Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Jiwe aliharibu kila mahala

Hakuna mkamilifu, hata mimi nilimkosoa sana jiwe lakini kwa mila na desturi za kiafrika huyo hayupo tayari, kuendelea kupoteza muda kumsema marehemu haitotusaidia tusonge mbele, yule ukurasa wake hapa duniani ushafungwa zaidi tujifunze kupitia yeye basi
 
Sawa mkubwa
 
Kwake hakuna cha kujifunza maana yote ni mabaya
 
Inasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.

Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k

Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.

Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Rais SSH ni Muislamu, kwa kupitia imani yake hiyo ya kidini hafahamu kwa undani juu ya jina la Simba atokaye katika kabila la Yuda, kuwa ndiye Bwana Yesu Kristo. Wala haamini Kristo alipokuja kwa mara ya kwanza alikuwa ni Mwana wa Mungu yaani mwanakondoo wa Mungu, Masihi, na Mkombozi wa wanadamu dhidi ya mauti, dhambi na kuzimu.

Imani yake haimtambui Bwana Yesu Kristo baada ya kufufuka na kurudi mbinguni sasa ndiye Mungu mwenyewe na Kuhani Mkuu, yaani Mungu na Mwana Kondoo.

Imani yake inamtambua Yesu kuwa ni miongoni mwa mitume, yaani Issa bin Mariam aliyezaliwa chini ya mti wa mtende. Kwa hiyo imani yake wala haitambui kuwa alizaliwa katika zizi la ng'ombe.

Kwa hiyo matumizi ya jina la Simba wa Yuda, na sehemu alipoyatumia yalikuwa hayana ukakasi wowote wenye kuweza kukwaza Wakristo. Ndiyo maana aliweza kuchagiza na maneno mengine kama kujaribu kushika sharubu zake.

Ni vyema tukakumbuka kuwa, serikali yetu haina mfungamano na dini yoyote ile, yaani "secural state" hivyo mwanasiasa awapo jukwaani kama fanani na kutamka maneno ya kisiasa achukuliwe kuwa ana maana ya kufikisha ujumbe wa kisiasa hadhira yake aliyoilenga, na wala si vinginevyo.

Mbona tumewahi kusikia kauli za JK kubatiza watu kwa maji, JPM kubatiza watu kwa moto, na hata sasa SSH kubatiza watu kwa maji na kuwapa faraja na wala hazijasikika lawama za watu kukwazwa kiimani. Ni lazima tuwe na ngozi ngumu na kuweka hoja nzito zenye kubeba "constructive criticisms" ambazo zinaweza kuamsha fikra mpya.
 
Acha unafiki hakuna mkristo halisi wa aina yako.

Ok kama Rais wako aliitwa "mungu" na wewe ulinyamaza kama mkristo halisi basi wewe ni wakala wa shetani maana kwetu wakristo halisi hatukubali kuongozwa na "mungu" kwa kuwa huyo ni shetani. Ilikupasa nawe ukemee pale Kabudi alipomuita Rais Magufuli kuwa yeye ni kama mungu.

Pia umesema simba wa yuda ni jina la Mungu wa wakristo, hauoni kuwa hauna maana kwa kumpigia kelele Rais ambaye ametumia jina hilo akiamini kuwa ni jina la kawaida maana yeye SI mkristo na jina hilo ni la kawaida tu kama mchezaji wa yanga anavyoitwa Jesus Moroko. Je hapa ulishawahi kulalamika?

Pia nikueleze kuwa Mzee Mwina Kaduguda anajulikana kwa kuitwa simba wa yuda. Je ulishawahi kulalamika jina hilo?

Acha unafiki na ukatubu kwa kuwa una nia ovu dhidi ya mamlaka na imeandikwa iheshemu mamlaka maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Bwana.
Unaishi na mimi kufahamu kuwa siku lalamika? Basi kwataarifa yako mimi nilimwambia kabisa on his face siyo sawa kujifananaisha na Mungu its blasphemy...Uache kuishi kwa hisia, ishi uhalisia...Huyo mzee wako ana impact gani kwangu sasa mpaka nimfahamu? Au unadhani kila unayemfahamu lazima na mimi nimfahamu?
 
Rais SSH ni Muislamu, kwa kupitia imani yake hiyo ya kidini hafahamu kwa undani juu ya jina la Simba atokaye katika kabila la Yuda, kuwa ndiye Bwana Yesu Kristo. Wala haamini Kristo alipokuja kwa mara ya kwanza alikuwa ni Mwana wa Mungu yaani mwanakondoo wa Mungu, Masihi, na Mkombozi wa wanadamu dhidi ya mauti, dhambi na kuzimu.

Imani yake haimtambui Bwana Yesu Kristo baada ya kufufuka na kurudi mbinguni sasa ndiye Mungu mwenyewe na Kuhani Mkuu, yaani Mungu na Mwana Kondoo.

