Coolhigh
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 1,373
- 1,271
Si ndio hivyo yuko njiani kuwarudishia ndege yenu amesimama tu njiani sawa na sisi kwenye kimbinyiko tusimamie Chalinze.Kama maswala ya kikazi yameisha si arudishe ndege nyumbani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio hivyo yuko njiani kuwarudishia ndege yenu amesimama tu njiani sawa na sisi kwenye kimbinyiko tusimamie Chalinze.Kama maswala ya kikazi yameisha si arudishe ndege nyumbani?
Hii sio nchi ya kidini yenye kusubiri vitu vya kipumbavu ambavyo wewe unaviita baraka vinavyo endelea kuzalisha watu wavivu bali hii inchi itajengwa kwa kufanya kazii kwa bidii na sio kusubiri vitu vya kijinga vinavyoitwa baraka ili iweze kuendeleaAfadhali mama Atumie kodi Kwenye Ibada nchi Ibarikiwe,Wengine walikuwa wanatumia kuhonga mashangingi,Kula bia Nchi Ilikuwa inaingia kwenye Laana kubwa!!
Ulikutanana na MUNGU akakuambia hayo kuhusu Mama Samia?🤔Rais wetu mama Samia ni mtu wa Mungu, sio mnafiki kama walivyo baadhi ya viongozi, ni mtu mwenye hofu ya mungu, asiye penda kuonea watu wengine.
Mungu ambariki katika Ibada yake takatifu.
Kwani hapa Tanzania sio sehemu Takatifu?🤔Hili swala la kutakaswa Kiroho alilofanya ambalo ni la kiibada ni muhimu sana, na Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki! kaenda sehemu takatifu, chonde tisibeze hili maana ndugu zetu waislamu wanaelewa umuhimu wa hili.
Unaushahidi wa hayo unayozungumza?🤔Huwezi kufananisha na Yule shetani wa chattle .Alikuwa anaenda kanisani na bado ananyonga watu.
Ni hivi Magufuli alikuwa shetani,muuaji .Alimua Ben Saanane .Mnaropoka tu, alikuwa nani hasa hadi rais akamuue? Mnauana huko kwenye vyama vyenu ili kulinda uenyekiti wa kudumu mnasingzia wengine.
Awamu ya sita sorry, huna sababu ya kuishi na machungu ndani ya nafsi yako maisha yako yote.Mwenye nongwa ni mimi au ni ww unayesema ni rais wa Tano wa Tanzania?
JPM hakusafiri nje ya africa hata mara moja, uliwahi kusikia habari hizi za Bahima katika awamu yake?.ninavyojua ili upate hijja safi ipokelewe inatakiwa mja uende kule kwa kutumia pesa ya halali ya jasho lako mfano mshahara wako au faida ya business kama wewe ni mfanyabiashara. Tena kabla hujaenda inatakiwa ndugu zako kusiwe na mwenye njaa!
Sasa kwa hili la Bimkubwa sidhani kama kidini yuko sahihi kutumia kodi na ndege za wabongo bila ridhaa yao tena wengine wanashinda njaa eti kwenda hijja
. Naamini ilitakiwa Vasco da Gama akistaafu ndo aende hijja kwa pesa ya mfukoni mwake maana siamini kama raia wako radhi nae kuchezea kodi zao kwa masuala binafsi ! Ninavyojua kuna watu Mungu anawaandikia hijja bila hata wao kutua Saudia. ila kwa Umra ya Bimkubwa, Mungu anajua zaidi (Allahu Aaalam)
M23 wanatishia amani maziwa makuu Bimkubwa yeye yuko anapuyanga tu kwa wajomba zake.
Mwambieni Vasco da Gama kuwa huku kwake Rais wa Kenya anahaha kutafuta jeshi ili M23 wakafurushwe Congo DR.
Nia ya Bahima State proposal chini ya Kagame ni kuwa Rwanda inatakiwa kuongeza eneo la mipaka yake kupitia waasi kwa kupora ardhi ya Congo DR wakimaliza huko watakuwa na nguvu kubwa kijeshi kisha watahamia kuja kupora ardhi kwa nguvu huku TZ, Kenya na Uganda. In 500 years nia ya Rwanda ni kuunganisha nchi za Africa Mashariki kuwa nchi moja ya Rwanda chini ya watakaofuata baada ya Kagame kuwa mavumbi.
Vasco da Gama asijesema hatukumwambia hili balaa la waasi wa M23!!
wapo wengine ni waisalm majina tu, matendo yao ya ovyo kabisa.Mama Samia kati ya viongozi Waislamu wachache wakuhesabika wenye roho nzuri.
Kodi zetu zingeenda rwanda au madagasca kuchuku box kumi za dawa feki ya corona hapo kodi hazikomi?Kodi zetu zitakoma safari hii
Safari ya kuja huku ni binafsi zaidi, ingalikuwa vyema kama angechukua likizo fupi kwa ajili ya masuala yake ya ibada, na tena kama angeongozana na "First Gentleman" ingependeza zaidi.
Kimara na mbezi wamevunjiwa wote mliufyata magu kaua watu wengi kavunja jengo la tanesco ubungo kwa chuki tu na eneo halifanyiwi kazi wakristo mna roho mbayaAna roho nzuri huoni jamaa wanavyoondolewa na kuwapa ardhi watu wa dini ya haki?
Tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo !! I.e mavumbini !!! Tukijua na kuamini hivyo binadamu hatutokua na kiburi tena hapa kwa Dunia !! Be prepared for the big day to come ! It's there just around the corner !!Mnapita kwenda wapi?🤔
Hiyo ni hija ndogo inaitwa uomra
Unauhakika ulitoka kwa udongo?. Unavithibitisho vya kueleweka kuhusu hiyo kauli yako?🤔Tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo !! I.e mavumbini !!! Tukijua na kuamini hivyo binadamu hatutokua na kiburi tena hapa kwa Dunia !! Be prepared for the big day to come ! It's there just around the corner !!