Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Wewe unamuonaje CAG wa sasa.Sitetei wizi wa mali za Umma la hasha!
Lakini wacha nikuulize Mpendwa ;
Kwani wakati ule hakukuwa na wizi?
Kumbe sababu ya kumsakama CAG ilikuwa ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unamuonaje CAG wa sasa.Sitetei wizi wa mali za Umma la hasha!
Lakini wacha nikuulize Mpendwa ;
Kwani wakati ule hakukuwa na wizi?
Kumbe sababu ya kumsakama CAG ilikuwa ni nini?
Huduma kwa sasa ni mbovu , lakini ndo hiyo nidhamu ya uwoga . Watumishi wali comply kwa kumuogopa mr tumbua tumbua.Huyu ni ndumilakuwili,mbona aku step down
Tuseme tu ukweli umejaribu kwenda kwenye taasisi za serikali ukaona huduma zao zikoje ukifananisha na simba wa chato huduma ilikuaje.
Hiyo anademka sana yaanKwa maoni yangu mheshimiwa hakustahili kutamka maneno hayo
Hii post ni konki kabisa![emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatari fire
Ila kwa sisi wakristo simba wa yuda ni yesu, na Wala hajawahi kumrarua mtu. Labda Simba wa chato
Wakristu wamedhihakiwa kivipi?Mbona unawawekea watu maneno midomoni?Aliyedhihakiwa ni aliyetajwa.Usigombanishe watu.Magufuli hajawahi na hawezi kuwa Simba wa Yuda. Ni kauli ya dhihaka sana kwa Dini ya Kikristo. Sababu kwa imani yao wao wanaamini Yesu ndiye Simba wa Yuda.
So Magufuli ni Yesu? Hii ni dhihaka kwa Wakristo ambayo sidhani kama Rais anapaswa kuwa nayo. Sometimes muwe mnawapa Elimu hawa viongozi wasiwe wanaropoka maneno ya kuudhi.
Kama ilivyokuwa kwa Job Ndugai naye aliongea kauli ya kukwaza sana enzi zake. Hizi ni kauli za kuanza kuporomoka kisiasa. Wote waliojidai kudhihaki au kikebehi dini za wengine mwisho wake Mungu alipoingilia walipata thawabu yao.
Najua huu uzi JF watautoa. Ila watu kadhaa watakuwa wamepata ujumbe. Maana JF ya sasa inategemeana na umemsema nani. Kuna watu hawatakiwi kuguswa.
Kwann useme hivyo then? Sababu Samia anajua title yake aliyo nayo!! Anyways 😆😆Sidhani kama angekuwa anajua Simba wa Yuda ni nani kwa Wakristo angesema hivyo.
Bangi mzee sio nzuriSasa ulichokiandika kina uhusiano gani na alichokisema Rais Samia?
Watu wengi hawaelewi.Sidhani kama angekuwa anajua Simba wa Yuda ni nani kwa Wakristo angesema hivyo.
kwani hukusikia alitaka ku-step down?Huyu ni ndumilakuwili,mbona aku step down
Tuseme tu ukweli umejaribu kwenda kwenye taasisi za serikali ukaona huduma zao zikoje ukifananisha na simba wa chato huduma ilikuaje.
kwani hukusikia alitaka ku-step down?