#COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo
Walifukuzwa akina hayati Aboud Jumbe na HAKIKUNUKA.

Alifukuzwa hayati Maalim Seif Sharrif Hamad na HAKIKUNUKA.

Gwajima ni nani ?

Gwajima nani bwana?!!!

Watu aliokuwa nao ni wale anawaongoza "fikra zao"

HASHTAG GWAJIMA afukuzwe CCM

#GwajimaAfukuzweCCM
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Jaribuni muone. Gwajima ana 'watu'.
 
Mama Samia Suluhu Hassan kashapata chanjo ya corona kwa hiari yake
kwa hiyari yake

Amesema yeye ni MAMA WA WATOTO 4 wanaomtegemea.

Yeye ni mke

Yeye ni bibi wa wajukuu kadhaa

Kubwa zaidi yeye ni Rais wa JMT na Amiri Jeshi wa Majeshi ya ulinzi na usalama

Iweje nasi VIJANA WA MITAANI TUSIJITOKEZE KWA HIYARI IKIWA TU tuna wake na vitoto vidogo na hatuna wajukuu Wala vyeo vikubwa vya umma

Kwa hiyari yangu nimejiandaa KUCHANJWA 💪
 
Mbona kabla ya kuchanjwa unapewa formu ya kusaini ili lolote baya litakalokutokea usiilaum serikali wala usitegemeee msaada wa serikali

Je, kama serikali imejihami kiasi hiki? ni kwanini wananchi wasijihami?
 
Gwajima anaendeleza legacy ya mwendazake, sio mtu mwepesi.
Walifukuzwa akina hayati Aboud Jumbe na HAKIKUNUKA.....

Alifukuzwa hayati Maalim Seif Sharrif Hamad na HAKIKUNUKA.....

Gwajima ni nani ?!!!

Gwajima nani bwana?!!!

Watu aliokuwa nao ni wale anawaongoza "fikra zao".....

HASHTAG GWAJIMA afukuzwe CCM

#GwajimaAfukuzweCCM
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Jaman
IMG-20210728-WA0001.jpg
 
Nawaona VENANCE MABEYO na SIRRO hawana amani kabisa.

Sio kwamba wanaogopa chanjo ila wanajiuliza ,je watafanyiwa maigizo kama walivyokubaliana au watageukwa wadungwe kitu chenyewe.
😂😂😂😂😂😂 wakat mwingine unaweza panga maigizo ya risasi kumbe kuna muhuni anapiga kweli
 
Natoa pongezi za dhati kwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuonesha ujasiri na kuwaongoza watanzania katika zoezi la chanjo licha ya kuwepo na propaganda za watu waliojizika na koti la ujinga.

Samia hajasikiliza kauli za watu wasio na uelewa na mambo ya afya hapa nazungumzia Askofu Gwajima,huyu Gwajima alishawahi Sema Corona inasababishwa na minara ya 5G hii inaonesha ni mpotoshaji hajui hata source ya corona eti leo ndo atoe ushauri juu ya chanjo?
Pili Samia adhihirisha ni mwanamke washoka kukubali kuchanjwa kulinda nchi yetu.

Mama ni shujaa pongezi kwake
 
Mh.Rais SSH anasema kama WEWE. Familia yako HAIJAGUSWA kuwa na wagonjwa wa UVIKO basi WAULIZE WATU WA KILIMANJARO NA ARUSHA.

#TujitokezeniKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Kwani hii chanjo ni kinga au tiba ya Corona tumieni akili japo kufikiria hata kidg huyo anawadanganya tu unahukakika gani kama wanachanja yenyewe au manyoya tu wawavute nyinyi dagaa?
 
We only hope you wash your brain in the first place.View attachment 1871276
Crap! Stale news, ya zamani sana! Unaamini kabisa kuna kampuni hata kama ina nia mbaya itengeneze dawa mbaya kwa ajiri ya Afrika halafu aiandike hayo maneno, halafu ailete huku? Nyie endeleeni kupiga kelele, wenzenu wanachanja kwa kwenda mbele!
 
Imagine kama Mwendazake angekua hai mpaka leo hii watu wangeendelea kupukutika kila kukicha huku yeye mwendazake akiendelea kusisitiza kuwa Tanzania hamna korona bali kuna changamoto tu za upumuaji.

The guy was pure evil na msimamo wake juu ya corona umeclaim maisha ya waTZ wengi sana.

Nice move Madam president 👋👋
 
Mimi nampa pongezi mama yetu kwa kuwa mfano wa kuchanjwa chanjo na nawaomba watanzania tujitokeze kwa wingi katika chanjo, kwani ni manufaa yetu sisi wote watanzania na kwa vizazi vinavyokuja hasa kwa vijana kwani ndo taifa la kesho munalotegemewa.

Mungu tusaidie Tanzania na kutuepusha na hili gonjwa hatari na ukawe msimamizi wetu, nawaomba watunzania wengi twende tukamuunge mama yetu kwa suala hili la kunjachwa na ikiwezekana watanzania wote tukachanjwe.

Mimi nitakuwa mfano pia wa kuchanjwa baada ya mama samia kuchanjwa na nawaomba na wenzangu tuwe na msimamo mmoja wa kuchanjwa, ili taifa letu liwe mfano wa kuigwa.

Asanteni sana na nawaomba sote kwa pamoja tumuunge mama yetu kwa pamoja kwa kwenda kwenye kituo cha kuchanjwa kitakachokuwepo jirani yako.

Mungu ibariki Tanzania na viongozi wanaotutawala na watanzania kwa ujumla na kutuepusha na gonjwa hili hatari la Corona.
 
Kwani hii chanjo ni kinga au tiba ya Corona tumieni akili japo kufikiria hata kidg huyo anawadanganya tu unahukakika gani kama wanachanja yenyewe au manyoya tu wawavute nyinyi dagaa?
Acha upoyoyo 🤣
Virusi havina tiba bwashee....

Ama Corona ni bakteria?!! Ha ha ha
 
Ndomaana ikawekwa kuwa hiari,wewe kama unataka nenda kachanjwe ila swala la kujifanya unawajali sana wasiotaka kuchanjwa,ni upumbavu tu.
Kuna Vita kali sana inakuja,Kati ya wale wanaopenda kuchoma na wale wasiopenda kuchoma! Itafikia hatua hadi ya kunyanyapaliana,Kati ya waliochoma na Wasio choma!!
 
Back
Top Bottom