Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Inasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.

Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k

Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.

Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Ila kuitwa mungu ilikuwa sahihi
 
Kauli ambazo huenda baadae mama atajilaumu alizitoa:

1). Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake
2). Walipa kodi wasitishwe/wasilazimishwe/wasibughudhiwe waachwe walipe kodi kwa uhuru
3). Wenye kesi/shutuma za madawa ya kulevya kama hakuna ushahidi wakutosha waachiwe, waendelee kuchunguzwa wakiwa nje.
4). Awamu ya tano walifanya kazi kwa nidhamu ya woga. Wanapaswa wafanye kazi kwa heshima ya moyoni

Kauli hizi, hata kama huenda zilitolewa kwa nia njema, kwa aina ya watumishi wa umma tulio nao, na kwa sababu hatuna mfumo mzuri wa kudhibiti rushwa, uzembe (inefficiency), uonevu na ubabaishaji wa watumishi wetu, kauli hizi zitasabisha watumishi wasiojali maslahi ya wengi kufanya kazi kwa namna wanavyotaka na wananchi wa kawaida wataumia.
 
Yupo elephant dentist ambaye anatembea na kifutio kwa ajili ya kurekebisha kauli mbovu za Zumaridi...
Hivi ile meli yake iliyokamatwa kule ughaibuni imesheheni meno ya tembo alisharudishiwa?
 
Jiwe alituharibia nchi yetu utadhani hakuwa mtanzania.
Kwa nchi ipi hii hii Tanzania? Hii nchi ingekuwa haijaharibiwa na ipo vizuri toka zamani basi huyo simba wa yuda hata asingepata nafasi ya kuwa rais.

Haya Kikwete ndio anaongoza nchi sasa hivi kutokea msoga sasa hebu tuone atakavyoijenga hii nchi iliyoharibiwa.
 
Pole sana kwa kuishi kwenye njozi.

Kikubwa Jiwe lilishageuka majivu sasa.
 
Inasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.

Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k

Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.

Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Ajiuzulu haraka!
 
Kwani aombe radhi ulimchangua wewe, au utamchagua wewe 2025, tafadhari muwe na mipaka ya kuandika, Raisi Samia haitaji kura zenu kua Raisi, utake husitaki atakua Raisi, hu mfumo ulishategenezwa miaka 50 elio pita yupo kwamjibu wa mfumo
 
Nyie ndio mnalilia huyo simba wenu wa yuda ukweli wake ukiwekwa hadharani. Narudia tena, huyo mama yuko sahihi kuwa kipindi cha dhalimu hakukuwa na nidhamu za kweli, bali watu walitii chochote bila kujali sheria inasema nini kwa kumuhofia kiongozi muovu. Sasa mama ameweka wazi, nidhamu ya woga iiondoke, watu wafanye kazi kwa kufuata sheria, na sio kutaka kumfurahisha kiongozi hata kama ni kinyume cha sheria. Kufa kwake sio kinga ya uovu wake kutokusemwa.
Simba wa Yuda aliikuta hiyo nidhamu ya kweli ya kutoka moyoni? Alikuta watu wanafanya kazi kwa kufuata sheria?

Na unaamini huu utawala wake huyu mama kwa msaada wa Jk ndio kutakuwa na nidhamu ya kweli na kufuata sheria kazini?

Au unaongea tu kisa una hasira na Magufuli? Mimi sijawahi kukosa amani ya moyo wakati wa Jiwe na wala hata sasa huyo Samia hanikoseshi amani ya moyo, tatizo ni ninyi ndio mna mna matatizo ya kisaikolojia mkiona katajwa Jiwe tu mnachefukwa, sasa hilo ni tatizo mnahitaji msaada.
 
Inasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.

Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k

Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.

Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
mmmmh mbona unaumauma maneno? ni kauli zipi ziweke hapo tuionee pia usisahau cc m ni genge la wezi.
 
Back
Top Bottom