mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Ibada ni muhimu ! Duniani tunapita tu !!Masha'Allah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibada ni muhimu ! Duniani tunapita tu !!Masha'Allah
Achana na nongwa hizi mkuu Tindo, huyo ni rais wa tano wa JMT na ana haki zote kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.Kumcha Mungu ni kwenda huko? Kwani huko kaenda kwakuwa ni mcha Mungu au kwakuwa halipi nauli yake toka mfukoni?
roho nzuri kwa lipi? kwa kwenda kuswali au? Hata Iddi Amin alipoenda sadi arabia alienda kusali! fafanua roho nzuri kwa lipi kwa mfano!Mama Samia kati ya viongozi Waislamu wachache wakuhesabika wenye roho nzuri.
Mitaa ya huko ndiko mtume yuko.
Akiwa nje hana habari na barakoa wala nini!!14 June 2022
Jeddah, Saudia
Mh. rais Samia Hassan aelekea Saudia mara baada ya kumaliza ziara yake Sultanate ya Oman
View attachment 2262860
JEDDAH — The President of the United Republic of Tanzania Samia Suluhu Hassan arrived here Tuesday to perform Umrah.
Upon her arrival at King Abdulaziz International Airport, she was received by Prince Khaled Al-Faisal, advisor to Custodian of the Two Holy Mosques and governor of Makkah region, and a number of officials. — SPA
arab.news
Achana na nongwa hizi mkuu Tindo, huyo ni rais wa tano wa JMT na ana haki zote kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.
Hivi hapo watakaoumia ni ccm au machadema?Urais raha bana, afu eti wana CCM walitaka eti 2025 awapishe - 🙂🙂🙂
yaani ni hivi 2025 tunaanza upyaaaa - ngoma hadi 2035 mwana CCM hutaki tangulia Burundi.
Labda amemaanisha tour kama hizo. Mzee wa kazi asingeendekeza hizo tours.Umesahau ya kwamba safari zote za nje alikuwa akimuwakilisha JPM
Hivi hapo watakaoumia ni ccm au machadema?
Duuh rais wa 5??????Achana na nongwa hizi mkuu Tindo, huyo ni rais wa tano wa JMT na ana haki zote kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.