Imani yake inamtambua Yesu kuwa ni miongoni mwa mitume, yaani Issa bin Mariam aliyezaliwa chini ya mti wa mtende. Kwa hiyo imani yake wala haitambui kuwa alizaliwa katika zizi la ng'ombe.

Kwa hiyo matumizi ya jina la Simba wa Yuda, na sehemu alipoyatumia yalikuwa hayana ukakasi wowote wenye kuweza kukwaza Wakristo. Ndiyo maana aliweza kuchagiza na maneno mengine kama kujaribu kushika sharubu zake.

Ni vyema tukakumbuka kuwa, serikali yetu haina mfungamano na dini yoyote ile, yaani "secural state" hivyo mwanasiasa awapo jukwaani kama fanani na kutamka maneno ya kisiasa achukuliwe kuwa ana maana ya kufikisha ujumbe wa kisiasa hadhira yake aliyoilenga, na wala si vinginevyo.

Mbona tumewahi kusikia kauli za JK kubatiza watu kwa maji, JPM kubatiza watu kwa moto, na hata sasa SSH kubatiza watu kwa maji na kuwapa faraja na wala hazijasikika lawama za watu kukwazwa kiimani. Ni lazima tuwe na ngozi ngumu na kuweka hoja nzito zenye kubeba "constructive criticisms" ambazo zinaweza kuamsha fikra mpya.
Si vyema ku amplify mambo ya dini na imani kwakua ni very sensitive; anaweza asijue kuwa ni blasphemy, lakini kwakua amejua busara ni kufafanua ama kuomba radhi ili watu wasimwekee kinyongo. Naamini kwa jinsi alivyo mnyenyekevu atafamya lililo bora. Msimpoteze Mh. Rais kwakutaka kumfanya watu waishi naye kwa kinyongo...Mazingira yote na jinsi lilivyotumiwa halikuwa sahihi kabisa lina gusa hisia za watu kiimani na hasa kwakua na huyo aliyesemwa ni wa imani hiyo naye alikuwa akimtaja sana Mungu wake...Angekuwa wa imani tofauti isingekuwa na inplication sana kwa mtizamo wangu. Hata sasa naamini hakudhamiria i imply hivyo lakini baada ya kujisikiliza second time atagundua its not right
 
Two wrongs never make a right, yeye akikosa haitoi haki kwa mwingine kukosea vile vile, bali kujifunza na kama kuna adhabu angekuwa hai basi tunhetakiwa kumwadabisha...Tumeona kupitia kwake umuhimu wa Katiba Mpya so ni bora kuanzia sasa tukarebisha haya makosa kama yake kupitia mifumo yetu ambayo mama ni Katiba iliyompa uhalali wakuwa kama Mungu mtu
Ni kweli "two wrongs never make a right" na ndiyo maana katika kutaka tujifunze kutokana na makosa aliyoyatenda mtangulizi wake lazima makosa yenyewe tuyajue (yasemwe) na Rais amewafunda viongozi wake kwa rejea ya makosa hayo.

Na kuhusu kuligawa taifa kwa maana ya kutumia jina la simba wa yuda, siyo kweli kwamba mkristo halisi anaweza kukwazwa na hili vinginevyo awe ni katika kundi like alilolusema Samia kuwa "watakao kusumbua ni wale walio ktk chama chake"

Wakristo si mara ya kwaza kusikia mtu aliitwa simba wa yuda au yesu, mbona hakukuwa na nyuzi za kulalamika kutoka kwa wakristo kuwa hao wanaoitwa majina hayo wapigwe marufuku kuyatumia.
 
[mention]FaizaFoxy [/mention] tunaomba comment yako tafadhali.
 
Hakuna sehemu mtu wa kitaifa alishawahi kusema Yesu Kristo au Simba wa Yuda, hao wa mitaani hawana impact. Usilete utetezi ambao haupo. We unadhani kwanini basi wame react this time? Na kama kuna sababu basi hiyo hiyo a deal nayo...Otherwise tuache kuwa defensive, haisaidii. Kama kuna sababu basi hiyo sababu aiondoe ili aongeze kura zake kwakua kila kura ina thamani kwa mwanasiasa.
 
Huyo magufuli aliwaambia yeye ni mungu? Mbona yeye aliwasema sana wenzie tena kwa maneno ya hovyo mbona hamkusema ajiuzulu acheni ubifsi wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Lakin magufur hakuwa kuwafananisha mtangulizi wake na Mtume Mohamad magufuri haku changanya Dini na Siasa
 
Unaishi na mimi kufahamu kuwa siku lalamika? Basi kwataarifa yako mimi nilimwambia kabisa on his face siyo sawa kujifananaisha na Mungu its blasphemy...Uache kuishi kwa hisia, ishi uhalisia...Huyo mzee wako ana impact gani kwangu sasa mpaka nimfahamu? Au unadhani kila unayemfahamu lazima na mimi nimfahamu?
Kama uliweza kumwambia on his face sisi huma jf tungejuaje? Ingawa bado kuamini hili ni ngumu.

