Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

Umrah na kuhiji/hija ni ibada mbili tofauti,

Ndio maana heading yako umeandika kaenda kuhiji ila source ya hiyo habari imesema ameenda umrah,

Muda wa kuhiji ni bado,Hija ina muda wake maalum na mpaka muda huo ufike,So kwasasa hakuna ibada ya hija bali ni ibada ya umra.
Umrah ni hijja ndogo
 
Asisahau kuwaombea faraja kwa Allah Subkhana Wataaala Wamasai wa Loliondo ooh!'Rongongoro!
 
Unauhakika ulitoka kwa udongo?. Unavithibitisho vya kueleweka kuhusu hiyo kauli yako?🤔
Tunatakiwa kufikiri vile tu vipo ndani ya uwezo wetu wa kufikiri, maana ukianza kuchunguza sana binadamu alianza anzaje huwezi kupata majibu sahihi, kama vile hata Hao wanasayansi wameshindwa kabisa kuja na uhalisia wa vipi binaadamu alivyopatikana !! Wanababaisha babaisha tu!! Hata virusi vya corona tu vinawasumbua mpaka Leo na vitaendelea kuwasumbua !! Kwahiyo kwa sababu akili ya mwanadamu inapata angalau utulivu kidogo ikijua kuwa yupo Mfalme wa Wafalme wote mwenye uwezo unaoweza na ambao hauwezwi na kitu chochote hapa duniani na mbinguni ndiyo maana inatubidi tuamini sisi ni mavumbi tu na tutarudi mavumbini !!
 
Vyote ! Kwani uliambiwa Tanzania Inamfunga mtu kutekeleza iman ya dini yake achen uchochez
Ana haki zote za kutekeleza dini yake, hapo hajakosea lolote. Hata marais wakristo walikuwa wakienda ziara ndani na nje ya nchi wanasindikizwa kanisani kwa protocol zilezile zinazoendana na madaraka yao. Akiingia ibadani anakuwa muumini kama wengine.
 
Back
Top Bottom