Aisee namuombea msamaha huyu Mzee wa watu maana umemkomalia kweli kweli, hakuwa malaika alikuwa ni binadamu ambaye si mkamilifu, yapo ambayo alituuzi wengi lakini ndio ubinadamu. Imetosha apumzike kwa amani Mzee wa watu.Ndio hivyo kama alikuwa Dhalimu ulitaka nani amchekee?
Mama hawezi fanana na Katili
Aliyelichukua ni rafiki/'dada' wa mange kada wa ccm kindaki Iron Lady na amelichukua ili awe comfortable kupiga picha,si umeona hata huyo nyuma alimsaidia mkoba wake mwekundu ili apige picha kwa uhuru!Hilo bango la Mange naona limerudishwa chap uvunguni sijuwi aliandika vitu gani....
Mama anababaikia sana wazungu na kuwaona ndio binadamu wa kweliMama kakomaa na Barakoa zilizotengenezwa nje ya nchi tofauti na za msd
Miezi 6 hii mama amesema ataongea kwa matendo makali, miezi 6 ijayo itakuwa ni matendo makali na maneno makali vuta subiraKama ubaya wa Magufuli hukuuona au kuusikia miaka yote sita ya utawala wake wa kidikteta,ni nani wa kukuambia ukaelewa?
Suala na maadili kwa baadhi ya watanzania ni gumu sana? Kiongozi ambaye alikuwa anatawala nchi kama kampuni yake na kutukana watu qaliomuweka madarakani wewe huoni ubaya wake?
Mtawala ambaye alikuwa ameteka vyombo vyote vya habari kibabe na kulazimisha viimbe sifa zake na uongo wake wewe huoni tatizo?
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma bila kufuata utaratibu wa bajeti wewe unaona ni sawasawa tu!
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma kununua wapinzani, wewe huoni ubaya wake?
Dah watu wana majibu balaa 😂😂😂Sasa na wewe unaamini ni kitu kimoja ?Wangekuwa kitu kimoja si wangekufa pamoja ?Unafikiri Samia alikuwa anafurahia ubabe wa Magufuli ?
Hakuwa mtu mzuri kwa ukweli.Aisee namuombea msamaha huyu Mzee wa watu maana umemkomalia kweli kweli, hakuwa malaika alikuwa ni binadamu ambaye si mkamilifu, yapo ambayo alituuzi wengi lakini ndio ubinadamu. Imetosha apumzike kwa amani Mzee wa watu.
Lete ushahidi wa pesa za umma kununua wapinzani. Letu ushahidi wa kutukana watu, Rais wa nchi anapimwa kwa data za vitu alivyofanya. Elimu toka primary school mpaka secondary school ni bure, bwawa la kutengeneza umeme, Sgr, vituo na hospitali za afya, anzia mtwara mpaka kigoma, nidhamu katika utumishi wa umma nk.... Nitajie rais asiyekuwa na mapungufu hapa duniani...Kama ubaya wa Magufuli hukuuona au kuusikia miaka yote sita ya utawala wake wa kidikteta,ni nani wa kukuambia ukaelewa?
Suala na maadili kwa baadhi ya watanzania ni gumu sana? Kiongozi ambaye alikuwa anatawala nchi kama kampuni yake na kutukana watu qaliomuweka madarakani wewe huoni ubaya wake?
Mtawala ambaye alikuwa ameteka vyombo vyote vya habari kibabe na kulazimisha viimbe sifa zake na uongo wake wewe huoni tatizo?
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma bila kufuata utaratibu wa bajeti wewe unaona ni sawasawa tu!
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma kununua wapinzani, wewe huoni ubaya wake?
Hii ni kwetu sote au kwa mtazamo wako binafsi?Magufuli alikuwa mtu mbaya mno huo ndio ukweli
Nimekuambia mapema,wewe siyo wa kuambiwa ukaelewa! Huo ujenzi wa hospitali na elimu bure,ndio kazi ya kodi zetu. Hata wakoloni walijenga miundo mbinu mingi tu. Wajerumani ndio waliojenga treni unayoiona. Serikali ya nyerere na ya Mwinyi walisomesha bure watanzania kuanzia shule ya msingi mpaka chuo kikuu! Hata leo,serikali ya raisi samia inaendelea kujenga hospitali na miundombinu mingine,na kusomesha bure watanzania kwa kodi zetu.Lete ushahidi wa pesa za umma kununua wapinzani. Letu ushahidi wa kutukana watu, Rais wa nchi anapimwa kwa data za vitu alivyofanya. Elimu toka primary school mpaka secondary school ni bure, bwawa la kutengeneza umeme, Sgr, vituo na hospitali za afya, anzia mtwara mpaka kigoma, nidhamu katika utumishi wa umma nk.... Nitajie rais asiyekuwa na mapungufu hapa duniani...
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Pointi tupu,Mange hoye,mama Samia hoye,Tanzania hoye,Kazi iendelee!Kama ubaya wa Magufuli hukuuona au kuusikia miaka yote sita ya utawala wake wa kidikteta,ni nani wa kukuambia ukaelewa?
Suala na maadili kwa baadhi ya watanzania ni gumu sana? Kiongozi ambaye alikuwa anatawala nchi kama kampuni yake na kutukana watu qaliomuweka madarakani wewe huoni ubaya wake?
Mtawala ambaye alikuwa ameteka vyombo vyote vya habari kibabe na kulazimisha viimbe sifa zake na uongo wake wewe huoni tatizo?
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma bila kufuata utaratibu wa bajeti wewe unaona ni sawasawa tu!
Mtawala ambaye alikuwa anatumia pesa za umma kununua wapinzani, wewe huoni ubaya wake?
Mange alikuwa anatukana hadi raisi ,sasa wanasemaje samia akitukanwa ni kosa wakati mama anagonga 5 na mange kimambi ,vipi waziri aliye sema raisi anatukanwa mitandaoni ni lazima atujibu iliMange alimshambulia sana Magufuli hadi kuutweza utu wake leo anatambulishwa kama mtoto wa Mama.
Mama alituambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja, mimi nasema kwa haya Mama na Magufuli sio kitu kimoja tusidanganyane.
Tutaona rangi ya kila mmoja muda si mrefuView attachment 1945136
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
[emoji2958][emoji2958] shiiii usiwaambie wasije wakapata akili,Mama Samia anaingizwa kwenye mkondo mgumu na asioujua mwisho wake. CCM zamu hii wana wakati mgumu zaidi kuweza kusimama na mama Samia.
Muda utatupa darasa tu.
Haiwezi kuwa siku jf bila magufuli kutajwa.. yaonekana tz haijawahi kuwa na marais wengine zaidi yake kiasi sasa jf std practice ni kutaja magufuli kwa kila hoja..Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.
Alishachoka kuishambulia CCM baada ya kuona watanzania wamezubaa, kama zile kelele zake zingefanikiwa kuwaamsha watanzania waiondoe CCM madarakani sidhani kama leo angekutana na Samia hapo, huyo Mange ni sawa na mhaini tu anaejipendekeza asamehewe dhambi zake.