Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,005
"Mimi Samia Suluh Hassan natafuta wapiga kura wapya"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni pandora's box amefungua.Utadhani hakuwa kwenye hiyo serikali.
Ipo siku Raisi mwingine anaetokana na CCM, atakuja kumuomba radhi Mbowe kwa kesi ya kusingiziwa, na pengine kumlipa fidia, na CCM hawa hawa wanafurahia Mbowe kuwekwa ndani, watampongeza huyo Raisi.
Kuwaelewa CCM na akili zao, ni vigumu kama ilivyo vigumu kujua Mungu alitoka wapi au kati ya yai na kuku, kipi kilianza.
Anyway, awalipe fidia na wale waliobomolewa nyumba zao maeneo ya Kimara wakati wa Mwendazake.
Hivyo ndiyo ilikuwa suluhishi bora. Hata JPM alipowaondoa binafsi niliona ingekuwa vyema wangelipwa mafao yao kwa muda waliotumikia. Hata sasa ingefaa ifanyike hivyo kuliko kuwarudisha tena kazini.Wamejiendeleza vipi kielimu?
Mtu alitumia jina la ndugu yake akapata kazi sasa leo hii amejiendeleza vipi kupata hivyo vigezo. Au ambaye alikosa cheti cha Form 4 alienda kuwa private candidate akafanya NECTA na kufaulu. Na kwa muda gani imefanyika hiyo wakati SSH hana hata mwaka. Na walijuaje kwamba watarudishwa mpaka wakaenda kusoma ndani ya miezi 6 hii.
Kama mtu anaitwa Mwajuma Jumanne na alifeli darasa la saba mwaka 1990. Akatumia cheti cha Ashura Abdallah na kazini alitumia hilo jina, huyu vigezo vya miaka ile ya 90s kujiunga na chuo amevipataje leo hii. Na sasa ataitwa Mwajuma au Ashura?
Na vipi mtu aliyefoji vyeti vya taaluma naye amejiendeleza au wamesema ana uzoefu. Kwa nini serikali iingie gharama kulipa watu ambao walivunja sheria kwa kughushi, serikali inaungana na waarifu?
Bora ingewalipa mafao yao ila kazini wasirudi. Kuna watu kibao mtaani wenye vigezo visivyo na mashaka wameambiwa wajiajiri
Hakuna alosema walofoji vyeti warudi kazini bali wale darasa la saba na baadae wakajiendeleza ndo wanarudi kazini.Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7,
hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unkomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa,
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
4100 hawakufiji vyeti bali waliingia bila kukidhi vigezo vya ajira mfano mtu darasa la saba aliajiriwa na baadae kujiendeleza hadi kufika form four, huyu anastahili kurudishwa kwa kua hakufoji vyeti na hakuna jinai kwakeSijaelewa vizuri ,waliofukuzwa vyeti feki walikuwa zaidi ya elfu 10 ,criteria gani iliyotumika kurudisha 4100? Kama ni kweli basi Mama SSH anazidi kuupiga mwingi ,vipi hao elfu 6 waliobaki stahili/stahiki zao watapata?
Aisseee....Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7,
hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unkomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko sawa,
Nilitegemea Hawa watu wawe mfano wa onyo la kughushi vyeti lakini ndio kwanza wanarudishwa kazini, ni sawa na mtu aliefungiwa account yake benki alipokamatwa akingiza noti feki ila sasa anasamehewa na zile noti feki zinahesabiwa kuwa orijino.
