Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wa Yuda hakuikuta hiyo nidhamu anayosema mama yenu, ni bora hiyo unayoita nidhamu ya uoga ilifanya watu kuwa na nidhamu ya kazi na kuacha mazoea, haya sasa hivi Magufuli hayupo hakuna tena woga je hiyo nidhamu ya moyoni ipo?Dhalimu hakukuta nidhamu ya woga, bali akapandikiza nidhamu ya woga, nidhamu hiyo ilipelekea watu aliokuwa na chuki nao kunyanyaswa, na kufanyiwa ukatili wa wazi. Sisi huku mitandaoni tulikuwa tunampa ukweli wake toka akiwa hai, na hata baada ya kufariki tunaweka ukweli wake wazi, ili kuepusha upotoshaji na sifa za kinafiki. Yaani hatupati tabu since hatujawahi kumkubali alivyokuwa mzima, au akiwa huko ahera madukani. Hatuhitaji msaada wowote maana hii kwetu ndio inatufanya tuwe na nguvu za kiume za kutosha.
Hata kama ni uchawa hapa unaharibu bwashee!Amekuambia anategemea kura kupata madaraka? Dhalimu alitangazwa na tume isiyo huru ya uchaguzi kuwa alipata kura 12.5m, je alipata hizo kura Kweli?
Hayo yote uliyoyataja,samia hahusiki kwa lolote kile,hatahivyo hebu orodhesha mazuri yake piaInasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.
Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k
Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.
Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Hata waziri mkuu wa zamani wakti wa awamu ya kwanza ndugu Rashidi Mfaume Kawawa aliwahi kuitwa hili jina la SIMBA WA YUDA kutokana na kusimamia na kuchukua maamuzi na hatua za kijasiri za kuleta mageuzi yaliyokusudiwa kulipeleka mbele taifa la Tanzania kwa wakati huo.Kwani Mama kasema hii Simba wa Yuda akiwa wapi na alikua anaongelea nini mpaka aongee haya?
Simba wa Yuda hakuikuta hiyo nidhamu anayosema mama yenu, ni bora hiyo unayoita nidhamu ya uoga ilifanya watu kuwa na nidhamu ya kazi na kuacha mazoea, haya sasa hivi Magufuli hayupo hakuna tena woga je hiyo nidhamu ya moyoni ipo?
Halafu kidume mzima kujisifu kubwabwaja humu mitandaoni ni sawa na mtoto wa kike kujisifu kuchamba ila nguvu hana anajua kuongea tu, huko kumchamba kwenu Simba wa yuda humu mitandaoni kulimzuia kitu gani? Nyie mnachamba humu ila yeye kule anafanya yake kama kawaida kama asingekufa bado angekuwa anaendelea kufanya bila kuathiriwa na taarabu zenu. Mngeingia road kuonesha hisia zenu na kwamba kweli hamumkubali na kuonesha nguvu yenu ya uma ila sio kuishia kujisifu kuchamba mitandaoni.
Na kwa style hiyo hamtopata mabadiliko miaka mia kwa sababu hampo teyari kubadilika, nyie mnataka mkae tu mitandaoni mpate katiba mpya mpate tume huru muindoe ccm madarakani kwa kuchamba mitandaoni tu.
Magufuli kaondoka ila ccm ambaye ndio mzizi wa tatizo bado yupo hivyo mtaendelea kuchamba sana humu.
Hata kama ni uchawa hapa unaharibu bwashee!
Waliokuwa wanamkosoa magufuli walikiona Cha moto.Huyo magufuli aliwaambia yeye ni mungu? Mbona yeye aliwasema sana wenzie tena kwa maneno ya hovyo mbona hamkusema ajiuzulu acheni ubifsi wa kunya anye kuku akinya bata kaharisha
Mama yenu ni mpuuzi tu,juzi hapa katoka kumwambia waziri Bashungwa afukuze wafanyakazi wabadhilifu hapo tamisemi,je hiyo sio kuwatia wafanyakazi hofu na woga?ni mjinga tu anayeweza kuamiani Samia anaweza kufanya taifa kupiga hatua,nchi za China sio wanatmbua tu ukifanya madudu,na kunyongwa unanyongwa tu,maendeleo hayawezi kuja bila kutiana hofu na kuogopa Mali za umma.Wacha mama atufumbue macho maana jiwe alikuwa ameamua kutufanya vipofu.
