Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #221
Mimi sina mbwembwe zaidi ya kusema ukweli tu.Kukushinda wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina mbwembwe zaidi ya kusema ukweli tu.Kukushinda wewe.
Inategemea huo ukweli umeusemaje.Mimi sina mbwembwe zaidi ya kusema ukweli tu.
akili uzitoe wapi mtu anaeng'ang'ania mama wa watu kuwa mama yako wakati anawatoto wake na hawana muda wanakula wanasterehe wewe wa chimba unye huko umemganda mama wa watu kama kakuzaaAkili yangu ni kubwa sana na huwezi ukalinganisha na hiyo yako
Kunywa sumu UFE tu maana naona unaumia sanaa😄😄akili uzitoe wapi mtu anaeng'ang'ania mama wa watu kuwa mama yako wakati anawatoto wake na hawana muda wanakula wanasterehe wewe wa chimba unye huko umemganda mama wa watu kama kakuzaa
ninywe sumu kwasababu gani kukwambia ukweli wewe masikini wa akili na mali unatofauti gani na ng'ombe wewe anaefanya kyuma yake ngazi ya mavKunywa sumu UFE tu maana naona unaumia sanaa😄😄
Naona unaumia sana na mafanikio ya mheshimiwa Rais . Kufa tu maana huna faida yoyote yninywe sumu kwasababu gani kukwambia ukweli wewe masikini wa akili na mali unatofauti gani na ng'ombe wewe anaefanya kyuma yake ngazi ya mav
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote.
Mungu akimpa kibali mtu cha kuwa Kiongozi humpatia pia maarifa na njia za kuongoza Taifa husika ili kulifikisha salama mahali alipokusudia Mungu. Sasa kwa kuwa Rais Samia ni Mpango wa Mungu na ni chaguo la Mungu, ndio maana mnaona kama Taifa tumeendelea kuwa na mafanikio na kuvuka mitihani yote kama Taifa.
Habari njema ni kuwa kwa Sasa hata ikitokea Mvua haijanyesha hata tone kwa misimu mitatu mfululizo.Taifa letu bado litaendelea kuzalisha Umeme kama kawaida na litaendelea kuwa na Mwanga hadi vichakani huko na shughuli za uzalishaji zitaendelea kama kawaida bila kukwama wala kukatika kwa umeme.
Hii ni baada ya Rais Samia kuwekeza Mabilioni kwa Matrilioni ya pesa katika mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambapo alilikuta likiwa 33% ,lakini mpaka sasa lipo 99.8% . Ambapo mpaka sasa limeweza kuzalisha megawati 1880 ambazo zimeunganishwa moja kwa moja kwenye grid ya Taifa.
Lakini pia ni katika uwekezaji huo wenye dhamira ya dhati umewezesha na kulipa uwezo Bwawa hilo kuhimili kukusanya lita za Maji zaidi ya Billion 2, ambazo zina uwezo wa kutosheleza kuzalisha Umeme kwa miaka mitatu mfululizo hata ikitokea mvua haijanyesha kwa miaka hiyo yote.
Mpaka sasa kama Nchi tuna umeme mwingi kupita mahitaji ya Nchi. Ambapo tuna megawati takribani 3500 wakati mahitaji yetu ni megawati kama 1880 .na hapo ikumbukwe ya kuwa bwawa la Mwalimu Nyerere likikamilika litakuwa linazalisha megawati 2115. Ambapo tutaanza kuuza umeme mwingine nje ya Nchi kama ambavyo tupo Mbioni kuwauzia Kenya na Zambia.
Kwa hakika Rais Samia ni zaidi ya Mwanadamu wa kawaida. Ni kiongozi mwenye uwezo mkubwa sana wa kiakili na upeo wa kiwango cha juu sana. Ni kiongozi mwenye maono na shabaha kali sana. Ni kiongozi ambaye anaishi mbele ya wakati. Anajua masuala ya mabadiliko ya tabia ya Nchi na ndio maana alipambana kwa hali na mali kukamilisha mradi huu wa kimkakati wa uzalishaji wa umeme ili ikitokea la kutokea la ukame tuwe salama kama Nchi.
Angekuwa kiongozi mwingine mwenye upeo mdogo na akili fupi asingethubutu kuukamilisha mradi huu .badala yake angejikita kwenye vitu vyepesi na vidogo vidogo. Lakini Rais wetu kwa kuwa ni akili kubwa na mtu mwenye maono na upeo wa juu aliona mbele na kujua afanye nini juu ya kesho njema ya Taifa letu kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Halafu unashangaa anatokea mtu huku na ulevi wake wa gongo aliyokunywa akiwa na njaa tumboni anajiropokea za zake kwa kusema kwanini Rais Samia hajashindanishwa ndani ya chama chake?.
