#COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo
Njia mbadala ni kuwalazimisha wananchi wachanje, ambayo ni 'risky; kwasababu hakuna anayetaka kuweka dhamana ya matokeo ya chanjo si tu Tanzania, bali kila taifa duniani.

Kwa sasa, bado Serikali haijaamua kuwapa wananchi sababu ya msingi ya kuchanja.
 

Ingekuwa vyema kama wangekuwa wanajadili na jambo hili pia.
 
Nchi nyingi tu kuna watu wanapinga na wengine wanakubali, kwanini Tz mtu anayepinga jambo anaonekana msaliti, hii Tz niyakipuuzi sana raia wake ni fuata upepo na wanafiki, Samia angesema hataki chanjo ungeona hawahawa wanaoshangilia wakileta maelezo kibao kuona nikweli ni mbaya, yaani hii nchi bado tunaongozwa na zidumu fikra za Mwenyekiti
 
Wengi naona mmeigeuza hii chanjo ya Corona kama mchezo wa kuigiza, ngoja Corona iwapitie ndio mtapata akili, mshindwe kupumua mkienda hospitali muambiwe hakuna oxygen, kwa sasa endeleeni kumuamini Gwajima anaesema ataifukuza Corona.
 
Sasa ame
Mzee wa upako kaitwa amjibu gwajima[emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo haya..raha tupu wallah
Sasa amemjibu nini? Amefanya hiyo analysisi ya chemical contents!?
 
Back
Top Bottom