Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Rais Samia awasili Marekani leo Sept 19, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)

Hoja zako zimetulia. Ila kwa maoni yangu Mange Kimambi anatafuta fursa ya ajira,ubunge au kuteuliwa in the longrun. Mange kwa uhalisia anaishi akitegemea Child & Spousal support kutoka Kwa Lance Lowrey aliyekuwa mumewe na hii huwa inaondoka mikononi mwa mama baada ya watoto kujitanbua na kucontrol account zao za benki wenyewe normaly wanapofika 17yrs.

Mange amaeibuka nakudai ana kuja na biashara ya Blog/website kuhusua umbea, Diet,Health and lifestyle, fitness etc soko lake kubwa anategemea watanzania maana ndio wanaomjua na anaweza kuwauzia product yake.

Marekani hana nafasi ya kupigania soko maana linahitaji akili ya hali ya juu sana.
Ni lazima hapa nyumbani bongoland aweke mambo sawa ili issue zake za kulipwa kupitia mifumo ya simu na kibenki isije ikapigwa pini na serikali ikiwezekana aweze hata kuwa anakuja maana unapouza bidhaa zako ni rahisi kupata endorsement za makampuni ya bidhaa uwatangazie bidhaa zao.

Sababu kubwa ni za kunufaika kiuchumi ndizo zilizompelekea kuanza kujisogeza na kuweka uhusiano mzuri na utawala uliopo. Hata alipokuwa akipingina na mwendazake naamini alikuwa akinufaika kimapato kwa namna moja au ingine.
 
Rais S. S. H na Mange Kimambi pichani.

Nimeona watu wametoa maelezo yenye hisia tofauti kufuatia Mange Kimambi kuonekana katika picha na Mhe. Rais huko nchini Marekani.

Mimi nlifuatilia video inayoonesha namna Watanzania waishio nchini Marekani walivyojitokeza kumpokea Mhe. Rais kwa mahaba makubwa sana akiwamo huyo dada Mange Kimambi. ( Maarufu mtandaoni). Aidha, nimeona
We umeandika matakataka, Ili selikali isemwe vizuri au ijisafishe intende haki, mange hawezi badili ukweli
 
Mange na Lissu walipuuzwa na dunia, pale UN ilipomuenzi kwa mema yake Mwendazake .
 
Acha kumsemea Kimambi,
Yeye ni mtu mzima
Kama kutubu na kujisafisha Haina ugumu, angeandika neno dogo tu kwenye page yake, "I'M SORRY"
Angalia jezi aliyovaa ilivyoandikwa!
Mange Kimambi na Kigogo 2014 ni mashujaa wa Taifa. Magufuli ametutesa sana Watanzania na bado madhara ya Udikteta wake yanaendelea.

Hawa Mange na Kigogo walibakia ndiyo vyanzo sahihi vya habari za ukweli kuhusu UDHALIMU wa Magufuli ambaye hapa nchini alilazimisha vyombo vya habari visimkosoe.

Nashauri Mange na Kigogo wapewe tuzo au nishani ya kitaifa. Maana Magufuli asingekufa Nchi ilikuwa inatumbukia mahali pabaya sana kiuchumi.
 
Chadema wanachofanya ni kudandia mgongo wa yoyote anayejaribu kupambana na CCM na kuishia kuangukia pua
Sio wao ndio wanadandia meli ya Chadema? Au unataka kusema kuwa Chadema ilipata umaarufu baada ya Mange na Kigogo kuanza kuikosoa serikali? Na kuwa sasa hivi Chadema inabebwa na wakina shangazi?

Amandla...
 
Kuna imani kuwa mtu yeyote anayepingana na serikali ni Chadema. Mange yuko kwa ajili ya brand ya Mange tu. Chama kwake si muhimu.

Amandla...

Basi Mange amefanikiwa kujiweka pazuri kwa brand yake kwa kuwatumia chadema. Kweli binadamu tunategemeana
 
Basi Mange amefanikiwa kujiweka pazuri kwa brand yake kwa kuwatumia chadema. Kweli binadamu tunategemeana
Kabisa. Alivuna sana followers wakati ule wa mtifu tifu wake. Na followers=influence=brand=Income. Na uzuri wengi ni wagumu kum unfollower hata pale wanapotofautiana na mawazo yake. In fact sasa hivi ataongeza followers wa upande wa pili.

Amandla...
 
Sasa hivi Mange ni Influencer. Watu wanafuatilia maoni yake katika kila aspect ya maisha yao, siasa ni sehemu ndogo tu.

Amandla...
 
Watz na nani ? Sema alikutesa wewe fisadi
Kwani kuna fisadi kumzidi Mwendazake? Au umesahau ile Audit Query ya Prof Assad ya Tsh 2.4 Trillion?

Na kujenga miundombinu mikubwa ya airport, hospitali, ofisi ya TANESCO Kijijini kwake?
 
