Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
60 yrs ya uhuru du ila bado maisha ya nyasi dili ila kazi kujaza matumbo yao tu mungu ange chukua kila.mmoja waoMkuu karne hii bado watu wanaishi kwenye nyumba za tembe ndiyo ujue bado kuna shida
CCM ni hatari haitaki watu waelimike wataikataa60 yrs ya uhuru du ila bado maisha ya nyasi dili ila kazi kujaza matumbo yao tu mungu ange chukua kila.mmoja wao
Upuuuz hili Dubwana CCM NDIO CHANZO CHA UMASKINCCM ni hatari haitaki watu waelimike wataikataa
CCM ni kama kansa mzee inakutafuna ndani kwa ndaniUpuuuz hili Dubwana CCM NDIO CHANZO CHA UMASKIN
Wamerejeshwa wale waliojiendeleza kielimu.Hii nchi KWA Sasa inapoelekea ni shimoni kabisa, hata hyo elimu ambayo ni nguzo ya nchi KWA Sasa inadharaulika na itaendelea kudharaulika Zaidi. Hivi mtu akifoji kitu official si ni mualifu na adhabu yake inaweza kua kifungo mpaka miaka7?
Nilitegemea Hawa watu kua jela Kwa Sasa, lakini ndo kwanza wanarudishwa kihuni huni tu.
Yaani nchi KWA Sasa haina Dira
Mimi ni mjasiliamali sijawahi kuwa huko.Huwa sipendi kuona uonevu na dabo standard.Ww ni mhanga sio kwa hasira hizi
Wale watu walionewa pure and simple, huwezi fukuza mtu kazi amefanya kazi miaka 20 eti umwambie huna elimu, sijui ulirudia darasa la saba kwa jina jingine, kilichotakiwa na kuweka mfumo wa kufanya hayo makosa yasijirudie, sio kufukuza kazi mtu kabakiza miaka 2 kustaafu,Utadhani hakuwa kwenye hiyo serikali.
Ipo siku Rais mwingine anaetokana na CCM, atakuja kumuomba radhi Mbowe kwa kesi ya kusingiziwa, na pengine kumlipa fidia, na CCM hawa hawa wanafurahia Mbowe kuwekwa ndani, watampongeza huyo Rais.
Kuwaelewa CCM na akili zao, ni vigumu kama ilivyo vigumu kujua Mungu alitoka wapi au kati ya yai na kuku, kipi kilianza.
Anyway, awalipe fidia na wale waliobomolewa nyumba zao maeneo ya Kimara wakati wa Mwendazake.
Ndio walio karibia kustafuu wapewe haki zao huo ni uonevu mama au baba maisha yake yote kafanya kazi serikarin leo unamtoa hata shi 10 hakuna du dhambi kati ya dhambi magu kafanya ni hiyo uonevu sanaIwarudishe wote waliofukuzwa ule ni uonevu
Makonda nae karudishwa nasikiaTaarifa za ndani nikwamba hao waliorudishwa ni wale CCM kindakindaki..inagwa magufuri yeye hakujali ushauri mwanzoni wa kuwaacha wanaccm akafukuza wote sasa mama SSH ameamua kuwarusahia wafanyakai waliokuwa wanachama wa CCM tu ila wengine wote wameliwa
KweliiiiUtapeli mtupu.
Na ndo ilivyo Sasa sijui nani anaeneza huu uongo? Itabidi serikali iwaeleshe watu, walioruhusiwa kurudi ni wale darasa la Saba tena wengi walikuwa madereva na kweli walikuwa wanajiendeleza na walianza kurudishwa tangu JPM yupo na siyo vyeti feki.Kama nimemuelewa vzr Waziri ni kwamba wanaorudishwa kazini niwale walioondolewa kazini kwa kutokuwa na elimu ya kidato cha nne na sasa wameshajiendeleza na sio wale 12,000 waliogushi vyeti.
Tunaomba Machinga pia waachwe maana nchi yetu hatutaki kufuata sheriaNi wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
Upuuuzi mtupu hawa ccm wafe wote itakuwa afadhali kuliko kuwa nao waliopo ssaHawa watalipwa mishahara yote pamoja na posho za usumbufu kwa kipindi chote walichokuwa mtaani. Hongera CCM mna tengeneza tatizo then mnalitubu afu mnaomba credit kwa wananchi.
Awaache na Machinga kwasababu hatuwezi kufuata sheria, kila mtu afanye atakavyoNimeipenda, mtu hawezi kufanya kazi miaka 10 halafu unamtoa kirahisi tu...