Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

Hata Magufuli aliendeleza miradi ya miaka ya nyuma iliyokuwepo kwa mujibu wa ilani ya CCM.

Chama kimekuwa na mwendelezo sahihi wa kiuongozi anatoka mmoja anaingia mwingine na anamalizia kile kilichoanzishwa na mtangulizi wake.
 
Anatembelea kwenye mambo ya Magufuli. Kama angeanza yeye kusingekuwa na bwawa wala kaja*** nani....nchi yote ingekuw ya waarabu
 
Udhani mkojo wa mtu huyo ndo umejaza bwawa.
 
Sidhani kama kuna mtu timamu huwa anapoteza muda wake kusoma huu ujinga wako.
 

TUACHENI UONGO. KURUDIA UONGO HAUTABADILISHA UONGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…