Aliyemwita Mungu alikuwa hai na aliyeitwa Mungu alikuwa hai.Ilikuwa kazi yake kukubali kuwa yeye ni Mungu.Ila kuitwa Mungu ilikuwa sahihi!?
Nami nasubiri akujibu hapa maana duu Magu walimuita mungu na hawakuhiji ila neno simba wa yuda ni la kawaida kabisa maana hata katibu wa simba aliyestaafu ndugu Mwina Kaduguda anaitwa Simba wa yuda.Ila kuitwa Mungu ilikuwa sahihi!?
Hata wewe?Wanaonufaika kwa sasa ni wale waliopo kwenye circle ya awamu ya nne.
Aliyemwita Mungu alikuwa hai na aliyeitwa Mungu alikuwa hai.Ilikuwa kazi yake kukubali kuwa yeye ni Mungu.
Huyu hakumsema usiwaralue,Bali alisema umetunyosha kwelikweli.
Akasema walikuwa kitu kimoja
Miungu ipo mingi ila hilo jina ni jina la Mungu wa wakristo. Ambao hawajafundishwa kupigana vita vya damu na nyama, ila siyo kwamba watabaki kimya. Kwenye ulimwengu wa roho tutadondosha madhabahu yote yaliyosababisha hii confusion tupate kujenga upya...Tunatuma moto wa roho mtakatifu kuangamiza kila aina ya roho inayosababisha mikanganyiko ndani ya viongozi wetu, tuna mwaga damu ya Yesu kila sehemu ya ardhi ya Tanzani kuunguza uovu wote ili hatimaye amani irejee katika mioyo yetu, Katika Jina Kuu la Yesu, Simba wa Yuda, Mungu asiye shindwa Bwana wa vita Mzee wa Siku nyingi, AmenUliwahi lalamika wapi kabudi alipomuita Magufuli Mhe. Mungu?
Acheni kusema vitu ambavyo havina ushahidi. Hebu tutajie watu waliouwawa ama kutekwa. Acheni kuchuma Dhambi, mnahukumu utafikiri ninyi ni Mungu ama mlikuwepo wakati anauwa watu. Acheni kuhukumu.Yes! The best kwa ukatili na uuaji na utejaji na ubabe wa kishamba
Wewe una matatizo ama ya kumbukumbu au mhemko umekuzidi,Lini aliwahi kuitwa mungu,taahira wewe,hivi watu mna mavi kichwani? Ni lini jpm aliwahi kusema yeye ni mungu?
Two wrongs never make a right, yeye akikosa haitoi haki kwa mwingine kukosea vile vile, bali kujifunza na kama kuna adhabu angekuwa hai basi tunhetakiwa kumwadabisha...Tumeona kupitia kwake umuhimu wa Katiba Mpya so ni bora kuanzia sasa tukarebisha haya makosa kama yake kupitia mifumo yetu ambayo mama ni Katiba iliyompa uhalali wakuwa kama Mungu mtuHakuna kiongozi alileta maneno ya mgawanyiko kwa watanzania kama dhalimu vwa chattle, msidhani tumesahau. Umesahau maneno kuwa watu wa mwanza wasivunjiwe nyumba maana ndio wamenipa kura? Umesahau maneno kuwa sileti maendeleo maeneo haya maana mmechagua wapinzani? Au wakati wa lugha zile ulikuwa hujajiunga hapa jf uanzishe uzi?
Mkuu Mmawia , asante kwa hoja hii ya nidhamu ya woga.heshima inayotakiwa iwe ya moyoni.“Heshima iliyokuzwa ni ya woga
---
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Hatukuishia Kwa Number 1 tuu,Wanabodi,
Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", zikijikita kwenye uzalendo Kwa taifa Letu huku nikisisitiza ukweli na uwazi, ( truthfulness and transparency)
ukiwa mkweli na muwazi,
, ukweli utakuweka huru!. Hili ni swali, "Jee hizi terorizing ziara za kushtukiza, hakutajenga nidhamu ya woga?!. Jee, kutasaidia?!.
Paskali
Mkuu Mmawia , asante kwa hoja hii ya nidhamu ya woga.
Kuna watu humu hili la nidhamu ya woga ndio wamelijua Leo baada ya kusemwa na Mama Samia.
If you have time, angalia tarehe ya bandiko hili na hoja yake muone sisi wengine tulilisema lini.
Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya Woga, Kutasaidia?!.
