Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Tuheshimu IMANI za Dini za watu, anacho fanya ni kutekeleza sehemu muhimu ya takwa la dini yake. Katika uislamu, kuna nguzo Kuu 5 na moja wapo ni HIJJA.
Kapata nafasi hiyo kaona yupo huko basi aitumie kisha arudi Tanzania. Au mlitaka arudi huku kisha apange tena safari ya kurudi Makkah kufanya HIJJA?!!
Kapata nafasi hiyo kaona yupo huko basi aitumie kisha arudi Tanzania. Au mlitaka arudi huku kisha apange tena safari ya kurudi Makkah kufanya HIJJA?!!