nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Ngwajima afukuzwe uanachama ccm maana kwa maneno yake anania ya kuliangamiza taifaMzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha.
Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa pamoja.
Waziri wa Afya, Gwajima: Leo ni siku ya kihistoria ambayo tunachukua silaha za kisasa kwenda kupambana na Uviko
= > Hayati Magufuli alisema wizara ya Afya isikimbilie machanjo bila kujiridhisha, leo kuna watu wanapotosha.
FUATILIA LIVE:
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app