Jpm alikuwa msen...ge TU,Lini aliwahi kuitwa mungu,taahira wewe,hivi watu mna mavi kichwani? Ni lini jpm aliwahi kusema yeye ni mungu?
Unakubalika wewe na matacle yakoWe ongea ila kabsa moyon unajua mama hakubalik saivi haupigi mwingi anaubutua mwingi Hana la maana na ipo siku ata wewe utakubari anafanya ovyo 2025 upinzani up to the air
Magufuri alikuwa mbaya sana, tunashukuru mungu Kwa kumuondoa haraka hapa dunianiIvi hii sera mbona ndo wapinzani walikuja nayo 2020 na hawakutoboa rais Gani hakudeal na wabayawake kikwete na babu sea vp?,Nyerere na wapgania uhuru wenzie usije niambia Sina ushahidi maana ata waliopotezwa hamna ushahidi kama alihusika
Mburula mmoja wewe..Hata waziri mkuu wa zamani wakti wa awamu ya kwanza ndugu Rashidi Mfaume Kawawa aliwahi kuitwa hili jina la SIMBA WA YUDA kutokana na kusimamia na kuchukua maamuzi na hatua za kijasiri za kuleta mageuzi yaliyokusudiwa kulipeleka mbele taifa la Tanzania kwa wakati huo.
Kufeni kama Magufuli tuwazike, daadadekk. Ufisadi wa Magufuli wa Tsh 2.4 Trillion aliohojiwa na CAG kisha akamfukuza kazi humukuuona?Inasikitisha sana kuona kiongozi wa serikali anatamka maneno yenye kuleta mgawanyiko na mpasuko miongoni mwa watanzania. Mbaya zaidi kiongozi huyo huyo anasahau kwamba yeye ana madhaifu makubwa zaidi yanayotosha kabisa kumfanya akae pembeni akiwa muungwana.
Tazama hali ya upatikanaji umeme nchini, Tazama bei ya bidhaa mbalimbali, Tazama nidhamu katika utumishi wa umma,rushwa ufisadi n.k
Pamoja na yote hayo badala kiongozi mkuu awe mtetezi wa wananchi yeye amekuwa mtetezi wa kiti chake pamoja na wale aliowachagua Kula pamoja katika meza yenye urefu size ya kamba tofauti.
Waungwana husema Mtu mzima ukivuliwa nguo, Chutama.
Jambo gani mlitia pressure huku mitandaoni na likaleta matokeo? Kuna jambo kubwa kama ule uchaguzi wa 2020 mkapiga kelele za kutosha humu ila nini kilitokea?Kulikuwa na nidhamu ya kazi au nidhamu ya kukomoa watu? Au zile propaganda za kuwa hali imebadilika? Kama hali ilikuwa nzuri asingekuwa adui wa vyombo vya habari, yeye kutaka habari anazozipenda tu ndio ziandikwe tungeajua vipi kweli nidhamu au utendaji umeongezeka?
Kuingia mtaani hakuji ghafla, ni jambo linalochukua muda mrefu baada ya ushahidi wa haya tunayoyaandika huku mitandaoni. Yeye alifanya aliyoyafanya kutokana na nafasi yake, lakini hii mitandao ilikuwa haimpi raha hadi kufikia kutaka malaika washuke waifunge. Hukumbuki ni wati wangapi walitekwa, ama kufungwa kutokana na kumkosoa kupitia mitandao? Kama mitandao ilikuwa haimtesi asingefuatilia. Na kwa taarifa yako kwa dunia hii ya kidigitali, mitandao ni sehemu moja wapo ya pressure ya kupata jambo, labda kama ww ni mzee, hivyo njia ujuayo ya pressure kwa watawala ni kuingia mtaani tu.
Suala la kumfananisha mwendazake na Simba ya Yuda kwa kweli lina ukakasi