Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Achanjwe labda maji tu.Wacha huyo mama achanjwe dam igande afe, mwana kuli find mwana kuli get.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achanjwe labda maji tu.Wacha huyo mama achanjwe dam igande afe, mwana kuli find mwana kuli get.
Wewe mwenye akili za KICCM ndio ufukuzwe Tanzania kabisa. Kila kitu unawaza KICCM waza kwa kutumia akili zako.Mh.Askofu Gwajima afukuzwe CCM......
Vijana wa CCM hatuwataki watu wapotoshaji aina ya Gwajima ndani ya chama hiki cha kijamaa!!!
CCM ikiacha kutokumfukuza askofu Gwajima basi ijiandae na mengi ya hovyo kutoka kwa huyu ndugu huko mbeleni....(iwekeni hii Kama kumbukumbu).
#TujitokezeTuchanjeChanjo
#ChanjoNi Muhimu
#KaziIendelee
#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
Unataka kusema kuwa hatari hiyo inaizidi hatari ya kuwa kichaa na mwisho kufa?!!!
Ingekuwa hiyo hatari IPO kwa watu wengi basi INGEFUTWA KUTUMIKA.....
Duniani hakuna dawa yoyote isiyo madhara kwa baadhi ya watu wachache......
Hata chakula ni hivyohivyo ....
Kuna watu wakila KARANGA tu wanatokwa na machunusi yenye usaha........
Vilevile kwa SAMAKI ,PWEZA ,ASALI n.k
#TujitokezeniKuchanjwa
#JMTMilele
#NchiKwanza
Boss wangu wewe unawatakia mema CCM?CCM ikimuacha askofu Gwajima basi ijiandae na mengi ya hovyo huko mbeleni....(iwekeni hii Kama kumbukumbu).
View attachment 1871289
Mpuuzi tu huyo.Wewe mwenye akili za KICCM ndio ufukuzwe Tanzania kabisa. Kila kitu unawaza KICCM waza kwa kutumia akili zako.
Udikteta wa hivyo upo chadema tu. CCM wana demokrasia pevu kila mmoja ana haki ya kutoa mawazo na kusikilizwa. Mlikua mnalaalmika Jiwe dikteta kaondoka ona sasa bado mnakumbatia udikteta
They are not that stupid.Mpoto na team yake wachanje Kwanza sio nyimbo hiyo
Kila mmoja ana haki ya kutoa mawazo na kusikilizwa.....
Ila si mawazo ya KUPOTOSHA UMMA katikati ya VITA....katika uwanja wa Vita......
Mh.Mbunge Gwajima "amewaombea laana ya kufa kwa Mungu madaktari wote akiwemo waziri wake wa afya"......je hayo nayo ni mawazo mema ?!!!!
#,GwajimaAfukuzweCCM
Watu wanahofia kukosa ulaji mkuu;Nchi nyingi tu kuna watu wanapinga na wengine wanakubali, kwanini Tz mtu anayepinga jambo anaonekana msaliti, hii Tz niyakipuuzi sana raia wake ni fuata upepo na wanafiki, Samia angesema hataki chanjo ungeona hawahawa wanaoshangilia wakileta maelezo kibao kuona nikweli ni mbaya, yaani hii nchi bado tunaongozwa na zidumu fikra za Mwenyekiti
Hakuna dawa isiyo na madhara.....Hii dawa kuna kipindi ilifutwa nimeshangaa kumbe bado inatumika ni hatari.wagonjwa wengi wanailalamikia
Unaweza usiamini. Yaani mageuzi ya kihistoria haya toka kunywa juisi ya “ukwaju” hadi kutiririka na molecular biology! Salute to Dorothy Gwajima. Panapostahili sifa itolewe! Bila shaka amefuta ile aibu.Hahahha gwajima, lazima PCB,CBG,PCM zipande ndo uweze kuwa na uwezo wa kuchangia kuhusu chanjo.
Mambo ya molecular biology lazima ujue. Analytical chemistry inahusika.
Wataalam wapo. Yaaan
Kachanjwe wewe kamandaChanjo hii ya JOHNSON AND JOHNSON (J&J) ni moja tu....unachanjwa moja tu na hutorudia tena.....
#TukitokezeniKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Hahah, rais wa nchi hawezi fanya kamari na Maisha yake.Nadhani hiyo sentence ya hachomwi mtu hapa imekutatiza na hujaelewa
Sihamisishi watu wasichomwe bali nimeweka video inayoonesha wakijifanya kuchoma lakini hachomwi mtu hapo
Nimeamua kukufafanulia kwa manufaa ya wengi