Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

Mshauri serious hapo Rajabu Lhuwavi angemteua peke yake anajua zingekuja kelele ni mzanzibari mwenzake; wengineo kiini macho sote tunajua Bulembo hana uwezo wa kumshauri raisi on serious matters.

“I am not just a player, I am the players president”, “my game just rewinds”

Kama namuona JK akikata lyrics za Notorous Big ‘one more chance’. Huyo Lhuwavi alikuwa mshauri wake mkuu wa siasa kipindi chake. Unaweza kuona nani kamrudisha hapo. Yaani sasa hivi atakuwa na habari zote za Ikulu.
 
Badala ya kuteuana kila sekunde watuambie tu kuwa wameachana na hayo makubaliano.
 
Back
Top Bottom