Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Yeye ameshamaliza tayari, tengeneza njia zako na wewe maana kila nafsi itaonja mauti.Kwanini apumzike kwa amani wakati alitesa wengi?
#Mama 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ameshamaliza tayari, tengeneza njia zako na wewe maana kila nafsi itaonja mauti.Kwanini apumzike kwa amani wakati alitesa wengi?
We umeandika matakataka, Ili selikali isemwe vizuri au ijisafishe intende haki, mange hawezi badili ukweliRais S. S. H na Mange Kimambi pichani.
Nimeona watu wametoa maelezo yenye hisia tofauti kufuatia Mange Kimambi kuonekana katika picha na Mhe. Rais huko nchini Marekani.
Mimi nlifuatilia video inayoonesha namna Watanzania waishio nchini Marekani walivyojitokeza kumpokea Mhe. Rais kwa mahaba makubwa sana akiwamo huyo dada Mange Kimambi. ( Maarufu mtandaoni). Aidha, nimeona
Mange Kimambi na Kigogo 2014 ni mashujaa wa Taifa. Magufuli ametutesa sana Watanzania na bado madhara ya Udikteta wake yanaendelea.Acha kumsemea Kimambi,
Yeye ni mtu mzima
Kama kutubu na kujisafisha Haina ugumu, angeandika neno dogo tu kwenye page yake, "I'M SORRY"
Angalia jezi aliyovaa ilivyoandikwa!
Kuna imani kuwa mtu yeyote anayepingana na serikali ni Chadema. Mange yuko kwa ajili ya brand ya Mange tu. Chama kwake si muhimu.Hivi Mange alikua mwanachadema au mwanaharakati tu?
Sio wao ndio wanadandia meli ya Chadema? Au unataka kusema kuwa Chadema ilipata umaarufu baada ya Mange na Kigogo kuanza kuikosoa serikali? Na kuwa sasa hivi Chadema inabebwa na wakina shangazi?Chadema wanachofanya ni kudandia mgongo wa yoyote anayejaribu kupambana na CCM na kuishia kuangukia pua
Kuna imani kuwa mtu yeyote anayepingana na serikali ni Chadema. Mange yuko kwa ajili ya brand ya Mange tu. Chama kwake si muhimu.
Amandla...
Mbona unaongea usomeki una maana ganMambo sasa kachukia sana kuona picha hizi
Kabisa. Alivuna sana followers wakati ule wa mtifu tifu wake. Na followers=influence=brand=Income. Na uzuri wengi ni wagumu kum unfollower hata pale wanapotofautiana na mawazo yake. In fact sasa hivi ataongeza followers wa upande wa pili.Basi Mange amefanikiwa kujiweka pazuri kwa brand yake kwa kuwatumia chadema. Kweli binadamu tunategemeana
Kwani kuna fisadi kumzidi Mwendazake? Au umesahau ile Audit Query ya Prof Assad ya Tsh 2.4 Trillion?Watz na nani ? Sema alikutesa wewe fisadi
Uko sahihi lakini kamwez kuwa muuaji/mtesaji kama yeyeYeye ameshamaliza tayari, tengeneza njia zako na wewe maana kila nafsi itaonja mauti.
#Mama 2025
Mwendazake ni fisadi killerKwani kuna fisadi kumzidi Mwendazake? Au umesahau ile Audit Query ya Prof Assad ya Tsh 2.4 Trillion?
Na kujenga miundombinu mikubwa ya airport, hospitali, ofisi ya TANESCO Kijijini kwake?