Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Victoire dadangu umebadilika sana na hizo kauli ngumu....Hujui CCM Rais ndo kila kitu ?Hakuna wa kumbabaisha Rais kuanzia CCM mpaka Tanzania kama taifa. Rais wa Tanzania ni Mungu mtu. Refer Magufuli hadi mawaziri aliwaita "Pumbavu"Viti maalum alimuweka hadi Kabula hawala yake.
Kwa kifupi Magufuli alichemka sana kuwa na mgombea mwenza mwanamke,hasa huyo chief Hangaya.
Rais akiwa nje nchi ile mitutu na ffu hakuna kule anapatiwa ulinziwa hadhi yake plus advance team yake watu 12 .....na wale 5 anaokuja nao .....bastola 5 tu huruhusiwa kuingia nazo ......protocols za kimataufa ila suo nchi zile G20 uko tofauti kidogo
mkuu pambana na umasikini,usiupe sababu ya kuendelea kukunyanyasa kwa kumtupia mwingine lawama.Sababu yule SHETANI hayupo things are going to be OK kwa uwezo wake alie juu
Mbona kesi nyingine anafuta,msimuinguze JPM kwenye ujinga wenu nyie timu msoga na timu bibi mwenye matiti makubwa kama mabogaMama na magufuli sii kitu kimoja.
Mbowe anashitakiwa na mama kwa kesi iliyotungwa wakati wa Magu.
Wewe Ni mtoto mdogo wa miaka 15 eee?!!Mb
Mbona kesi nyingine anafuta,msimuinguze JPM kwenye ujinga wenu nyie timu msoga na timu bibi mwenye matiti makubwa kama maboga
Kweli muda ni kitu kinachosema ukweli daima.Mama anaonyesha ualisia wake dhahiri shahiri.Kumbe?Hata uteuzi wa January Makamba hakukosea ni mipango ilivyo.Baada ya muda tutaona Bandari ya bagamoyo.Tutaona mengi.Mange alimshambulia sana Magufuli hadi kuutweza utu wake leo anatambulishwa kama mtoto wa Mama.
Mama alituambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja, mimi nasema kwa haya Mama na Magufuli sio kitu kimoja tusidanganyane.
Tutaona rangi ya kila mmoja muda si mrefu
View attachment 1945136
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kimambi alijipanga kwa hasira na vituko, lakini TABASAM la Mama lilimfanya apagawe naye atabasam na ajawe na furaha badala ya chuki. Na mama akapozi na kumsoma, si unajua tena Mama kwa kuwasoma watu.Hilo bango la Mange naona limerudishwa chap uvunguni sijuwi aliandika vitu gani....
Kwa Aina hii ya mapokezi! Raisi wetu anapokelewa na kupiga picha na Mange Kimambi na Polisi wanamsogelea kiasi hicho na bastola yaani dah Magufuli alikuwa anatupeleka pazuri Hizo dharau hata Meya wa New York akija Tz hatuwezi kumpokea hivyo why Sisi tena kwa Head of state JPM alituheshimisha Sana refer mapokezi aliyopewa South alipohudhuria sherehe za kumuapisha Raisi wao, A President isn't suppose to be that cheap kwa loloteNiseme tu ukweli yule jamaa yenu mwenye allergy na ndege na kingereza alikuwa anatupeleka sipo kama nchi.
Mimi mama namkubari sijui nyie wenzangu
Kwanini Mange Afunike Bango alilokwenda nalo mwenyewe, kwanini aone aibu kwa bango alilolibeba mwenyewe?. "Ukiona unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe basi tambua kiko kitu akikosawa katika akili yako".Mange alimshambulia sana Magufuli hadi kuutweza utu wake leo anatambulishwa kama mtoto wa Mama.
Mama alituambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja, mimi nasema kwa haya Mama na Magufuli sio kitu kimoja tusidanganyane.
Tutaona rangi ya kila mmoja muda si mrefu
View attachment 1945136
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mkuu ulitaka apokelewe na Biden pale JFK,unajua hii ni aina gani ya safari kwa hawa wakuu wa nchi wanachama wa UN?Kwa Aina hii ya mapokezi! Raisi wetu anapokelewa na kupiga picha na Mange Kimambi na Polisi wanamsogelea kiasi hicho na bastola yaani dah Magufuli alikuwa anatupeleka pazuri Hizo dharau hata Meya wa New York akija Tz hatuwezi kumpokea hivyo why Sisi tena kwa Head of state JPM alituheshimisha Sana refer mapokezi aliyopewa South alipohudhuria sherehe za kumuapisha Raisi wao, A President isn't suppose to be that cheap kwa lolote
Pole Sana JPM alikuwa anatupeleka kwenye heshima tunayostahili kama nchi! Ni Bora hakwenda na hakika angeenda huko asingepokelewa ovyo hivyo
Hapa ndio upo kwenye njia yako at least..Ulinzi kwa Rais wetu haujaniridhisha, Mange is like a stranger how comes anamsogelea Rais karibu kiasi hicho? japo nimeuona mkono wa askari ukimzuia na Samia alivyoweka mikono yake pia ni kama anajilinda, lakini hiyo pekee kwangu haitoshi, next time ulinzi wa Rais wa nchi uimarishwe asisogelewe sana na raia wa kawaida.
Kweli kabisa mkuu yani uyu Mzee angeweza kuamka akaona haya sijui ingekuwajeSikujua magufuli alikuwa amekumbatia mabomu bila yeue kujua watu aliowaamini sana ndo walikuwa adui zake wakubwa