Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

Urais raha bana, afu eti wana CCM walitaka eti 2025 awapishe - 🙂🙂🙂

yaani ni hivi 2025 tunaanza upyaaaa - ngoma hadi 2035 mwana CCM hutaki tangulia Burundi.
Hata enzi za mwenda zake mlianza hizi kufuru...lakini Mungu ni fundi na kikomo cha mashindano hivyo mimi ni nani nikubishie?
 
Naona msafara mzima wa rais Samia kwenda uarabuni ni waislam watupu!
 
Afadhali mama Atumie kodi Kwenye Ibada nchi Ibarikiwe,Wengine walikuwa wanatumia kuhonga mashangingi,Kula bia Nchi Ilikuwa inaingia kwenye Laana kubwa!!
 
Rais wetu mama Samia ni mtu wa Mungu, sio mnafiki kama walivyo baadhi ya viongozi, ni mtu mwenye hofu ya mungu, asiye penda kuonea watu wengine.
Mungu ambariki katika Ibada yake takatifu.
 
roho nzuri kwa lipi? kwa kwenda kuswali au? Hata Iddi Amin alipoenda sadi arabia alienda kusali! fafanua roho nzuri kwa lipi kwa mfano!
Ana roho nzuri huoni jamaa wanavyoondolewa na kuwapa ardhi watu wa dini ya haki?
 

Journey to Umrah​

Umrah can be performed throughout the year and is also an important part of the Hajj itself. Bakwata we provide the best and best service during the Umrah Worship Journey.

Source : BAKWATA
 
Back
Top Bottom