Mambo muhimu sana kuhusu sala ya Baba yetu uliye mbinguni

Mathew 6:9 – 13 (ipo pia Luke 11:2 – 4)

Baba yetu uliye mbinguni (Adonai YAHWEH, El wa Abraham, Isaac na Israel),

Jina lako litukuzwe (Hallowed be your name, name/jina ina involve mamlaka yake, ambayo yana involve watu kutii amri zake 10 pamoja na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo, kwahiyo hallowed be your name ina maanisha pia hallowed be your 10 commandments, ina maanisha pia hallowed be your seventh day Sabbath, wale 144,000, wa Ufunuo 14, wenye Jina la Baba kwenye vipaji vya nyuso zao ina maana wanazishika amri 10 za Mungu pamoja na Sabato ya siku ya saba, na pia wana ushuhuda wa Yesu Kristo. Unaweza pia ukacheki Isaya 56:6 “Na wageni, walioandamana na BWANA ili wamhudumu, na kulipenda jina la BWANA, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu;”. Kulitukuza jina la BWANA kuna jumuisha pia kulipenda jina la BWANA),

Ufalme wako uje (Mathayo 19:17 Yesu alimwambia “ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri”……. “kisha njoo unifuate” yaani ashike amri 10 za Mungu na awe na ushuhuda wa Yesu Kristo. “Kuingia katika uzima” ni namna nyingine ya kusema “kuingia katika Ufalme wa Mungu”. Ufalme wake ukija, watakao ingia katika Ufalme wake ni wale watu wanaotii amri 10 za Mungu na pia wana ushuhuda wa Yesu Kristo),

Mapenzi yako yatimizwe (Your will be done, will yake ina involve watu kumtii na kuzishika amri 10 za Mungu, pamoja na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo. Amri 10 za Mungu zina jumuisha pia Sabato ya siku ya saba, inayoanza jua likizama Ijumaa na kuisha jua likizama Jumamosi),
hapa duniani kama huko mbinguni.

Utupe leo riziki yetu (Utupe leo mkate wetu wa kila siku, Give us this day our daily bread, Luke 11:3 inasema “give us day by day our daily bread”. Wana wa Israel walivyokuwa jangwani walikula manna iliyoanguka siku 6, siku ya sita ilianguka manna ya siku mbili, ambayo waliitumia siku ya 6 na nyingine wali ihifadhi na kuitumia siku ya 7 (Sabato). Siku ya 7 (Sabato) manna haikuanguka. Hapa tunaona kwamba Mungu ndiye anaetupa chakula chetu/riziki yetu ya kila siku, na anataka tuitumie siku ya 7 kupumzika na kumuabudu, na kwamba atatulisha pia siku hiyo ya saba hata kama hatufanyi kazi kwenye siku hiyo, na hatutapungukiwa na kitu).

Utusamehe deni zetu,
kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu.

Na usitutie majaribuni,

lakini utuokoe na yule mwovu.

Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.

So sala ya Baba yetu uliye mbinguni ina mahusiano na kutii amri 10 za Mungu na pia kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo.

Revelation 15:4 (KJV) Who shall not fear thee, O Lord, and glorify thy name? for thou only art holy: for all nations shall come and worship before thee; for thy judgments are made manifest. [“Glorify thy name” maana yake ni kulitukuza jina lako. “Judgements" zina mahusiano na amri 10 za Mungu.]

Isaiah 66:22-23 (KJV): 22 For as the new heavens and the new earth, which I will make, shall remain before me, saith the LORD, so shall your seed and your name remain.
23 And it shall come to pass, that from one new moon to another, and from one sabbath to another, shall all flesh come to worship before me, saith the LORD.

Isaiah 56:1 – 7 (KJV) 1 Thus saith the LORD, Keep ye judgment, and do justice: for my salvation is near to come, and my righteousness to be revealed. [“Judgement" ina mahusiano na amri 10 za Mungu.]

2 Blessed is the man that doeth this, and the son of man that layeth hold on it; that keepeth the sabbath from polluting it, and keepeth his hand from doing any evil.

3 Neither let the son of the stranger, that hath joined himself to the LORD, speak, saying, The LORD hath utterly separated me from his people: neither let the eunuch say, Behold, I am a dry tree.

4 For thus saith the LORD unto the eunuchs that keep my sabbaths, and choose the things that please me, and take hold of my covenant;

5 Even unto them will I give in mine house and within my walls a place and a name better than of sons and of daughters: I will give them an everlasting name, that shall not be cut off. [“Give them an everlasting name” ina maanisha atawapa uzima wa milele, atawaingiza kwenye ufalme wa Mungu. Matthew 25:34 (KJV) Then shall the King say unto them on his right hand, Come, ye blessed of my Father, inherit the kingdom prepared for you from the foundation of the world:]

6 Also the sons of the stranger, that join themselves to the Lord, to serve him, and to love the name of the LORD, to be his servants, every one that keepeth the sabbath from polluting it, and taketh hold of my covenant;

7 Even them will I bring to my holy mountain, and make them joyful in my house of prayer: their burnt offerings and their sacrifices shall be accepted upon mine altar; for mine house shall be called an house of prayer for all people.
 
Kwani kuna fisadi kumzidi Mwendazake? Au umesahau ile Audit Query ya Prof Assad ya Tsh 2.4 Trillion?

Na kujenga miundombinu mikubwa ya airport, hospitali, ofisi ya TANESCO Kijijini kwake?
Mwendazake ni fisadi killer
 
Mama najua ni mwenye haki huruma na upendo hana shida na yoyote yeye ni rais wa kila mtanzania.

Lakini mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan asingekutana kabisa na Mange Kimambi. Angekataa kabisa.

Mange ameumiza sana mioyo ya wanawake tena marafiki wa mama.

Kamdhalilisha mama Rita Mlaki yani bila sababu kwa kumtukana mama wa watu matusi ya nguoni.

Kawadhalilisha pia Hoyce Temu (Mteule wa mama) na familia yake. Kamdhalilisha na kumtukana matusi dada Angela Kairuki.

Licha ya wanawake kamtukana head of state rais ndugu john pombe Magufuli.

Kwa maoni yangu mama hakustahili kabisa kuonana na kusalimiana na Mange Kimambi.
 
Acha wivu
 

Attachments

  • 20210923_132216.jpg
    20210923_132216.jpg
    18.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom