Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Imagine angemuwasha makofi


Hivyi vipi KUHUSU wanausalama na silaha wanaruhusiwa KUWA Nazo au watu wasambaze mkong'oto
 
Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.
Mkuu 'Victoire', najaribu kukulinganisha na huyo binti Mange anayezungumziwa kwenye mada hii, kwa kukumbuka maandishi yako ya wakati uleeee wa Magufuli..., wewe unadhani unatofautiana naye?

Tofauti pekee, wewe ulikuwa ni mwimbaji wa ile kwaya ya Magufuli, na sasa umeihamishia kwa 'Maza Mizinguo', wote wawili mmekutana huko.

Tuwatakie safari njema.
 
Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.
Ulitaka akuweke wewe kimada wake akakataa? Mbona unaandika kama bile Magufuli alikutafuna halafu akakutelekeza. Labda hukumvutia
 
Kamiss Bongo huyo, anataka mama amkingie kifua ili apate Passport.
 
Ni kweli kwa meko alionekana ni mhaini lakini hakuwa mhaini wa nchi!!na ndio maana leo umeona rais alivyokutana naye ni kama vile hana shida na nchi, lile jamaa lilikuwa shamba sana!!leo hii hata akija nchini ile taarifa za kukamatwa kwake iliyotolewa mipaka yote ya kuingia nchini na idara ya uhamiaji haina nguvu tena!!!yaani MWENDAZAKE MASALIA wanapata tabu sana na jinsi mama anavyojaribu kuachana na siasa za kishamba zile.
 
Kama Maalim alishindwa kuiondoa ccm huko kwenu Zanzibar,huku barq mzee sahau sioni upinzani serious wenye mikakati chanya kupambana na jini la Lumumba!!
CCM ilishaanza kulegea hadi alipoingia Magufuli na kuteka vyombo vyote vya dola. Simwone mwingine mwenye sifa alizokuwa nazo Magufuli kuweza kuteka kila kitu kama ilivyokuwa wakati wake.

Katika hali hiyo, CCM sasa hivi inaonekana kama mkate mgumu tu unaowaaminisha watu kama wewe kuwa hawawezi kuondolewa madarakani.
Hali imekwishabadilika sana baada ya Magufuli.
 
Alitafuta umaarufu akirudi bongo ubunge viti maalumu later waziri wa Mambo ya nje,nyie pigeni kelele tu anawachora
 
Usalama wa Raisi hawawajibiki likitokea lakutokea nan wakulaumiwa.
 
Kwa mafisadi na mabeberu alikuwa mtu mbaya sana, lakini kwa wazalendo alikuwa ni mwema sana! Ukitaka kujua mtu aliye mbaya kwa watanzania angalia tu je mafisadi na mabeberu wanamsifu?? Hicho ndiyo kipimo cha uhakika.
Sasa Ben sanane alikuwa fisadi au Azory Gwanda au lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…