Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Kwa kweli tukisema muacheni Mh Hayati Magufuli apumzike mahali aliko tunashambuliwa eti sisi ni sukuma geg! Jaman marehemu kwa heshima za Afrika huwa tunamwacha apumzike aliko kuliko kumsemea vibaya vibaya.

Leo nimesikia Mh Raisi akisema utawala wa awamu ya Tano ulitengeneza nidhamu ya uwoga kwa watumishi, kwa sababu ulikuwa ni Simba, alikuwa ukizingua anakungata ngwadu!

Sasa kwa Nini ustekeleze unavyotaka. Paspo kumsem mwenda zake?
Hakupendwa wacha watu wateme nyongo
 
Kila mtu atakufa Samia, wewe hata hujui siku yako. Hakika utakufa
 
Sikupingi,hakuna mwanadam mkamilifu,pamoja na kuwa na mabaya yake bwana yule ila amekua na mazuri pia hilo siwezi kulisahau....japo wanadam tunasahau mazuri 100 kwa baya moja...
Wengi wanaomchukia bwana yule,ni wale waliozibiwa mianya yao ya janjajanja.
Mm nilimchukia Kwa kunyima watu UHURU WA KUISHI
 
Mh Mungu-prof kabudi 2020

Yesu-ndugai 2021

Simba wa Yuda-samia 2022

Kama mnadhani haya yanawatoka kwa bahati mbaya,acheni niwakumbushe Magufuli alikuwa mkombozi,ila vichwa panzi hawataelewa.
 
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.

“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.

“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma

---

Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.

Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.

Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Mama anachemka sana, anaropoka ropoka tu. Hivi kweli Mwafrika yupi mwenye nidhamu ya kutoka moyoni kama siyo uoga? Kazi ya sheria ni ipi kama siyo kuwafanya watu waogope kutenda makosa wakijua sheria itawahukumu? Tumepata Rais boya kabisa na asubiri hiyo nidhamu ya kutoka moyoni ya watumishi wa umma kama ataiona
 
watu walijengwa kwenye nidhamu ya woga, unafiki mwingi. Wanadamu timamu hatutakiwi kuishi hivyo. Maza katoa fact sio suala la ku out smart

YESU NI MWOKOZI

Wapuuzi nyinyi

Nchi zetu hizi za kiafrica bila watendaji na watumishi kuwapelekea moto watafanya kazi kwa weledi!??

TRA wenyewe kila kukicha wapo Kariakoo kutishia wafanyabiashara kwamba watafunga maduka yao wasipolipa kodi
 
Kwa kweli tukisema muacheni Mh Hayati Magufuli apumzike mahali aliko tunashambuliwa eti sisi ni sukuma geg! Jaman marehemu kwa heshima za Afrika huwa tunamwacha apumzike aliko kuliko kumsemea vibaya vibaya.

Leo nimesikia Mh Raisi akisema utawala wa awamu ya Tano ulitengeneza nidhamu ya uwoga kwa watumishi, kwa sababu ulikuwa ni Simba, alikuwa ukizingua anakungata ngwadu!

Sasa kwa Nini ustekeleze unavyotaka. Paspo kumsem mwenda zake?
Matendo yako yakiwa mazuri utaendelea kusiwa hata kama ulishakufa,lakini kama matendo yako yalikuwa mabaya utaendelea kubezwa hata kama ulishakufa.

Kumbuka Nyerere,Karume,Sokoine,Mandela,Kaunda,Nkrumah,Samora hao bado wanaimbwa kama mashujaa wa Afrika,lakini Idd Amin,Mabuto,Chiluba,Magufuri matendo yao yataendelea kuwahukumu.
 
Awali alisema Yeye na JPM ni kitu kimoja,, tusitegemee mabadiliko..

Leo anasema awamu ilikuwa na Simba wa Yuda,, ukigusa sharubu anakurarua...

Kwahyo ana maana sasa hvi unaweza tu kuchezea sharubu halafu fresh,,, ilimradi unakula kwa urefu wa kamba yako
 
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.

“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.

“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma

---

Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.

Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.

Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
At the end of the day, huyu mama alikuwa anafanya kazi na Meko so anajua kila kitu kuhusu ukweli wa mambo yalivyokuwa, soon tutajua aliyewaua akina Azory na Ben Saanane.

Mama hataki kubeba dhambi za mtu, kila mtu auchukue mzigo wake mwenyewe na atoe habari zake mwenyewe mbele za Mungu.

Ila Meko alijua kuwafool wajinga wajinga yani dah , he was such a jerk.
 
Mdogomdogo watamtaja mpaka alyewatuma wasiojulikana kumpiga lissu risasi
 
Back
Top Bottom