Acheni kukuza mambo madogomadogo bhana. Mnakera sana yaani.Suala la kumfananisha mwendazake na Simba ya Yuda kwa kweli lina ukakasi
Ila kuitwa mungu ilikuwa sahihiInasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.
Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k
Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.
Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Kwa nchi ipi hii hii Tanzania? Hii nchi ingekuwa haijaharibiwa na ipo vizuri toka zamani basi huyo simba wa yuda hata asingepata nafasi ya kuwa rais.Jiwe alituharibia nchi yetu utadhani hakuwa mtanzania.
Pole sana kwa kuishi kwenye njozi.Kwa nchi ipi hii hii Tanzania? Hii nchi ingekuwa haijaharibiwa na ipo vizuri toka zamani basi huyo simba wa yuda hata asingepata nafasi ya kuwa rais.
Haya Kikwete ndio anaongoza nchi sasa hivi kutokea msoga sasa hebu tuone atakavyoijenga hii nchi iliyoharibiwa.
Legacy ya magufuli isha jifia alikuwa mtesi wa watanzania yele hukumu ina msubiri huko kuzimuniUyu mama anazidi kufanya legacy ya magu ikue kwa utumbo wake
Ajiuzulu haraka!Inasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.
Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k
Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.
Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Umemaliza mjadala.Raisi wetu hawezi kujihuzulu kwa makelele ya mlevi mmoja kama wewe .....
Kwani aombe radhi ulimchangua wewe, au utamchagua wewe 2025, tafadhari muwe na mipaka ya kuandika, Raisi Samia haitaji kura zenu kua Raisi, utake husitaki atakua Raisi, hu mfumo ulishategenezwa miaka 50 elio pita yupo kwamjibu wa mfumoInasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.
Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k
Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.
Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Simba wa Yuda aliikuta hiyo nidhamu ya kweli ya kutoka moyoni? Alikuta watu wanafanya kazi kwa kufuata sheria?Nyie ndio mnalilia huyo simba wenu wa yuda ukweli wake ukiwekwa hadharani. Narudia tena, huyo mama yuko sahihi kuwa kipindi cha dhalimu hakukuwa na nidhamu za kweli, bali watu walitii chochote bila kujali sheria inasema nini kwa kumuhofia kiongozi muovu. Sasa mama ameweka wazi, nidhamu ya woga iiondoke, watu wafanye kazi kwa kufuata sheria, na sio kutaka kumfurahisha kiongozi hata kama ni kinyume cha sheria. Kufa kwake sio kinga ya uovu wake kutokusemwa.
Maisha yako ni wewe tu.Watanzania sasa hivi tunaishi maisha ya wanywa gongo maana kila wakipiga fundo la gongo lazima wakunje sura kwa machungu.
Ulimi uliteleza !!!!!! And May Be She Has Realized The Opposite As It Was Really Unhealthy !!!!!!Suala la kumfananisha mwendazake na Simba ya Yuda kwa kweli lina ukakasi
mmmmh mbona unaumauma maneno? ni kauli zipi ziweke hapo tuionee pia usisahau cc m ni genge la wezi.Inasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.
Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k
Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.
Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Lini aliwahi kuitwa mungu,taahira wewe,hivi watu mna mavi kichwani? Ni lini jpm aliwahi kusema yeye ni mungu?Ila kuitwa Mungu ilikuwa sahihi!?