Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.

“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.

“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma

---

Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.

Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.

Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Huu ndio ukweli wenyewe.
 
Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
IMG-20220402-WA0425.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatari fire

Ila kwa sisi wakristo simba wa yuda ni yesu, na Wala hajawahi kumrarua mtu. Labda Simba wa chato

Simba wa YUDA ni mtume ISSA BIN MARIAM!! Je Q"uran inasema alikuwa anararua watu?
Chief Hangaya kama alivyokiri mwenyewe viatu alivyorithi ni vikubwa sana kwake hivyo akitaka awe salama asiwe anafanya ulinganifu na mambo yaliyopita!!
Kwa mfano wakati anazungumzia nidhamu kwa watendaji wa serikali kulikuwa hakuna sababu ya kukashifu utendaji wa Magufuli kwa kusema alikuwa anatumia nidhamu ya vitisho na Kumuita SIMBA WA YUDA; ili hali alifanya hata makosa ya kumpa sifa isiyo yake ya kurarua rarua watu!! Ingetosha kabisa kufikisha ujumbe wake kwa kuwaasa wafanye kazi kwa nidhamu na weledi na pia kujiamini!!
Chief Hangaya ahakikishe kile kinachotoka kinywani mwake ni kile alichokuwa anakijua na ana uhakika nacho kuepuka kuikwaza jamii!
 
Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.View attachment 2173344
Eti simba wa yuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tusijidanganye.Watumishi si kwamba wana nidhamu ya kweli.Uoga,unafiki na kujipendekeza hasa kwa watu wa CCM ndiyo vimetamalaki.Ni kujilisha upepo tu.Binadamu anatakiwa ajengewe mazingira ya upendo,kujiamini na kuwajibika kwa haki.
Nidhamu ya woga husababishwa kumpigia mtu kura asilimia mia moja 100%, CCM wamefanya sana nidhamu ya woga, hata jana kwa Kinana 100%, kwa Samia (uenyekiti) 100%, kwa Tulia 100%, kwa Ndugai 100%.
 
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.

“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.

“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma

---

Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.

Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.

Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Ukweli usiopingika.
 
Akisema mapungufu na malaika wenu jiwe ndiyo mnamuona hafai?
Angeyasema hayo mbele ya jiwe. Kumsema Marehem wakati nae alikuwa sehemu ya utawala huo ni unafki. Muda ni mwalimu mwema.
 
Tatizo sukuma gang mnakuwa wakali akitajwa chief wenu
 
Kila nikisoma mama tozo alichoongea sijaona point ya maana toka kwake zaidi ya UNAFIKI tu,
Walikuwa wote kutwa kucha ilikuwa ni mwendo wa kumsifia tu leo mnakuja na kauli za kumchafua kisa amekata kauli hii si sawa
 
Sema mwanangu magu nlkushauri sana hata mambo ukaniona boya tu ulale salama
 
... mbona kwa mwaka mmoja tu madarakani ameshamzidi jamaa aliyetawala 5+ yrs? Ubabe haujawahi kuwa mojawapo ya sifa za kiongozi bora.
Wachina wanaowapa misaada,ukileta mzaa kwenye serikali sio kutumbuliwa tu na kunyongwa unanyongwa,mwanadamu pasipo kutumia ubabe kidogo Mambo hayawezi kwenda, ngoja mda utaongea tu.
 
Back
Top Bottom