Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wanyonge tumegundua ni wajane matapeli ndiyo maana hatuna habari naoWanyonge wanateseka kweri kweri 😃
Wale wajane waliokuwa wanapangwa kila anapoenda lazima akutane na wajane anatoa mabulungutu ya fedha anawapa Kama papaa lutumba. Meko mshenzi sana heri ametangulia.Wanyonge tumegundua ni wajane matapeli ndiyo maana hatuna habari nao
Kila mtu ana Mavi nyumbani kwake ujue, hata Chamwino yapo, hata kwako yapo [emoji3]Baki na MAVI yako nyumbani
BuldozaSimba wa Yuda
Jiwe
Shujaa
Mwendazake
Chuma
Chattle Master
Jina gani lingine nimesahau...
Mwenye nidhamu ya uoga anaiba zaidi alafu anakukenulia meno..Nidhamu ya woga afadhali kuliko uhuru wa kuiba.
Nna moyo na maono ya Magufuli,thus why uwa namuheshimu always,na nikipata chance nitaendeleza alipoishia.Freeman Mbowe: Mimi, Magufuli na wewe Raila tunafanana kwa mengi!
Sasa hivi tupo huru kupiga inategemea tu urefu wa kamba yako.Mwenye nidhamu ya uoga anaiba zaidi alafu anakukenulia meno..
Hii nchi kupewa Msukuma au mwenye vinasaba vya huyo bedui anayeungua sasa hivi huko Jehanum msahauNna moyo na maono ya Magufuli,thus why uwa namuheshimu always,na nikipata chance nitaendeleza alipoishia.
Asante.
Acha kubeza imani za watu!Sukuma gang walikuwa wanamwita Jiwe kama yesu
Huyu ashachanganyikiwa. Legacy ya JPM inamwandama kama mzimu.Ondoka usemwe.
Labda simba wa masheitwani
Mimi wa Kyela...Hii nchi kupewa Msukuma au mwenye vinasaba vya huyo bedui anayeungua sasa hivi huko Jehanum msahau