Hivi unaweza vipi mshindanisha mtu mwenye upeo na akili kubwa kiasi hiki? Umshindanishe na nani? Katika Mzani upi? Unafikiri wana CCM ni wajinga walioamua kumpitisha kuwa mgombea pekee wa chama? Unafikiri hawatambui thamani yake? Unafikiri wana CCM waliokataa kuchukua Fomu za Urais ni wajinga?View attachment 3238172
Huyu hapa View attachment 3238175View attachment 3238178ndiye Nembo ya Taifa letu na aliyebeba hatima yetu. Asante Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani. yameleta Neema na tabasamu kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania huku mioyo yao ikiwa na matumaini tele.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
🤣🤣🤣🤣Huu uzi tutautumia kama risiti mgao ukianza….pumbaaaaav
Tayari eti wanachukua umeme wa ethiopia what a shame.Awamu hii,poroja ,mapicha picha ni.mengi kuliko uhalisia!
hahahaSASA POPOTE ALIPO LUCAS ANABUBUJIKWA NA MACHOZI YA FURAHA TU. View attachment 3238183
Nikionaga technical issues zinawekwa kwenye siasa, huwa inanisumbua sana.Ndugu zangu Watanzania,
Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote.
Mungu akimpa kibali mtu cha kuwa Kiongozi humpatia pia maarifa na njia za kuongoza Taifa husika ili kulifikisha salama mahali alipokusudia Mungu. Sasa kwa kuwa Rais Samia ni Mpango wa Mungu na ni chaguo la Mungu, ndio maana mnaona kama Taifa tumeendelea kuwa na mafanikio na kuvuka mitihani yote kama Taifa.
Habari njema ni kuwa kwa Sasa hata ikitokea Mvua haijanyesha hata tone kwa misimu mitatu mfululizo.Taifa letu bado litaendelea kuzalisha Umeme kama kawaida na litaendelea kuwa na Mwanga hadi vichakani huko na shughuli za uzalishaji zitaendelea kama kawaida bila kukwama wala kukatika kwa umeme.
Hii ni baada ya Rais Samia kuwekeza Mabilioni kwa Matrilioni ya pesa katika mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere ambapo alilikuta likiwa 33% ,lakini mpaka sasa lipo 99.8% . Ambapo mpaka sasa limeweza kuzalisha megawati 1880 ambazo zimeunganishwa moja kwa moja kwenye grid ya Taifa.
Lakini pia ni katika uwekezaji huo wenye dhamira ya dhati umewezesha na kulipa uwezo Bwawa hilo kuhimili kukusanya lita za Maji zaidi ya Billion 2, ambazo zina uwezo wa kutosheleza kuzalisha Umeme kwa miaka mitatu mfululizo hata ikitokea mvua haijanyesha kwa miaka hiyo yote.
Mpaka sasa kama Nchi tuna umeme mwingi kupita mahitaji ya Nchi. Ambapo tuna megawati takribani 3500 wakati mahitaji yetu ni megawati kama 1880 .na hapo ikumbukwe ya kuwa bwawa la Mwalimu Nyerere likikamilika litakuwa linazalisha megawati 2115. Ambapo tutaanza kuuza umeme mwingine nje ya Nchi kama ambavyo tupo Mbioni kuwauzia Kenya na Zambia.
Kwa hakika Rais Samia ni zaidi ya Mwanadamu wa kawaida. Ni kiongozi mwenye uwezo mkubwa sana wa kiakili na upeo wa kiwango cha juu sana. Ni kiongozi mwenye maono na shabaha kali sana. Ni kiongozi ambaye anaishi mbele ya wakati. Anajua masuala ya mabadiliko ya tabia ya Nchi na ndio maana alipambana kwa hali na mali kukamilisha mradi huu wa kimkakati wa uzalishaji wa umeme ili ikitokea la kutokea la ukame tuwe salama kama Nchi.
Angekuwa kiongozi mwingine mwenye upeo mdogo na akili fupi asingethubutu kuukamilisha mradi huu .badala yake angejikita kwenye vitu vyepesi na vidogo vidogo. Lakini Rais wetu kwa kuwa ni akili kubwa na mtu mwenye maono na upeo wa juu aliona mbele na kujua afanye nini juu ya kesho njema ya Taifa letu kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Halafu unashangaa anatokea mtu huku na ulevi wake wa gongo aliyokunywa akiwa na njaa tumboni anajiropokea za zake kwa kusema kwanini Rais Samia hajashindanishwa ndani ya chama chake?.
Hivi unaweza vipi mshindanisha mtu mwenye upeo na akili kubwa kiasi hiki? Umshindanishe na nani? Katika Mzani upi? Unafikiri wana CCM ni wajinga walioamua kumpitisha kuwa mgombea pekee wa chama? Unafikiri hawatambui thamani yake? Unafikiri wana CCM waliokataa kuchukua Fomu za Urais ni wajinga?View attachment 3238172
Huyu hapa View attachment 3238175View attachment 3238178ndiye Nembo ya Taifa letu na aliyebeba hatima yetu. Asante Mungu kwa Maisha ya Rais Samia hapa Duniani. yameleta Neema na tabasamu kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania huku mioyo yao ikiwa na matumaini tele.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We jamaa ni muongo hadi shetani anakushangaa..!! Yaani hadi hao unawafanyia uchawa wanakushangaa..!!Kunakuwa na matengenezo madogo madogo na hata taarifa huwa zinatolewa.
Wanakuja kupongeza tena. Chawa ni mtu mbaya sana.
KumaanishaNdugu zangu Watanzania,