#COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo
UBORA WA CHANJO YA JOHNSON & JOHNSON AMBAYO NDIYO IPO NCHINI KWETU KULIKO CHANJO ZINGINE.

"Johnson & Johnson ni chanjo moja tu (one show). Ukichanja leo imetoka hiyo huna haja ya kurudia. Zile chanjo nyingine ndo unachanja mara mbili mbili. Lakini hii ukichanja leo uko free lakini usijiachie sababu kuna wengine bado hawajachanja. Kwahiyo niwakaribishe Watanzania kwenye chanjo. Mimi nko tayari kupata chanjo nikaendelee na mambo yangu."

Mhe Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Julai 28, 2021 kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam.

IMG_20210728_154553_385.jpg
 
SHAKA APATA CHANJO YA CORONA LEO.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe Samia Suluhu Hassan kupata chanjo ya Uviko-19 leo Jumatano Julai 28, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

#Chukua tahadhari, Corona ipo na inaua.

View attachment 1871630
Kwanini hawa manesi hawavai gloves?
 
Tanzania President Receives Janssen Vaccine

Tanzania President Samia Suluhu Hassan received the Janssen COVID-19 vaccine on Wednesday, and called upon citizens to get vaccinated against the virus.

The 61- year-old leader received the jab at a State House in Dar es Salaam, and shared a photo of herself receiving the vaccine, in order to hearten citizens to get the shot.

“I am a mother, wife, President and Commander-in-Chief, I would not have risked myself and risked knowing that I have all these responsibilities,” The President said in her speech.

“I have voluntarily agreed to be vaccinated as I do not see the danger in vaccines that scientists have already been satisfied,” she added.

The coronavirus vaccine is offered voluntarily in the East African nation, and that, the government continues to import other types of vaccines so as the citizens can be free to receive vaccine of their choice.

In an effort to combat the disease, the Tanzanian government is close to building vaccines industries so that it can provide adequate vaccines to its citizens.

IMG-20210728-WA0021.jpg

IMG-20210728-WA0022.jpg

IMG-20210728-WA0023.jpg

IMG-20210728-WA0024.jpg

IMG-20210728-WA0026.jpg
 
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU CHANJO YA CORONA.

"Niseme ndugu zangu, Mimi ni Mama wa watoto wanne wanaonitegemea. Ni Bibi wa wajukuu kadhaa, ni Mke lakini mbali ya yote ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya nchi hii.

Nisingejitoa mwenyewe nikajipeleka kwenye kifo, nikajipeleka kwenye hatari nikijua kwamba nna majukumu yote haya na nategemewa. Nategemewa kama Mama, Bibi, Mke, Rais na Amiri Jeshi Mkuu lakini nimetoka kuuonyesha umma na wanaonifuata nyuma na nikijua kama Rais nna watu wengi nawachunga nyuma na wao wananitizama Mimi kwahiyo nisingetoka kujihatarisha.

Nimekubali kwa hiari yangu kuchanja nikijua kwamba ndani ya mwili wangu nina chanjo kadhaa ambazo nimeishi nazo na toka tunazaliwa tunachanjwa. Ukizaliwa tu unachanjwa, mbali na nyingine unazochanjwa njia, unazochanjwa ukisafiri kama Yellow Fever. Tumechanja. Kwahiyo Mimi sioni hatari iliyopo na baada ya Wanasayansi kujiridhisha na zimekuja nchini Wanasayansi wetu wamejiridhisha. Mimi nko tayari kuchanja sasahivi."

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu leo Jumatano Julai 28, 2021 kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam.

IMG-20210728-WA0033.jpg

IMG-20210728-WA0034.jpg

IMG-20210728-WA0035.jpg

IMG-20210728-WA0036.jpg

IMG-20210728-WA0037.jpg

IMG-20210728-WA0038.jpg

IMG-20210728-WA0039.jpg

IMG-20210728-WA0040.jpg

IMG-20210728-WA0041.jpg

IMG-20210728-WA0042.jpg
 
Mpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
 
Unaongelea siasa hasimu katika mambo ya UHALISIA?!!!

Wewe hujawahi kupata chanjo yoyote?!!

Kwanini isiwe na hii?!!

Una ushahidi wa kuwepo "sumu" ndani ya chanjo ya J&J?!!.

Umefanya tafiti ya kisayansi ama "unang'ela pang'ang'a" za kusikia juu ya "illogical conspiracy theories"?!!!

Tupe ushahidi wa kihoja......

#TujitokezeniKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
B

Nyhanda.. Mwendazake ameshakufa. Acha kutaabika, chukulia maisha Kama yalivyo ny
 
Unaongelea siasa hasimu katika mambo ya UHALISIA?!!!

Wewe hujawahi kupata chanjo yoyote?!!

Kwanini isiwe na hii?!!

Una ushahidi wa kuwepo "sumu" ndani ya chanjo ya J&J?!!.

Umefanya tafiti ya kisayansi ama "unang'ela pang'ang'a" za kusikia juu ya "illogical conspiracy theories"?!!!

Tupe ushahidi wa kihoja......

#TujitokezeniKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Leo nakuunga mkono, kitu kibaya zaidi sumu kali wanaitoa wana ccm a.k.a Gwaji gang
 
Mpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
Utakuwa umevurugwa wewe mwanaume suruali, shika adabu yako
 
Mpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
Utakuwa umevurugwa wewe mwanaume suruali, shika adabu yako
 
Unaongelea siasa hasimu katika mambo ya UHALISIA?!!!

Wewe hujawahi kupata chanjo yoyote?...
Mimi sijaongelea sumu

Chanjo sio sumu, wala haina madhara ambayo niya moja kwa moja. Hivyo chanjo ni salama kabisa.

Madhara ya chanjo tuliyo ipokea ni makubwa kuliko Corona yenyewe kwa kifupi leo Rais ameweka muhuri wa kuikabidhi Tanzania kwa wamiliki wa ulimwengu.

Kwa akili na maarifa yetu hatuchomoki hata iweje. Tumeacha herd immunity ya asili tumekimbilia hii herd immunity ya chanjo maana yake tutahidi chanjo kwa matoleo yote ya Corona.

Kama bajeti yetu hawezi kutengeneza barabara hadi tozo vipi kuagiza chanjo nyingine 29 million ili tufikie angalau 60%?
 
Nadhani kwa wale wanye safari za nchi zinazihitajia kuchanjwa ndio wangepewa kipaumbele, ila sie wa buza kwa nanihii wala hili la chanjo kuwa kidogo halitupi shida kivilee! Nawaza kwa undani zaidi
 
Back
Top Bottom