Hakupendwa wacha watu wateme nyongoKwa kweli tukisema muacheni Mh Hayati Magufuli apumzike mahali aliko tunashambuliwa eti sisi ni sukuma geg! Jaman marehemu kwa heshima za Afrika huwa tunamwacha apumzike aliko kuliko kumsemea vibaya vibaya.
Leo nimesikia Mh Raisi akisema utawala wa awamu ya Tano ulitengeneza nidhamu ya uwoga kwa watumishi, kwa sababu ulikuwa ni Simba, alikuwa ukizingua anakungata ngwadu!
Sasa kwa Nini ustekeleze unavyotaka. Paspo kumsem mwenda zake?
Mm nilimchukia Kwa kunyima watu UHURU WA KUISHISikupingi,hakuna mwanadam mkamilifu,pamoja na kuwa na mabaya yake bwana yule ila amekua na mazuri pia hilo siwezi kulisahau....japo wanadam tunasahau mazuri 100 kwa baya moja...
Wengi wanaomchukia bwana yule,ni wale waliozibiwa mianya yao ya janjajanja.
Ila Samia hapaswi kumsema vibaya hata kama walipishana'Hakuna aliye mpenda katu.
Mama anachemka sana, anaropoka ropoka tu. Hivi kweli Mwafrika yupi mwenye nidhamu ya kutoka moyoni kama siyo uoga? Kazi ya sheria ni ipi kama siyo kuwafanya watu waogope kutenda makosa wakijua sheria itawahukumu? Tumepata Rais boya kabisa na asubiri hiyo nidhamu ya kutoka moyoni ya watumishi wa umma kama ataiona
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Sasa ulichokiandika kina uhusiano gani na alichokisema Rais Samia?Kila mtu atakufa Samia, wewe hata hujui siku yako. Hakika utakufa
Aibu naona Mimi kwa ulichofikiri then ukakiandikaMambo yanaenda, wewe huoni!?. Wala hatutaki mambo mengi, tunahitaji tu amani ya moyo.
Jesus is Lord of lords
watu walijengwa kwenye nidhamu ya woga, unafiki mwingi. Wanadamu timamu hatutakiwi kuishi hivyo. Maza katoa fact sio suala la ku out smart
YESU NI MWOKOZI
kazidisha gharama za maisha may be.... mbona kwa mwaka mmoja tu madarakani ameshamzidi jamaa aliyetawala 5+ yrs? Ubabe haujawahi kuwa mojawapo ya sifa za kiongozi bora.
Mmmmmhhh! Ama kweli sasa nimeamini JPM alizungukwa na maadui wengi
Nakwambia huyu ndo alikuwa adui yake bamba moja amini usiamini!Mmmmmhhh! Ama kweli sasa nimeamini JPM alizungukwa na maadui wengi
Matendo yako yakiwa mazuri utaendelea kusiwa hata kama ulishakufa,lakini kama matendo yako yalikuwa mabaya utaendelea kubezwa hata kama ulishakufa.Kwa kweli tukisema muacheni Mh Hayati Magufuli apumzike mahali aliko tunashambuliwa eti sisi ni sukuma geg! Jaman marehemu kwa heshima za Afrika huwa tunamwacha apumzike aliko kuliko kumsemea vibaya vibaya.
Leo nimesikia Mh Raisi akisema utawala wa awamu ya Tano ulitengeneza nidhamu ya uwoga kwa watumishi, kwa sababu ulikuwa ni Simba, alikuwa ukizingua anakungata ngwadu!
Sasa kwa Nini ustekeleze unavyotaka. Paspo kumsem mwenda zake?
At the end of the day, huyu mama alikuwa anafanya kazi na Meko so anajua kila kitu kuhusu ukweli wa mambo yalivyokuwa, soon tutajua aliyewaua akina Azory na Ben Saanane.
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Wanyonge wanateseka kweri kweri 😃Legacy upuuzi inatapanywa kweri-kweri