Wewe ndiye uanayeishi kwa hisia ukitaka kulazimisha sisi wakristo wote tuamini unachokiamini wewe na mbaya zaidi hisia zako zinakuzidi na kulazimisha mtu wa imani tofauti amini kuwa simba wa yuda ni Mungu wake.

Nimekutolea mifano ya watu wanaotumia majina hayo na ni maarufu na wapo hapa nchini, wewe kama hauwasikii wakristo wengi wanawasikia na wanaishi nao, mbona hao wakristo wenzetu hawajawahi kuona tatizo ila wewe tu? Ama utakuwa na agenda yako nyingine na si imani ya kikristo.

Kama unadai hauwajui fuatilia mchezaji wa yanga anaitwa Jesus Moroko halafu uje humu upige kelele.
 
Siasa za kubagazana ndio propaganda inayowaumiza watu wengi kisaiklojia, ni wengi tu waliumizwa na kubagazwa na siasa za namna hiyo awamu ya tano.
Wengi tumereact kwa Mh. Rais kuhusu Simba wa Yuda wakati ndivyo ilivyokuwa.
Na hili ni funzo kubwa hasa kwa viongozi Vijana kuacha kutumika pasipo kutumia weledi zao.
Lakini lingine ni kuwa sisi huku mtaani hajui yaliyokuwa yakitendeka in-house kiasi kilichopelekea leo "Dhana ya Simba wa Yuda " kuibuka.
Tafsiri rahisi ni kuwa kuna baadhi ya clarified info inabidi zitoke ili kuondoa mentally ya Uungu mtu katika mifumo ya Utawala na kurejesha nidhamu yenye utii usio na woga.
 
Kama uliweza kumwambia on his face sisi huma jf tungejuaje? Ingawa bado kuamini hili ni ngumu.

Wewe ndiye uanayeishi kwa hisia ukitaka kulazimisha sisi wakristo wote tuamini unachokiamini wewe na mbaya zaidi hisia zako zinakuzidi na kulazimisha mtu wa imani tofauti amini kuwa simba wa yuda ni Mungu wake.

Nimekutolea mifano ya watu wanaotumia majina hayo na ni maarufu na wapo hapa nchini, wewe kama hauwasikii wakristo wengi wanawasikia na wanaishi nao, mbona hao wakristo wenzetu hawajawahi kuona tatizo ila wewe tu? Ama utakuwa na agenda yako nyingine na si imani ya kikristo.

Kama unadai hauwajui fuatilia mchezaji wa yanga anaitwa Jesus Moroko halafu uje humu upige kelele.
Kwahiyo mimi ndiyo nimeanzisha huu uzi? We unatabu sana...Jesus ni jina ndiyo lakini Jesus Christ siyo jina la mtu mwingine yeyote ila Mungu wa wakristo, kutokujua hilo tu linadhihirisha wewe siyo mkristo ila chawa!
 
A
Hakuna sehemu mtu wa kitaifa alishawahi kusema Yesu Kristo au Simba wa Yuda, hao wa mitaani hawana impact. Usilete utetezi ambao haupo. We unadhani kwanini basi wame react this time? Na kama kuna sababu basi hiyo hiyo a deal nayo...Otherwise tuache kuwa defensive, haisaidii. Kama kuna sababu basi hiyo sababu aiondoe ili aongeze kura zake kwakua kila kura ina thamani kwa mwanasiasa.
Aahaaa kumbe suala siyo imani kama ulivyokuwa unadai wala kusambaratisha taifa?

Hapa sasa nimekuelewa. Ok kama ni kuongeza kura, njia ni moja tu ya kuwaeleza Wananchi ukweli wa tulipotoka, tulipokosea, na namna ya kurekebisha.

Na tunapoambiwa "tulipokoseshwa" tuache malumbano na tusikilize namna sahihi ya kurekebisha kosa lilifanywa huko nyuma. Ahsante.
 
Kwahiyo mimi ndiyo nimeanzisha huu uzi? We unatabu sana...Jesus ni jina ndiyo lakini Jesus Christ siyo jina la mtu mwingine yeyote ila Mungu wa wakristo, kutokujua hilo tu linadhihirisha wewe siyo mkristo ila chawa!
Ndugu yangu unapojibu uwe na moyo wa kupokea, katika biblia sehemu nyingi za maandiko zimetumia neno Yesu au Jesus kwa kiingereza bila kuongeza neno kristo, sasa hapa napo ni pa kubishana? Nukuhakikishie mimi ni mkristo halisi.
 
Back
Top Bottom