichokiandika 😂😂😂😂
 
Mshaanza kukataa 🤣🤣🤣🤣
no no no.....
don"t include me with others missions....

I am as me,
with my own target, missions, objectives and goals politically speaking...

hiyo ingine uliza wenyewe bana....
 
no no no.....
don"t include me with others missions....

I am as me,
with my own target, missions, objectives and goals politically speaking...

hiyo ingine uliza wenyewe bana....
Bado hujasema 😂😂😂🤣
Ile minyuzi yako ya mapambio yalikuwa yanamsifia nani??
Mtumishi na kwaresima hii unaongea uongo 😜
 
Back
Top Bottom