Jamal Akbar
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 413
- 471
Chadema wangesema hajui kiingereza.Pongezi Mh Rais!
Angetumia Lugha adhimu ya Kiswahili ingependeza zaidi.
Kwani anajua kiingereza Sasa? Mbona hajui.Chadema wangesema hajui kiingereza.
Wewe unge penda ajibu je? Mbona nyie mnapenda kumdhoifisha Raisi, leteni hoja za mashiko kuliko mambo ya kike kikeKwani anajua kiingereza Sasa? Mbona hajui.
Hata kwenye Royal Tour ambako alilazimika kurudia scene moja mara 10 lkn bado akawa anaitikia "Yaah" hata kwa mambo yasiyostahili.
Piraa: Your predecessor was stupid ?
Mama: Yaah!
Piraa: I think me and you will make a good couple!
Mama; Yaah.
Piraa: You were not in good terms with your predecessor?
Mama: Yaah.
Huku atatekwa na kupotezwa kama Ben Sa8 kabla hajaanza kaziNilimsikia Chebukati anasema huu ndo uchaguzi wake wa mwisho, ingekuwa poa tungemwomba aje hapa bongolala apambane na wazee wa mabegi meusi.
Wewe unge penda ajibu je? Mbona nyie mnapenda kumdhoifisha Raisi, leteni hoja za mashiko kuliko mambo ya kike kike
Bado atakaeshinda ikutoka hukumu atapaswa kupongezwa,Hajakosea raisi kupongeza!Kwahiyo umewahi Kumpongeza ili usionekane kuwa hukumtaka au Tanzania tulikuwa hatuna upande wowote kati yake na Odinga?