Vijana kibao wapo mitaani wamesoma kwa shida ili kumaliza degree / masters, kiukweli hawatendewi haki hawa vijana, Binafsi sikuwa fan wa magufuli lakini kuna mambo machache sana aliyoyafanya nilikuwa upande wake likiwemo hili swala la kuchomoa wanao ghushi vyeti,
Serikali kupitia Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora imetangaza kuwarejesha kazini Wafanyakazi zaidi ya elfu nne (4000+) ambao waliondolewa kazini kutokana na kugushi vyeti katika maeneo mbalimbali lakini sasa kwa huruma ya Rais Samia watarejeshwa kazini kwa sharti la kuwa wawe wamejiendeleza kielimu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Mohamed Mchengerwa amesema "wale walioweza kujiendeleza ambao ni zaidi ya 4100 tayari wamerejeshwa kazini, pia tunao Watumishi 1150 ambao hawakufanikiwa kujiendeleza maana yake hawana sifa za kutosha kuendelea kuitumikia Serikali japo walikua ni Watendaji wazuri”
Rais Samia alishatuagiza kwamba hawa 1150 kutokana na utendaji wao uliotukuka Watumishi hao wote walipwe haki zao na stahiki zao kama vile wapo kazini kwahiyo watalipwa"
At least watalipwa mafao yao mkuu..Kati ya 4000+ waliojiendeleza kielimu watakuwa wangapi?waliofika mda wa kustaafu niwangapi?na zile stress mtu atajiendeleza kweli?
Wanasiasa wana udanganyifu sana
Kama hukuwa na ndugu, jirani, rafiki aliyekutana na hayo masaibu hakika huwezi elewa maumivu waliyopitia.. Huwezi.Utadhani hakuwa kwenye hiyo serikali.
Ipo siku Raisi mwingine anaetokana na CCM, atakuja kumuomba radhi Mbowe kwa kesi ya kusingiziwa, na pengine kumlipa fidia, na CCM hawa hawa wanafurahia Mbowe kuwekwa ndani, watampongeza huyo Raisi.
Kuwaelewa CCM na akili zao, ni vigumu kama ilivyo vigumu kujua Mungu alitoka wapi au kati ya yai na kuku, kipi kilianza.
Anyway, awalipe fidia na wale waliobomolewa nyumba zao maeneo ya Kimara wakati wa Mwendazake.
Utadhani hakuwa kwenye hiyo serikali.

Ulitaka na kujiendeleza serikali iwaambiee!??? 😂😂😂😇😇😇Halafu walijiendeleza lini na wapi ? sikupenda watu wafukuzwe kazi kama awamu ya 5 ilivyofanya , lakini porojo kwamba walijiendeleza ni uzushi .
Wapo waliokuwa na vyeti visivyo na sifa.. Hao ndo wanahusika kujiendeleza.Wamejiendeleza vipi kielimu?
Mtu alitumia jina la ndugu yake akapata kazi sasa leo hii amejiendeleza vipi kupata hivyo vigezo. Au ambaye alikosa cheti cha Form 4 alienda kuwa private candidate akafanya NECTA na kufaulu. Na kwa muda gani imefanyika hiyo wakati SSH hana hata mwaka. Na walijuaje kwamba watarudishwa mpaka wakaenda kusoma ndani ya miezi 6 hii.
Kama mtu anaitwa Mwajuma Jumanne na alifeli darasa la saba mwaka 1990. Akatumia cheti cha Ashura Abdallah na kazini alitumia hilo jina, huyu vigezo vya miaka ile ya 90s kujiunga na chuo amevipataje leo hii. Na sasa ataitwa Mwajuma au Ashura?
Na vipi mtu aliyefoji vyeti vya taaluma naye amejiendeleza au wamesema ana uzoefu. Kwa nini serikali iingie gharama kulipa watu ambao walivunja sheria kwa kughushi, serikali inaungana na waarifu?
Bora ingewalipa mafao yao ila kazini wasirudi. Kuna watu kibao mtaani wenye vigezo visivyo na mashaka wameambiwa wajiajiri
Muhimu wangepewa stahiki zao waondoke lakini sio kufanya walichofanya, kwanza itakuwa walipewa kazi kwa kubebana/kujuana wakawaacha wenye sifa waliostahili kazi hiyo hii ni dhambi hata kwa Mungu.Nimeipenda, mtu hawezi kufanya kazi miaka 10 halafu unamtoa kirahisi tu...