Wanabodi, Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", zikijikita kwenye uzalendo Kwa taifa Letu huku nikisisitiza ukweli na uwazi, ( truthfulness and transparency) ukiwa mkweli na muwazi, , ukweli utakuweka huru!. Hili ni swali, "Jee hizi terorizing ziara za kushtukiza, hakutajenga...www.jamiiforums.com
Kwa wavivu wa kufollow links, hapo niliuliza
Hatukuishia Kwa Number 1 tuu,
ila pia niliendesha somo humu namna ya kutofautisha kuongea Kwa ukali na kufoka foka
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta!
Wanabodi Declaration of Interest. Mimi Paskali Mayalla, au kwa jina maarufu humu, Pasco wa JF ni Musukuma wa Mujini, aliyezaliwa mujini, kukulia mujini, kusomea mujini na kuishi mujini, ila nature ni ili ile ya Wasukuma, roho nzuri, kupenda sana, ukarimu mwingi, kujituma sana, uchapakazi...www.jamiiforums.com
hata number 3, yule Kiranja Mkuu wa viranja pia tuliwahi kumshauri
Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!
Wanabodi, Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!. Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa...www.jamiiforums.com
Hata baadhi ya Mawaziri walipokosa utu, akina sisi tuliwasema...
Awamu ya tano: Kuweni Wakali, msionee! Tangulizeni utu na ubinaadamu kwanza!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali lilioandama na pongezi kwa viongozi wa awamu ya tano ya " Hapa Kazi Tuu" kwa kuchapa kazi kweli. Kiukweli kabisa hiki kikosi kazi cha serikali hii ya awamu ya 5 chini ya Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kinachapa kazi, kinafanya kazi nzuri, ya kutuletea...www.jamiiforums.com
Na hatukuishia viongozi wakuu na Mawaziri pekee, hata ma RC tuliwamulika
Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation!
Wanabodi, Tangu baada ya Nyerere, na mtindo ule wa vitendo bila kuchelewa na utoaji wa maamuzi magumu, Watanzania walimisi sana maamuzi ya aina hii kwenye utawala wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete, hivyo sasa wanashangilia sana kila maamuzi ya utumbuaji wa majipu wa papo kwa papo ya rais wetu, Dr...www.jamiiforums.com
Huyu pia
This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Wanabodi, Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi nilichosikia na kilicho nifanya nipandishe bandiko hili. Kiongozi huyu anasema kibaka akiingia kwako...www.jamiiforums.com
Hivyo hili la nidhamu ya woga lilikuwepo sana kwa JPM, lakini twende nyuma na kurudi mbele,
Kwa hali hii, mfano Mama naye ni binadamu, anaweza kukosea, jee akikosea kibinaadamu, kuna kiongozi yoyote ndani ya serikali anaweza kum correct, au kuna any main stream media that would dare criticize or correct her, or the epitome of cowardice inaendelea?!.
Nasisitiza Mama naye she is a human being, anahitaji kusapotiwa, kusaidiwa, kushauriwa, na akikosea akosolewe kistaarabu kwa lugha ya heshima na staha huku akishauriwa the right thing to do, ushauri wangu wa kwanza, ni Tanzania tunaweza kabisa kusonga mbele na kufanya mazuri bila kunyoosheana vidole and calling names kama "Simba wa Yuda".
Nashauri tufanye tuu mambo tofauti bila kumtaja taja Kwa ubaya!
Aachwe Apumzike!.
Jumapili Njema
Paskali.
Kajinyonge basi
Acha unafiki hakuna mkristo halisi wa aina yako.Miungu ipo mingi ila hilo jina ni jina la Mungu wa wakristo. Ambao hawajafundishwa kupigana vita vya damu na nyama, ila siyo kwamba watabaki kimya. Kwenye ulimwengu wa roho tutadondosha madhabahu yote yaliyosababisha hii confusion tupate kujenga upya...Tunatuma moto wa roho mtakatifu kuangamiza kila aina ya roho inayosababisha mikanganyiko ndani ya viongozi wetu, tuna mwaga damu ya Yesu kila sehemu ya ardhi ya Tanzani kuunguza uovu wote ili hatimaye amani irejee katika mioyo yetu, Katika Jina Kuu la Yesu, Simba wa Yuda, Mungu asiye shindwa Bwana wa vita Mzee wa Siku nyingi, Amen
Jiwe aliharibu kila mahalaKabisa hapo chini samia ashauriwe asidhani magufuli hana wanaompenda au waliompenda, kumnanga hadharani na akidhani watu hawaelewi itamcost na kumtenganisha na baadhi ya wananchi, yeye afanye kuunganisha watu hata kinafiki tu huku akifanya kazi yake vizuri