Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

Dah!
Huyu huyu bulembo aliyejimilikisha shule za wazazi na ofisi za ccm kuwa miradi yake.
Siku ya leo Maza ameonyesha upepo ni mbaya amesema tu bila kuwaza kwa Kweli.
 

Attachments

  • BB056059-2FD0-4E8E-98C8-15B9306B2E77.jpeg
    44.7 KB · Views: 2
  • 00EA2511-EE6F-41A4-BBD3-EE18881AE2F3.jpeg
    47.8 KB · Views: 2
  • 9E369FBA-4EA2-4FD6-A8AD-3EE879B5CEC5.jpeg
    58.3 KB · Views: 2
Hawa washauri tunawalipa kiasi gani ? Au wanajitolea ?

Kwani akiwauliza bila kuwa washauri officially hawatampa jibu ?
 
Hivi tz hakuna watu wapya wanye sifa za kuteuliwa, kila siku tunasikia teuzi mpya, ukijaribu kuchungungulia unaona ni watu wale wale. Kinachofanyika ni kuwaamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Hii kitu inanikela sana. Tunataka ktk kila teuzi kuwe na sura mpya chache chache
 
Ameanza kushtuka kumekucha.

Aliowadharau ndo watakaombeba.
 
Huyu Mama jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…