#COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo
Mh.Waziri anasema kuwa hata dawa ya QUININE(Kwinini) pamoja na kuwa dawa bora kutibu MALARIA SUGU NA KALI ila ina baadhi ya madhara.......

Ila ndio mujarabu wa Malaria kali yenye kupanda KICHWANI...
Hoja ya kitoto kabisa😂
 
Mh.Waziri Dr.Gwajima anasema dawa ya FLAGYL(metronidazole) ndio MALKIA wa vidudu vya matumbo ila nayo ina baadhi ya madhara hivi.....

#TujiandaeKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Quinine ni hatari kwa afya ya sehemu nyeti ya kichwa. Waziri wa afya asingeitumia kama mfano wengi wamepata madhara kwa kutumia kwinini
 
😂😂😂😂😂😂😂 Nacheka lakini naogopaaaa!!!😂😂😂😂😂
 
Mh.Waziri Gwajima anasema akina "KIBWETERE" wako wengi tu......tunao wengi tu......

*********************

KIBWETERE aliwaaminisha wafuasi wake UJINGA NA UPUMBAVU....wafuasi wake walikuwa HAWAWEZI KUTUMIA AKILI ZAO KUPAMBANUA MAMBO....

Aliwatia KIBERITI akasepa.....🤣🤣
 
Wewe
Mkubwa wewe sasa, acha hizo. Kama hutaki wewe acha. Ingekuwa inawezekana kuwauliza wote waliokufa na huu ugonjwa au wategemezi waliowaacha, wangapi wangesapoti upupu huu mnaoeneza!!
Tuambie nchi gani hawafi na Corona baada ya kuchanjwa? Njoo na data siyo porojo baada ya kushiba mihogo.
 
Watupe utaratibu haraka sana namna yakuzipata na huku mikoani
 
Mh.Waziri Dr.Gwajima anasema dawa ya FLAGYL(metronidazole) ndio MALKIA wa vidudu vya matumbo ila nayo ina baadhi ya madhara hivi.....

#TujiandaeKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Ujiandae na nani? Wewe chanjwa usife,wasiotaka waache wafe.Uzuri ni kwamba hautakwenda nao kaburini.

🖕🖕
 
Mh.Waziri Gwajima anasema akina "KIBWETERE" wako wengi tu......tunao wengi tu......

*********************

KIBWETERE aliwaaminisha wafuasi wake UJINGA NA UPUMBAVU....wafuasi wake walikuwa HAWAWEZI KUTUMIA AKILI ZAO KUPAMBANUA MAMBO....

Aliwatia KIBERITI akasepa.....[emoji1787][emoji1787]
Kwa hyo Waziri Gwajima anaMuita Gwajima asiekuwa Waziri Kwamba Ni KIBWETERE?
 
Quinine ni hatari kwa afya ya sehemu nyeti ya kichwa. Waziri wa afya asingeitumia kama mfano wengi wamepata madhara kwa kutumia kwinini
Unataka kusema kuwa hatari hiyo inaizidi hatari ya kuwa kichaa na mwisho kufa?!!!

Ingekuwa hiyo hatari IPO kwa watu wengi basi INGEFUTWA KUTUMIKA.....

Duniani hakuna dawa yoyote isiyo madhara kwa baadhi ya watu wachache......

Hata chakula ni hivyohivyo ....

Kuna watu wakila KARANGA tu wanatokwa na machunusi yenye usaha........

Vilevile kwa SAMAKI ,PWEZA ,ASALI n.k

#TujitokezeniKuchanjwa
#JMTMilele
#NchiKwanza
 
Udikteta wa hivyo upo chadema tu. CCM wana demokrasia pevu kila mmoja ana haki ya kutoa mawazo na kusikilizwa. Mlikua mnalaalmika Jiwe dikteta kaondoka ona sasa bado mnakumbatia udikteta
Mh.Askofu Gwajima afukuzwe CCM......

Vijana wa CCM hatuwataki watu wapotoshaji aina ya Gwajima ndani ya chama hiki cha kijamaa!!!

CCM ikiacha kutokumfukuza askofu Gwajima basi ijiandae na mengi ya hovyo kutoka kwa huyu ndugu huko mbeleni....(iwekeni hii Kama kumbukumbu).

#TujitokezeTuchanjeChanjo
#ChanjoNi Muhimu
#KaziIendelee
#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
 
Ngwajima afukuzwe uanachama ccm maana kwa maneno yake anania ya kuliangamiza taifa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kama kila mtu humu kila siku anapigania freedom of expression, why wewe unasema afukuzwe? Huu ndiyo ujinga uliopo Tz......kila mtu anauhuru wa kutoa maoni yake kwa mtazamo wake......mtu akiwa sisiemu au Chadema au eisitii kutoa maoni ni yeye, usimuhukumu.......nasiyo kwamba gwaji boy yeye hakosoi ila asihukumiwe
 
Mh.Askofu Gwajima afukuzwe CCM......

Vijana wa CCM hatuwataki watu wapotoshaji aina ya Gwajima ndani ya chama hiki cha kijamaa!!!

CCM ikiacha kutokumfukuza askofu Gwajima basi ijiandae na mengi ya hovyo kutoka kwa huyu ndugu huko mbeleni....(iwekeni hii Kama kumbukumbu).

#TujitokezeTuchanjeChanjo
#ChanjoNi Muhimu
#KaziIendelee
#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
Mguseni muone atakavyokinukisha. Gwajima ana'watu'.
 
Back
Top Bottom