#COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo
Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha...
Tumeona. Sasa ndiyo kusema wenzetu manesi wenu wana gloves colourless? Ni sahihi hao manesi kutovaa gloves? Mbona mnatulazimisha kutilia shaka hili zoezi?

Nina tatizo la kutoona vema. Kama wamevaa mnisamehe kwa chokochoko
 
Nawaapongeza kwa u turn waliyoifanya hawa viongozi wazandiki.

Kipindi cha magu hawakuthubutu kueleza huu welevu wao. Walibakia kutupa matango pori tu.

Huyu Samia alipaswa kuwaweka wote pembeni ama kuwapiga marufuku kabisa kuzungumzia corona.


Hata yeye alipaswa kukaa pembeni
 
We only hope you wash your brain in the first place.View attachment 1871276


Ninapenda ukosoaji lakini si kwa namna hii. Hii inaoesha aliyetengeneza hii picha hajui. Bidhaa kuandikwa hivyo ni kitu cha kawaida sana. Kuna mambo mengi yanayozingatiwa wakati wa usambazaji wa dawa. Kuna namna mchanganyiko fulani unaweza usifanye kazi eneo X kutokana na sababu za kijiografia, kijamii ama historia. Kwahiyo, wataalamu watatengeneza mchanganyiko kulingana na eneo husika.

Hii si kwa dawa pekee, hata bidhaa kama magari, na vifaa vya umeme kama simu, redio, tv n.k. , ni hivyohivyo. Kuna mzigo ukibambikiwa unakuja kutupa tu.

Hivyo, sipingi ukosoaji. Bado tunapaswa kuchana chochote tunachotilia shaka. Lakini si kwa kigezo hicho hapo pichani.
 
Nawaapongeza kwa u turn waliyoifanya hawa viongozi wazandiki.

Kipindi cha magu hawakuthubutu kueleza huu welevu wao. Walibakia kutupa matango pori tu.

Huyu Samia alipaswa kuwaweka wote pembeni ama kuwapiga marufuku kabisa kuzungumzia corona.
Yeye unamtoa? Hahusiki?
 
Nashauri sasa huu uzinduzi uhamie ngazi ya mikoa na wakuu wa mikoa wote ndiyo waanze kuzindua kwa kuchanja wao pamoja na wakuu wa Wilaya husika.

Lazima tuwe serious kwenye mambo ya usalama wa nchi.

Wakuu wa mikoa wawekewe targeti jinsi ya kumaliza hizi chanjo m1 zilizoletwa
 
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'.
wewe jamaa Kwa jinsi unavyomtetea hiyo jamaa mla kondoo naonaga Kama umeshikiwa akili et gwajima ana watu haaahaaaaaaa acha vichekesho Arif gwajima ni punje ya haradani ndani ya gunia la mahindi!
 
Kwa hiyo hizo chanjo milioni moja, sijui milioni mbili, ndiyo tutachanjwa watanzania wote zaidi ya milioni 50?
 
Hachanjwi mtu trust me ona hii videoView attachment 1871261
Video zingine zinakuwa hoax mzee...

Uliwahi kufuatilia lile sakata la PM wa Queensland, Australia?! Kama hukuwahi kufuatilia, issue yenyewe ilianzia hapa...



Sasa ukicheki hapo, ni kama ilivyaondikwa, sindano ipo kwenye kifuniko, na watu wakaisambaza hiyo kwamba huyo PM ka-fake kuchoma chanjo ya coronavirus, na watu tukaamini!

Kumbe kilichotokea, ni hiki hapa...



Kwanza wala haikuwa chanjo ya COVID-19 bali ya flu!

Na baada ya kuchanja, akasimama kutaka kuondoka, ndipo Waandishi wa Habari wakaomba arudie kwa ajili ya picha! Sasa ile ya marudio ndiyo ali-fake, lakini kwa makusudi, watu waka-edit clip wakachukua kipande cha mwisho ambacho kilikuwa ni kwa ajili ya ku-pose picha!!
 
Mbona wachomaji hawajavaa gloves mikononi na nimeona wamechoma viongozi wengi hapo na hapo ni ikulu usalama wa viongozi ukoje ukitoboa damu inatoka unashika na pamba sasa unashika na pamba bila gloves sasa Nini hichi?
 
Bongo ni tamu sana,sahivi nchi nzima inatembea na beat ya chanjo,wa mahabusu tushatupa kule[emoji23]
 
Kwani yale maconcoction tuliyokuwa tunaambiwa tunywe na mangene kuyafuata mpaka Madagascar yalifanyiwa utfiti gani??

Kiufupi tu Tanzania hatuna uwezo wa kuthibitisha ubora wa hizo chanjo .... Period.

Zilifanyiwa utafiti hapa nchini na ndo ikatengenezwa NIMR-Caf.
 
Tumeona. Sasa ndiyo kusema wenzetu manesi wenu wana gloves colourless? Ni sahihi hao manesi kutovaa gloves? Mbona mnatulazimisha kutilia shaka hili zoezi?

Nina tatizo la kutoona vema. Kama wamevaa mnisamehe kwa chokochoko

Una jicho la kuona mbali sana.

kiuhalisia covd-19 inaambukizwa sana Kwa kuguswa na mkono.

"doubts doubts"
 
Back
Top Bottom