Huu ndio ukweli wenyewe.
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatari fire
Ila kwa sisi wakristo simba wa yuda ni yesu, na Wala hajawahi kumrarua mtu. Labda Simba wa chato

Eti simba wa yuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.View attachment 2173344
Nidhamu ya woga husababishwa kumpigia mtu kura asilimia mia moja 100%, CCM wamefanya sana nidhamu ya woga, hata jana kwa Kinana 100%, kwa Samia (uenyekiti) 100%, kwa Tulia 100%, kwa Ndugai 100%.Tusijidanganye.Watumishi si kwamba wana nidhamu ya kweli.Uoga,unafiki na kujipendekeza hasa kwa watu wa CCM ndiyo vimetamalaki.Ni kujilisha upepo tu.Binadamu anatakiwa ajengewe mazingira ya upendo,kujiamini na kuwajibika kwa haki.
Ukweli usiopingika.
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Angeyasema hayo mbele ya jiwe. Kumsema Marehem wakati nae alikuwa sehemu ya utawala huo ni unafki. Muda ni mwalimu mwema.Akisema mapungufu na malaika wenu jiwe ndiyo mnamuona hafai?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jibu taaaamuuuuMamako mwenyewe anampenda sasa kwanini unawasemea watu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hawezi katu. Muda ni dactari mzuri. TusubiriKama ilikuwa inaketa tija safi sana!
.
Sasa yeye ajenge huo mfumo sasa anaotaka wa kutoka moyoni, aujenge ili mambo yaende hicho ndio watu wanataka
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Inakuhusu? Chawa clubShika Adabu yako. Uwe na heshima .
Achana na mpiga mbwa huyo..,Inakuhusu? Chawa club
Hiyo nchi ilikuwa na hali gani kabla ya kuharibiwa na huyo jamaa?Yule jamaa alituharibia sana nchi yetu
Wachina wanaowapa misaada,ukileta mzaa kwenye serikali sio kutumbuliwa tu na kunyongwa unanyongwa,mwanadamu pasipo kutumia ubabe kidogo Mambo hayawezi kwenda, ngoja mda utaongea tu.... mbona kwa mwaka mmoja tu madarakani ameshamzidi jamaa aliyetawala 5+ yrs? Ubabe haujawahi kuwa mojawapo ya sifa za kiongozi bora.