Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Hata usemeje watanzania wanajua uzuri wa JPM! Japo hayupo huwezi kufanikiaa kuyabomoa aliyoyajenga na jkijaribu hutafanikiwa!! Mfano mdogo tu ni kwamba watanzania wanafuata msimamo wa Magufuli kuhusu corona!! Hawana habari na chanjo wala barakoa na maisha yanaendelea!! Msimamo huu hakuna awezaye kuuvunja!! Kuna watu walijaribu kufufua tena mradi wa bandari ya bagamoyo wameshaangukia pua!! Kuna watu walitaka kufutilia mbali stiglers George wameangukia pua!! Ukitaka watanzania walio wengi wakuponde, wewe jaribu kumponda JPM!!
 
Sasa na wewe unaamini ni kitu kimoja ?Wangekuwa kitu kimoja si wangekufa pamoja ?Unafikiri Samia alikuwa anafurahia ubabe wa Magufuli ?
alikuwa hafurahii,wala hana ubavu wa kuufanya.

si unaona kwa sasa mambo yanavyokwenda kwa kudra za Mungu!!!!
 
Haiwezi kuwa siku jf bila magufuli kutajwa.. yaonekana tz haijawahi kuwa na marais wengine zaidi yake kiasi sasa jf std practice ni kutaja magufuli kwa kila hoja..
Rais katili kuwahi kutokea Tz.
 
kodi hizi ambazo umeambiwa uongeze kutoa ukapata stroke na BP kwa pamoja???

acha kujipa nyota ambazo huna bana,eti kodi zetu[emoji1787]
 

Mkuu. Kwa kuwa hatukufahamu, nachoweza kusema you are Sick . Katibiwe. Rais kazi yake sio Kuja kukutawaza uharo wako. Miundo mbinu na malengo ya kitaifa ndo shughuli yake ingiongozwa na ilani na sera za chama chake. He was a human being, ila nahisi wewe ni mnyama. Jitokeze hadharani mbele ya wananchi ongea hayo. Then you will know and understand how loved was, our JPM.

Kwa lugha yako na judgement yako inakuonyesha una majanga sana binafsi. Pole na please Katibiwe.
 
Mama na magufuli sii kitu kimoja.
Mbowe anashitakiwa na mama kwa kesi iliyotungwa wakati wa Magu.
 

mpaka sasa mtu anahangaika na kesi ya ugaidi,wagoloko mnaendelea kuimba mapambio.

kelele zilikuwa maisha kuwa magumu,bahati mbaya sana kodi zinazidi kupaa,huku watuhumiwa wa ufisadi wakiachiwa.

korosho,mahindi,na mbaazi bado hazijapata suluhishi mbali na nchi kukabidhiwa malaika asiyejua kumiza watu.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema anajua ni nani alifanya ukatili ule kwa wanyonge wa tz,kumwondoa mkombozi wao,ila nyie kamati panya wa store mnamnasibisha Mungu na mipango yenu ya kikafiri.
atatoboa mitumbo yenu inayonenepeana kwa mali za kujilimbikizia.
 
mahasimu wa jpm hata kwa muonekano wa nje ni watu waliokuwa wamekata tamaa kabisa ya maisha.
 
Nyie jamaa mnadanganyana sana! Hivi nani amewahi kutaka kufutilia mbali mradi wa strigglers?

Nani kakwambia Bandari ya Bagamoyo haitajengwa?

Kwani kuhusu corona ni Tanzania tu wanakataa kuvaa Barakoa na chanjo? Wapi Africa unaona wananchi wanavaa barakoa mitaani zaidi ya kwenye mikutano? Nao wanamfuata Magufuli??

Nyie jamaa aliyewaita washamba hakukosea kwa Kweli!
 
Nani kakwambia korosho haijapata suluhisho? Nani kakwambia mbaazi haijapata suluhisho??

Hayo mazao aliyaua magufuli wenu Ila sasa bei yake imetengamaa na wakulima wanafurahi huko mikoani. Mahindi ndo yana shida nayo yanapatiwa ufumbuzi
 
Nani kakwambia korosho haijapata suluhisho? Nani kakwambia mbaazi haijapata suluhisho??

Hayo mazao aliyaua magufuli wenu Ila sasa bei yake imetengamaa na wakulima wanafurahi huko mikoani. Mahindi ndo yana shida nayo yanapatiwa ufumbuzi
unajua mafuta ni shingapi??
achana na diesel na petrol nazungumzia ya kupikia.
 
Mange ana jisikia hatia kwani hakujua kama atakuwa na mchango pamoja na watu waliomuombea Dua mbaya hayati, hakufikiri kwamba Dua zao zingepelekea mazito kama hayo na anajutia kuwa miongoni mwao, nafsi inamsumbua,
 
Mbaazi imenunuliwa 1200 kilo mwaka huu kwa mikoa ya lindi na mtwara,wakati wa yule shetani mbaazi ilinunuliwa mpaka mia mbili 200 kilo

Tunasubiri korosho itanunuliwa bei gani
ni jambo jema mlipe kodi sasa vilio hatutaki.

na mahindi yakifika 1200 kwa kilo kila mtu akalime.
 
Nani kakwambia korosho haijapata suluhisho? Nani kakwambia mbaazi haijapata suluhisho??

Hayo mazao aliyaua magufuli wenu Ila sasa bei yake imetengamaa na wakulima wanafurahi huko mikoani. Mahindi ndo yana shida nayo yanapatiwa ufumbuzi
Kumbe jamaa kelele zote za miaka mitano ni kwamba ulitengwa na mfumo aisee , ukiona Mtu mweusi akikupambania unatakiwa kuwa makini sana.Watu wanakuwa wanapigania walivyopoza kwa mda huo.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…