Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

Wavuvi hawana umoja. Mara nyingi miongoni mwao kuna wasaliti
Haki ni haki haingalii umoja kikubwa ni kuangalia tulivyo tendewa kwakweli bila kujali tunaumoja au hatuna umoja serekali itutazame tulivyofanyiwa
 
Ni wavuta bangi gani walichoma nyavu zenu. Kwamba watu wa serikali walikuja bila kosa lolote mlilofanya au kukiuka masharti yoyote wakachoma nyavu zenu na boti. Serikali ina wehu wa hivyo?
Ni jamaa anaejiita marwa tunasema hatukuwa nakosa kwasababu tulikuwa na leseni usika nanyavu zetu zilikuwa sawa lakini ukionesha kila kielelezo unaambiwa sisi tumetumwa pesa kama huna tunachoma nyavu na kubeba imashine ukileta kujitetea walikuwa wanakupiga na kuchoma vielelezo makoti nakila kitu hivyo ilikuwa sikumbaya sana katika maisha yetu ukilinganisha tz kwakizazi chetu hatujawahi kuona vita tulidhani indiovita inakuwaga vile kwakweli inatisha nakama tulikuwa na makosa serekali toka lini inatoa leseni kwenye kazi haram au bidhaa haram?
 
Kama alikuwa na “utendaji uliotukuka” anakosa sifa gani tena, hana chura ?

Mwafrika hajakuzwa kuelewa logic.
 
Haki ni haki haingalii umoja kikubwa ni kuangalia tulivyo tendewa kwakweli bila kujali tunaumoja au hatuna umoja serekali itutazame tulivyofanyiwa
Bila umoja wa wavuvi wenye nguvu watajuaJe kuwa walionewa ?! .

Mpina alikuwa na roho mbaya na ya kimasikini . Bahati mbaya aliyemuweka naye akapenda kazi za misifa . Wamewafanya wengi kurudia umasikini bila kupenda. Lakini bila umoja wenye nguvu , inakuwa kama madai ya mtu moja moja. Bahati mbaya swala lile lilifuatana na vitisho na wavuvi hawakuachiwa surpoting documents
 
Nyie kama wavuvi mgepata mwanasheria akajitolea kuwatetea haki zenu dhidi ya huyo Marwa ingekuwa vizuri. Ni vigumu kuomba haki kwa kusubiri huruma na bila kuwa organized. Tundu Lissu kabla Watanzania hatujamjua alianzia na kutetea waliodhurumiwa na kampuni ya madini
 
Hivi kumbe inawezekana ukafoji cheti then ukajiendeleza kielimu? Nawaza tu
 
Mpina anastahili kuwa jera
 
Tatizo la hii nchi ni akili mbovu za wanaoiongoza. Unamuondoa mmachinga kwa kuwa anavunja sheria huku unamrudisha kazini aliyevunja sheria. Huu hakika ni wehu.
 
Watumishi waliogushi vyeti wapigwa ‘stop’

Yasini Ngitu / 2 hours ago
Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mh. Mohammed Mchengerwa amesisitiza kwamba hakuna mtumishi wa umma aliyeghushi vyeti ataruhusiwa kurudi kazini.
[https://bongo5]
Waziri Mchengerwa akizungumza na wanahabari leo Jijini Arusha
Akizungumza na wanahabari Jijini Arusha, leo Novemba 5, 2021, Waziri amesema kwamba wanaotakiwa kurudi kazini ni wale watumishi waliokuwa wameajiriwa tangu Mei 2004 wakiwa na elimu ya darasa la saba na baadae wakajiendeleza kupata elimu ya kidato cha nne.
Aidha ameeleza kuwa wale walioshindwa kujiendeleza kutokana na muongozo uliotolewa na serikali ambao idadi yao ni elfu moja na zaidi watatakiwa kulipwa stahiki zao.
Pamoja na hayo, Waziri Mchengerwa amewakumbusha waajiri wote kukamilisha utekelezaji wa maelekezo hayo kwa haraka na usahihi ili watumishi husika waweze kupata haki zao.
 
Hongera sana Rais Samia
 
Sijawahi kuiamini serikali ya ccm ni vigeugeu Kama popo, wanajitekenya wenyewe na kucheka wao. Waliwafukuza wao Sasa wanajidai wamewahurumia, swali ni kwamba. Ni wangapi walikufa kwa sonona na njaa?, Pia wamewafidia kwa madhira waliyopitia?, Pia kwa kuwadhalilisha?, Kuna mzee wangu ilikuwa kabakiza majuma mawili kustaafu wakamtumbua kilichofuata akafa kwa kisukari. Je watatulipa nini kwa uharamia walioifanyia familia yetu?.
 
Experience matters., acha kelele mtu ashazoea kumuhudumia mgonjwa na kumpetipeti pale kitandani uwekwe wew na kadigree kako cha udom ukabahatishe kwenye maisha ya mtu?

Mi nadhan ni jambo jema sana wakulaumiwa ni serikali hiyo hiyo na sio hawa maskini za mungu waliochangamkia fursa kwa njia wazijuazo wao., sema sasa serikali ipige mstari kwenye ajira wawe makini na hizo fojari., mtu anafamilia kubwa sasa inamtegemea utamfanyaje? let them back #HongeraMama bado unaupiga mwingi tu
 
Ungeweka link ya nukuu yako watu wangekuamini.

Kwa taarifa yako serikali imekanusha kurejesha wafanyakazi walioghushi vyeti badala yake imerejesha wale waliojiendelza kielimu kufikia sifa zilizokuwa zinatakiwa.

Usikimbilie kutaarifu umma wakati unakuja kupotosha na kuzusha taharuki isiyo na maana yoyote.
 
Nzuri sana mama
 
Utalipwa kwa kadiri ya mapatano yako, daima usiangalie malipo ya wengine, jifunze katika hadithi ya Bible inayohusu ujira kwani hata aliyekuja sa 10 alilipwa sawa na aliyeanza kazi sa 2, hoja ni bargaining power yako.Hata mbiguni tutaingia kwa timing
 
Ni uzembe wa mamlaka husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…