Haki ni haki haingalii umoja kikubwa ni kuangalia tulivyo tendewa kwakweli bila kujali tunaumoja au hatuna umoja serekali itutazame tulivyofanyiwaWavuvi hawana umoja. Mara nyingi miongoni mwao kuna wasaliti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ni haki haingalii umoja kikubwa ni kuangalia tulivyo tendewa kwakweli bila kujali tunaumoja au hatuna umoja serekali itutazame tulivyofanyiwaWavuvi hawana umoja. Mara nyingi miongoni mwao kuna wasaliti
Ni jamaa anaejiita marwa tunasema hatukuwa nakosa kwasababu tulikuwa na leseni usika nanyavu zetu zilikuwa sawa lakini ukionesha kila kielelezo unaambiwa sisi tumetumwa pesa kama huna tunachoma nyavu na kubeba imashine ukileta kujitetea walikuwa wanakupiga na kuchoma vielelezo makoti nakila kitu hivyo ilikuwa sikumbaya sana katika maisha yetu ukilinganisha tz kwakizazi chetu hatujawahi kuona vita tulidhani indiovita inakuwaga vile kwakweli inatisha nakama tulikuwa na makosa serekali toka lini inatoa leseni kwenye kazi haram au bidhaa haram?Ni wavuta bangi gani walichoma nyavu zenu. Kwamba watu wa serikali walikuja bila kosa lolote mlilofanya au kukiuka masharti yoyote wakachoma nyavu zenu na boti. Serikali ina wehu wa hivyo?
Bila umoja wa wavuvi wenye nguvu watajuaJe kuwa walionewa ?! .Haki ni haki haingalii umoja kikubwa ni kuangalia tulivyo tendewa kwakweli bila kujali tunaumoja au hatuna umoja serekali itutazame tulivyofanyiwa
Nyie kama wavuvi mgepata mwanasheria akajitolea kuwatetea haki zenu dhidi ya huyo Marwa ingekuwa vizuri. Ni vigumu kuomba haki kwa kusubiri huruma na bila kuwa organized. Tundu Lissu kabla Watanzania hatujamjua alianzia na kutetea waliodhurumiwa na kampuni ya madiniNi jamaa anaejiita marwa tunasema hatukuwa nakosa kwasababu tulikuwa na leseni usika nanyavu zetu zilikuwa sawa lakini ukionesha kila kielelezo unaambiwa sisi tumetumwa pesa kama huna tunachoma nyavu na kubeba imashine ukileta kujitetea walikuwa wanakupiga na kuchoma vielelezo makoti nakila kitu hivyo ilikuwa sikumbaya sana katika maisha yetu ukilinganisha tz kwakizazi chetu hatujawahi kuona vita tulidhani indiovita inakuwaga vile kwakweli inatisha nakama tulikuwa na makosa serekali toka lini inatoa leseni kwenye kazi haram au bidhaa haram?
Mpina anastahili kuwa jeraBila umoja wa wavuvi wenye nguvu watajuaJe kuwa walionewa ?! .
Mpina alikuwa na roho mbaya na ya kimasikini . Bahati mbaya aliyemuweka naye akapenda kazi za misifa . Wamewafanya wengi kurudia umasikini bila kupenda. Lakini bila umoja wenye nguvu , inakuwa kama madai ya mtu moja moja. Bahati mbaya swala lile lilifuatana na vitisho na wavuvi hawakuachiwa surpoting documents
Watumishi waliogushi vyeti wapigwa ‘stop’Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
Watumishi waliogushi vyeti wapigwa ‘stop’Tatizo la hii nchi ni akili mbovu za wanaoiongoza. Unamuondoa mmachinga kwa kuwa anavunja sheria huku unamrudisha kazini aliyevunja sheria. Huu hakika ni wehu.
Hongera sana Rais SamiaNi wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
NdioHaki ni haki haingalii umoja kikubwa ni kuangalia tulivyo tendewa kwakweli bila kujali tunaumoja au hatuna umoja serekali itutazame tulivyofanyiwa
Experience matters., acha kelele mtu ashazoea kumuhudumia mgonjwa na kumpetipeti pale kitandani uwekwe wew na kadigree kako cha udom ukabahatishe kwenye maisha ya mtu?Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
Ungeweka link ya nukuu yako watu wangekuamini.Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.
Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa.
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
Nzuri sana mamaNi wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.

Ni uzembe wa mamlaka husikaNi wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7.