Ni kweli waliondolewa la Saba kimakosa ndo hao walisharuhusiwa kurudi na wengi walikuwa kwenye kustaafu hivyo walirudi Ili kuchukua mafao yao.Uanapotosha makusudi magufuli wakati anahutubia watumishi kule bandarini aliwaambia kama wee ni lasaba ni umejaza lasaba hamna mwenye shida naye ila mtu la saba anafoji ni form four uki mwambia alete cheti cha form anaruka ruka
Tz hakuna sheria hata Machinga waachwe watakavyo, kuwatoa ni uonevu tu maana hakuna sheria inayoongoza nchi ni Siasa tu za kijingajingaKwahiyo kughushi cheti si kosa kisheria au sijaelewa vzr.
Kutoboa Mwafrika haitakaa itokee.
Kwamba umeghushi umekatwa halafu serikali inakupongeza.
Sasa yule aliyekuwa anatibu watu isivyo kiutaratibu yeye ana mkosi.
Ni kama tunaenda na pweza wa utabiri
Enzi za nyerere kununua jina na kurudia darasa la saba kwa jina la mtu ilikuwa kawaida kwani mfumo ulikuwa hauruhusu mtu kujiendeleza kivingine iwapo utafeli darasa la saba,, ilikua either uwe mwalimu wa UPE au uapply kwenda polisi, sasa kwa mtu mwenye ndoto kubwa, labda kuwa doctor, injinia, meneja, mkurugenzi, etc, walipofeli la saba, option iliyobaki ilikuwa kununua jina na kurudia shule,, hapakuwa na shule nyingi za private eti mtu angeweza kujiunga na kuendelea na masomo ya sekondari,Kweli! Huyu kama aliingia kwa kufoji lazima alikua ashtakiwe na afungwe jela.
Kuna watu wengi mfano bashite, bagaile, etc hii amri haikuwagusa,, huwezi ku cherry pick hivi vituMagufuli angekuwa hai angekuuliza utamlipaje stahiki mtu aliyeidanganya serikali na kujipatia ajira na mshahara kiudanganyifu?
Kama unataka kutekeleza sheria basi inabidi uwe bandidu kotekote yaani, hakuna mafao wala kurudishwa kazini.
Ila wewe ukiona bora alipwe mafao tu, mwingine ansona bora arudi kazini tu
Ni mtizamo tu wa kila mmoja
Walioachishwa ni zaidi ya 4000,,Duu ina maana wamejiendeleza kuanzia march mwaka huu hadi leo November? ina maana walifanya mitihani wapi na lini? hahahahahaha
Wapeni haki yao bwaaana wamesotea japokuwa elimu ya zamani ilikuwa ngumu kupasuaNimeipenda, mtu hawezi kufanya kazi miaka 10 halafu unamtoa kirahisi tu...
Kumbe Salary Slip HUJUI kati ya kuku na yai kipi kilianza? FYI Mungu hakuumba yai bali kuku. Kuku ndiye aliyeanza na yai ni mchakato tu wa kiendeleza kizazi cha kuku!Utadhani hakuwa kwenye hiyo serikali.
Ipo siku Rais mwingine anaetokana na CCM, atakuja kumuomba radhi Mbowe kwa kesi ya kusingiziwa, na pengine kumlipa fidia, na CCM hawa hawa wanafurahia Mbowe kuwekwa ndani, watampongeza huyo Rais.
Kuwaelewa CCM na akili zao, ni vigumu kama ilivyo vigumu kujua Mungu alitoka wapi au kati ya yai na kuku, kipi kilianza.
Anyway, awalipe fidia na wale waliobomolewa nyumba zao maeneo ya Kimara wakati wa Mwendazake.
Vizuri. Cheti cha form IV hakumuondolei mtu ujuzi alioupata akiwa chuoni plus uzoefu.Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
Hao watu kabla ya kutolewa kazini walikuwa wanafanya kazi Serikalini mbona nchi haikuwa Shimoni? Fine, kabla na baada ya the so called vyeti feki kutoka nchi ilipiga hatua gani?Hii nchi KWA Sasa inapoelekea ni shimoni kabisa, hata hyo elimu ambayo ni nguzo ya nchi KWA Sasa inadharaulika na itaendelea kudharaulika Zaidi. Hivi mtu akifoji kitu official si ni mualifu na adhabu yake inaweza kua kifungo mpaka miaka7?
Nilitegemea Hawa watu kua jela Kwa Sasa, lakini ndo kwanza wanarudishwa kihuni huni tu.
Yaani nchi KWA Sasa haina Dira
Hakuna jema hapa kwetu, kila analofanya mtu wengine watalalamikaEnzi za nyerere kununua jina na kurudia darasa la saba kwa jina la mtu ilikuwa kawaida kwani mfumo ulikuwa hauruhusu mtu kujiendeleza kivingine iwapo utafeli darasa la saba,, ilikua either uwe mwalimu wa UPE au uapply kwenda polisi, sasa kwa mtu mwenye ndoto kubwa, labda kuwa doctor, injinia, meneja, mkurugenzi, etc, walipofeli la saba, option iliyobaki ilikuwa kununua jina na kurudia shule,, hapakuwa na shule nyingi za private eti mtu angeweza kujiunga na kuendelea na masomo ya sekondari,
Tatizo lilikuwa la kimfumo zaidi,, miaka ya sasa mtu hawezi kutumia jina la mtu, wakati kuna options nyingi mno,,
So SSH kuamua hao warudi kazini ni Reasonable na ubinaadamu pia,,
Vizuri. Cheti cha form IV hakumuondolei mtu ujuzi alioupata akiwa chuoni plus uzoefu.
Acheni kutete ujinga aisee, mtu kaghushi cheti huyo hana utofauti na jambazi kisheriaHao watu kabla ya kutolewa kazini walikuwa wanafanya kazi Serikalini mbona nchi haikuwa Shimoni? Fine, kabla na baada ya the so called vyeti feki kutoka nchi ilipiga hatua gani?
jiwe alikuwa shetani. Wengine wakafukuzwa bashite akabaki.Nimeipenda, mtu hawezi kufanya kazi miaka 10 halafu unamtoa kirahisi tu...
Mwizi wa cheti au mtumia cheti cha kugushi ni mhalifu anatakiwa kufikishwa mahakamani. Serikali ihalalishe kugushi na kutumia vyeti vya watu wengine.Nimeipenda, mtu hawezi kufanya kazi miaka 10 halafu unamtoa kirahisi tu...
Wewe unaemponda mama umetoka hata la saba kweliUnachosema ni kweli mama nasikia ana vikozi vya kuunga unga balaa ndo maana naye anashadadia ujjnga .mtu anafoji chei then anarudishwa
Waache wazee wastaafu kihalaliKwa hiyo Kugushi cheti ni haki yao, kazi kweli kweli mwizi anapokuwa huru ingawa mmemkamata na vizibiti.
Waache wazee wastaafu kwa amaniDuu ina maana wamejiendeleza kuanzia march mwaka huu hadi leo November? ina maana walifanya mitihani wapi na lini? hahahahahaha
Ndio mimi najiamini naweza kufanya kazi sehem yoyote duniani kwa ufanisia mkubw a sijawahi pinda pindaWewe unaemponda mama umetoka hata la saba kweli