Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

Itakuja vita kubwa Sana katika kukikomboa Kisiwa walichopewa waarabu.
 
Huku sasa ndiko kunaonyesha kutapatapa/desperation.
 
Dah!
Huyu huyu bulembo aliyejimilikisha shule za wazazi na ofisi za ccm kuwa miradi yake.
LOooh!
naona unatafuta njia ya kumsaidia atoke kwenye kabali aliyojiweka mwenyewe.

Acha ateue anavyoona mwenyewe inafaa; jambo la muhimu ni hao wateule wawe waTanzania wanaopenda nchi yao na wanaitumikia bila ya ubaguzi kwa yeyote.

N.B. Samahani mkuu 'gwakipanga', nime'quote' kwa makosa andiko lako. Nia yangu ilikuwa ni kumjibu aliyezungumzia mambo ya udini.
 
Hilo ndilo lengo lake kuu. Siyo kweli anauhitaji ushauri wa Lukuvi bali anataka kumdhibiti, asiwe na uhuru wa kukosoa chochote.
Yaani kwamba Lukuvi anadhiki sana, akikosa uteuzi huo maisha yake yanakuwa hohehahe?

hapa ndipo wanasiasa wa Tanzania wanapopotezea hadhi ya kuwa wanasiasa wa kweli. Inakuwa kama hawana lolote wanaloliamini maishani mwao. Hawana 'conviction' yoyote!

Katika hali ya namna hii iliyopo sasa utakuwa mshauri wa aina gani, kama siyo kutafuta kutumia jina lako tu wajisafishe na madudu waliyoyatengeneza wao?

Lukuvi kaondolewa kwenye wizara aliyoimudu vizuri kabisa. Alipewa sababu zipi z kumpumzisha katika kazi iliyokuwa inakwenda vizuri?
 
Tunataka bandari zetu zirudi mikononi mwetu.

Kama Serikali ya CCCM imeshindwa kudhibiti wizi na kuongeza ufanisi, watupishe tuchague chama kingine kuongoza Serikali.
 
Dawa zipo,

Bandari yetu ni Kinga kiusalama, kuibinafsisha ni kuhatarisha USALAMA.

HAIKUBALIKI!!!
 
Hapo kwa bulembo naona kama ameruka mkojo akakanyaga mavi .bulembo Anakitu gan cha maana anachiweza kutoka kwa sasa .
 

Mungu atusaidie kwakweli, Tanzania hatuna Rais.
 
Itajulikana tu
I smell something fishy in Dubai
 
Rais anavituko sana aisee eti bulembo ni mshauri ww raisi this is joking
 
TEC wamemshika pabaya
 
Lukuvi akiwa waziri alikuwa na nafasi nzuri ya kumshauri Rais lakini akan'golewa kwa aibu kwa sababu alikuwa mfuasi mzuri wa JPM. Sasa anapopewa position ya chini ya meza atatoa ushrui gani wa maana huku hana authority.
 

Uteuzi uteuzi uteuzi! Kila teuzi, ukifuatilia 3 wanakuwa wavaa vibandiko, 1 anakuwa mula mfugo duuh
 
Kwa UTEUZI HUU WA HAWA MAHAFIDHINA WATANGANYIKA MSITARAJIE KUNA KATIBA MPYA HAWA NI MIONGONI MWA WATU WASIOTAKA KATIBA MPYA
"HAKUNA KATIBA MPYA"
 
kwahiyo aache uislamu wake awe mgalatia sio? mpumbafu mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…