#COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo
Mimi sijaongelea sumu
Chanjo sio sumu, wala haina madhara ambayo niya moja kwa moja. Hivyo chanjo ni salama kabisa...
Wamiliki wa ulimwengu Unamaanisha nini?

Kwani tunapochanjwa chanjo mathalani YELLOW FEVER tunakuwa na HERD COMMUNITY dhidi ya hiyo yellow fever?!!

Unaweza kunifafanulia juu ya hao "wamiliki wa ulimwengu" ?!!
 
28 July 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Tanzania’s Hassan gets COVID jab, kicks off vaccination drive



Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan has received her COVID-19 vaccine in public, kicking off a nationwide inoculation campaign in one of the world’s last countries to embrace jabs in the fight against the disease. Hassan’s vaccination on Wednesday was the most decisive signal yet of a break from the policies of her late predecessor.
Source: CGTN
 
Hii chanjo inatokea wapi? Imefanyiwa majaribio kwa mda gani? Ilikuwepo tokea wimbi la kwanza?
 
Mpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
Hiari yako brother hujalazimishwa, sisi tuache tutachanja
 
Hoyaaaa, wakifikia hatua ya kutafuta watu kwa mtutu wa bunduki mnishtue nikajifiche kwenye malutende karibu na ziwa huku kijijini kwetu.........
 
Leo nakuunga mkono, kitu kibaya zaidi sumu kali wanaitoa wana ccm a.k.a Gwaji gang
🤣🤣Leo tuko pamoja mkuu....

Kweli nchi kwanza Kaka ha ha ha

HASHTAG Gwajima afukuzwe CCM

#GwajimaAfukuzweCCM
 
Mpumbavu mmoja ameketi viunga vya ikulu.
Hawazi wala kufikiri juu ya kesho ya wajukuu zake kisa tamaa za kipumbavu anafikiri Tanzania itaishia yeye alipo kumbe Tanzania ipo na itakuwepo milele.
Mungu mfungue macho hichi kibibi
🥱
 

Wednesday July 28 2021​

Dar es Salaam, Tanzania

President Samia Suluhu Hassan officially becomes first Tanzanian to get Covid-19 jab​

President Samia said that the vaccine is safe, and that many Tanzanians have shown their readiness to receive vaccination​

President Samia Suluhu Hassan on Wednesday became the first Tanzanian national to officially take the Covid 19 vaccine, leading hundreds of high profile government officials in the inoculation exercise.

The president received the jab in a live televised event at the Mnazi Mmoja Grounds in Dar es Salaam followed by government officials such as the Prime Minister Kassim Majaliwa, Chief Justice, Health minister Dr. Dorothy Gwajima, former Premier Mizengo Peter Kayanda Pinda, the Chief of Defence Forces General Venance Mabeyo and the Inspector General of Police Simon Sirro among others.

Speaking before taking the vaccine, President Samia said that the vaccine is safe, and that many Tanzanians have shown their readiness to receive vaccination.

“Many have accepted to be vaccinated while a few have rejected, I have received many messages asking when we will start vaccination. We will make sure that whoever is willing to get vaccinated gets the jab,” stressed the head of the state.

She said she was aware that there were some Tanzanians who had taken the vaccine elsewhere due to their travel requirements because without it they would have jeopardized their ability of doing business
 
nimesikia ukichoma inaongeza nguvu za kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wamiliki wa ulimwengu Unamaanisha nini ?!

Kwani tunapochanjwa chanjo mathalani YELLOW FEVER tunakuwa na HERD COMMUNITY dhidi ya hiyo yellow fever?!!

Unaweza kunifafanulia juu ya hao "wamiliki wa ulimwengu" ?!!
Uwezo wako wa kufikiri ni mdgo sana kuelewa hayo. Katafute chanzo cha COVID-19 ujijibu mwenyewe
 
Imagine kama Mwendazake angekua hai mpaka leo hii watu wangeendelea kupukutika kila kukicha huku yeye mwendazake akiendelea kusisitiza kuwa Tanzania hamna korona bali kuna changamoto tu za upumuaji.

The guy was pure evil na msimamo wake juu ya corona umeclaim maisha ya waTZ wengi sana.

Nice move Madam president 👋👋
weka kumbukumbu ya takwimu afu subiri the next episode baada ya ...
 
Nimesokia jana waziri wa afya bibi yangu Doroth gwajima akisema marekani wamechanjwa watu milioni nane tu..mimi bado nina mashaka makubwa iweje wachanje watu kidogo naman hiyo ili hali marekani ina watu milioni 350
 
Mama dhaifu yule, ataiyumbisha nchi hadi mkome, labda CCM itajifunza kuwa macho na katiba, yeye ni mtu wa kupuyanga with zero actions, chochote kilicho mbele yake ni hewala.
 
Back
Top Bottom