Rais Samia azipeleka juu Mbaazi, Choroko, Dengu, Ufuta, Alizeti, Kahawa, Karafuu. Kwani wakulima wao wanasemaje?

Hizi akili huwa wanakuwa nazo wafuga majini. Kwenye supply and demand unaleta habari za nuru na nyota? Hauko serious
 
Mama atushushie bei ya petrol na dizel walau 1,500 kwa 1,400

Mafuta ya taa iwe 1,000.

Mbona Magufuli aliweza aiseee.
 
Mazao yanapanda kutegemea msimu wa mavuno,ukikuta msimu mavuno yamepatikana mengi bei zinashuka...yakiwa machache kma mwaku huu bei inapanda,dada tuliza genye za kingese
 
Mama anajua.Na ni lazima KILIMOKWANZA akirudishe.

Mama endelea kuupiga mwingi.
 
Hivi unajua bei ya nafaka ilivyokuwa kipindi cha Kikwete?Nafaka kama choroko,dengu,mbaazi,ufuta,na hata mchele bei zilikuwaje?.
Wewe kama siyo mkulima ndugu bora tu ukae kimya.
KILIMOKWANZA kilifanya vizuri sana.Unadhani korona ilikuwepo hata mazao ya kauzwa kwa bei za juu?.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Ndugu wachawi wa mama ndiyo hawa sasa.
 
Hoja zako zaonesha kiwango chako cha ufahamu wa "supply & demand"
 
Hata mbaazi sasa bei ipo juu, ikumbukwe kuwa Kuna mwaka hakukuwa na soko kabisa, watu waliambiwa wale wenyewe kwani ni mboga, watu wakaamua kuziacha huko mashambani
Nimeuza Tani 105 pale Afrisian kwa bei ya 1620 kwa kilo
 
Hebu nieleweshe amefanya Nini mpaka Bei ikapanda?

Nje ya market forces yaani demand and supply Bei haiwezi kupanda naomba kueleweshwa
 
Huyu Mama mbona kama anakuja kasi sana aise

Kila kona Samia, Samia

Wakulima mwaka huu wananunua mabati balaa kumbe mama kawafurahisha
Mafuta Shilingi ngapi kwa sasa?
Unalipa tozo?
 
Acha kutisha wewe kama Tanzania imepanda na mwandishi anasema bei imepanda kosa Lake liko wapi?
Kosa lake ni kusema Rais ndio amepandisha bei, ina maana hata bei za mafuta ni yeye amezipandisha pia?
 
Ni vilaza wenye kubeba vichwa kama mifuko ya kuhifadhia meno tu.
 
Apandishe na bei ya mahindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…